Mr Cu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,289
- 972
Mda ni pesa, ukiniliza njian wakati sku hiyo hiyo ningefanya cha maana, hapa ni mabasi yawe na madereva wawil au watatu. Na wawe under control ya polisi.vyanzo vya ajali Tanzania ni kama ifuatavyo
1) mwendo kasi
2)ubovu wa barabara
nazungumzia mashimo alama za barabaran sehem nying kukosekana na sehemu nying kuwa na kona kali
3)ulevi wa madreva pamoja na uchovu kwani kuna mabasi ya Route ndefu ila yana dereva mmoja
4) rushwa kwa maaskari wa barabara hawa nao wanapenda Mno pesa ya kubrash viatu
5) ushabiki wa abiria wenyewe
6) uchakavu wa vyombo vyenyewe
7) ujazaji wa abiria kupita kiasi
ukiangalia hayo yooote hapo juu utaweza pata solutions ya tatizo la ajali hapa Tanzania. kwa solutions hii tumeamua _kutibu tatizo kwa kutengeneza tatizo_
ntarudi kushauri nin cha kufanya ngoja niendelee kufanya economic analysis impact kwa taifa