Usafiri wa mabasi kwa baadhi ya mikoa sasa kuchukua mpaka siku mbili kufika

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,696
22,733
Waliozoea kusafiri kwa mabasi kwa siku moja kutoka Dar es salaam kwenda Mbeya na kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza na kwingineko kwenye umbali sawa na huo.

Sasa inabidi wajipange kisaikolojia kutumia siku mbili kukamilisha safari hizo.
Hayo yamebainishwa na Meneja Usalama Barabarani na Mazingira wa SUMATRA, Geofrey Silanda.

Uamuzi huo umetokana na utafiti uliofanywa na mamlaka hiyo na kubaini kwamba mabasi yanayofanya safari kwenye mikoa hiyo hayapaswi kusafiri kwa siku moja

uploadfromtaptalk1470379719285.jpeg

Chanzo: EATV

Toa maoni yako
 
Waliozoea kusafiri kwa mabasi kwa siku mojakutoka Dar es salaam kwenda Mbeya na kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza na kwingineko kwenye umbali sawa na huo,

sasainabidi wajipange kisaikolojia kutumia siku mbili kukamilisha safari hizo.

Hayo yamebainishwa na Meneja Usalama Barabarani na Mazingira wa SUMATRA, Geofrey Silanda.

Uamuzi huo umetokana na utafiti uliofanywa na mamlaka hiyo na kubaini kwamba mabasi yanayofanya safari kwenye mikoa hiyo hayapaswi kusafiri kwa siku moja.

Toa maoni yako

Chanzo : EATV
SULUHISHO NI MABASI YAONDOKE STENDI SAA 10 ALFAJIRI NA MADEREVA WAWE 3 MATAJIRI WASIWE MABAILI KUWALIPA NA POLISI WAJIPANGE KUHAKIKISHA USALAMA WAO KUANZIA MUDA HUO WA SAA 10 BASI YATAFIKA SALAMA NA WATAPUNGUZA SPIDI MAANA MUDA WA SAFARI UMEONGEZWA.
 
vyanzo vya ajali Tanzania ni kama ifuatavyo
1) mwendo kasi
2)ubovu wa barabara
nazungumzia mashimo alama za barabaran sehem nying kukosekana na sehemu nying kuwa na kona kali
3)ulevi wa madreva pamoja na uchovu kwani kuna mabasi ya Route ndefu ila yana dereva mmoja
4) rushwa kwa maaskari wa barabara hawa nao wanapenda Mno pesa ya kubrash viatu
5) ushabiki wa abiria wenyewe
6) uchakavu wa vyombo vyenyewe
7) ujazaji wa abiria kupita kiasi

ukiangalia hayo yooote hapo juu utaweza pata solutions ya tatizo la ajali hapa Tanzania. kwa solutions hii tumeamua _kutibu tatizo kwa kutengeneza tatizo_
ntarudi kushauri nin cha kufanya ngoja niendelee kufanya economic analysis impact kwa taifa
 
SULUHISHO NI MABASI YAONDOKE STENDI SAA 10 ALFAJIRI NA MADEREVA WAWE 3 MATAJIRI WASIWE MABAILI KUWALIPA NA POLISI WAJIPANGE KUHAKIKISHA USALAMA WAO KUANZIA MUDA HUO WA SAA 10 BASI YATAFIKA SALAMA NA WATAPUNGUZA SPIDI MAANA MUDA WA SAFARI UMEONGEZWA.
Sidhani kuwa huo utafiti umezingatia vigezo gani..Hapa majibu hatuwezi kuwa nayo bila kusoma huo utafiti na vigezo vya kufikia hayo maamuzi.Ila Dar- Mbeya ni jirani sana,kutumia siku mbili ni upotevu wa muda tu.

Dar to Mbeya ni karibu km 900 tu ukiweka mda wa kupumzika kama saa 1 na gari itembee km80/saa basi gari hilo litatumia saa 12 au 13 kufika Mbeya au Dar.Sasa likiondoka saa 12 asbh ni kwamba saa 1 jioni hadi saa 2 usiku litakuwa Mbeya au Dar sasa kwanini zitumike siku mbili wakati muda wa mwisho basi kutembea barabarani ni saa sita usiku.
 
Waliozoea kusafiri kwa mabasi kwa siku mojakutoka Dar es salaam kwenda Mbeya na kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza na kwingineko kwenye umbali sawa na huo,

sasainabidi wajipange kisaikolojia kutumia siku mbili kukamilisha safari hizo.

Hayo yamebainishwa na Meneja Usalama Barabarani na Mazingira wa SUMATRA, Geofrey Silanda.

Uamuzi huo umetokana na utafiti uliofanywa na mamlaka hiyo na kubaini kwamba mabasi yanayofanya safari kwenye mikoa hiyo hayapaswi kusafiri kwa siku moja.

Toa maoni yako

Chanzo : EATV
Makes sense!
 
Back
Top Bottom