usafiri wa Bus from Dar es salaam to Johannesburg

Tanzanianiano

Tanzanianiano

Member
Joined
Sep 1, 2019
Messages
6
Points
45
Tanzanianiano

Tanzanianiano

Member
Joined Sep 1, 2019
6 45
Habari wanaJF..
Nipo na plan ya kusafiri Dar -Jo'burg kwa bus. Naomba msaada kufahamu yafuatayo;
Safari inachukua siku ngapi?
Route ipi ni the best kati ya kupitia Lusaka au lilongwe?
Nauli ni bei gani, kampuni ipi ya mabasi ipo vizuri?
Na kingine chochote cha kuzingatia kwenye safari..
 
Extra miles

Extra miles

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Messages
1,214
Points
2,000
Extra miles

Extra miles

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2018
1,214 2,000
Je, usafiri huu upo maana siku hizi naona basi zinafika lubumbashi na harare pekee
 
Easy Chair Mark III

Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Messages
566
Points
1,000
Easy Chair Mark III

Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2019
566 1,000
Habari wanaJF..
Nipo na plan ya kusafiri Dar -Jo'burg kwa bus. Naomba msaada kufahamu yafuatayo;
Safari inachukua siku ngapi?
Route ipi ni the best kati ya kupitia Lusaka au lilongwe?
Nauli ni bei gani, kampuni ipi ya mabasi ipo vizuri?
Na kingine chochote cha kuzingatia kwenye safari..
Nimewahi kusafiri Mara nyingi mno ktk route hiyo miaka ya nyuma, kutokana na uzoefu wangu naweza nikasema haya yafuatayo:
1. Route ya Dsm-Tunduma-Lusaka-Harare-Johannesburg: Route hii ni bora zaidi.
Siku za safari ni NNE(4), siku 1 ni ya kusafiri usiku na mchana hakuna kulala
Nauli(Viwango na Mapendekezo)
Dsm- Lusaka-Harare(moja KWA moja): Tshs 150,000/= hadi 160,000/=
Dsm-Lusaka:Tshs: 130,000/= hadi 140,000/=
Kampuni ya mabasi ni Taqwa ya Tz.

Tunduma/Nakonde boarder to Lusaka: Kwacha 300
NB: Nauli ya Dsm- Tunduma: not included here.

Makampuni ya Mabasi ni Power Tool, ya Zambia

2.Lusaka-Harare-Johannesburg route
NB: Nauli KWA route hii Unaweza ikawa KWA fedha za Zambia(Kwacha) au za Afrika Kusini(Rand): zingatia sana jambo hili.
Ushauri wa bure: Kutokana na exchange rates ni vyema ukatumia Rand za South Africa, ukitumia Kwacha utalipa zaidi.
Nauli: Lsk-Harare-Joburg: Rand(ZAR) 900 hadi ZAR 1000
Kampuni zipo nyingi za Mabasi, lakini ilivyo bora Zaidi ni
ACK Logistics Company Ltd, kampuni ya Zambia
(the best customer care inside, and the highest quality buses in Zambia) with toilets inside.
NB: tembelea website yao KWA ratiba za safari

Harare- Johannesburg route

Nauli ni kwa Rands (ZAR)
Bei zinatofautiana kulingana na ubora wa Mabasi na huduma

Luxury buses
Nauli ni ZAR 350 hadi ZAR 500
Makampuni ya buses: CitiLiner, Eagle Liner, Sky Liner, Trans Lux, etc
NB: No toilets inside

Super Luxury Buses:

Makampuni ya Mabasi ni:
Greyhound na Intercape, yote ya Afrika Kusini.
The highest and the best customer care inside, the safety is guaranteed, toilet inside,
Nauli ni kuanzia Rands (ZAR) 600 na kuendelea, nauli inaongezeka kadiri ya muda wa safari unavyokaribia, ukikata ticket mapema utalipa kidogo kama ilivyo ktk usafiri wa ndege.
NB: Safari zote kutoka Harare to Jo'burg zinaanza SAA 1:00 jioni
They are very strictly about time like an airplane flights

Tahadhari: Usipitie nchi ya Msumbiji, Maaskari Polisi na Maafisa Uhamiaji wa Msumbiji ni Wasumbufu sana tena wana roho mbaya sana, wanapenda sana rushwa, unless kama una Passport ya Kidiplomasia au Una Kitambulisho cha Kazi cha Mashirika ya Kimataifa eg UN.Vile vile, hawako friendly na barabara zao ni mbaya sana.Japokuwa Mimi sijawahi kuwa muhanga wa masaibu hayo ktk safari zangu zote, lakini nimekuwa nikiwashuhudia Watanzania mwenzangu wakipata misukosuko ktk safari zao.
Pia, hawajui kuongea Kiingereza, wala Kiswahili isipokuwa Kireno tu.

Ukiwa na hoja nyingine yoyote, au ukitaka maelezo zaidi hata ukitaka maelezo kuhusiana na usafiri wa ndege kwa route hiyo, usisite kuwasilisha hoja zako kwangu.

Maelezo yangu nafikiri yatakusaidia KWA kiasi Fulani ktk mipango yako, nakutakia safari njema
 
Asante sana mkuu, You are the best aisee..
Maelezo yako yanajitosheleza an yamenisaidia sana. Vitu vingi sana sivifahamu kwasababu ndio itakuwa safari yangu ya kwanza. Kama kuna issue nyingine ntauliza mkuu
 
Easy Chair Mark III

Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Messages
566
Points
1,000
Easy Chair Mark III

Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2019
566 1,000
Asante sana mkuu, You are the best aisee..
Maelezo yako yanajitosheleza an yamenisaidia sana. Vitu vingi sana sivifahamu kwasababu ndio itakuwa safari yangu ya kwanza. Kama kuna issue nyingine ntauliza mkuu
Okay, thanks.
Lakini pia chukua tahadhari na ufanye tathmini juu ya Usalama ktk safari yako unapofika Harare Zimbabwe, wakati mwingine huwa zinatokea "rabsha za kisiasa" ambazo huwa zinatokea ghafla tu jijini Harare, na ku-interupt mwenendo mzima wa safari.Maandamano ya wananchi jijini Harare yanaweza kufanyika ghafla tu ktk jiji hilo.Niliwahi kukumbana na kadhia kama hii.
 
Brown73

Brown73

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2010
Messages
1,026
Points
2,000
Brown73

Brown73

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2010
1,026 2,000
Okay, thanks.
Lakini pia chukua tahadhari na ufanye tathmini juu ya Usalama ktk safari yako unapofika Harare Zimbabwe, wakati mwingine huwa zinatokea "rabsha za kisiasa" ambazo huwa zinatokea ghafla tu jijini Harare, na ku-interupt mwenendo mzima wa safari.Maandamano ya wananchi jijini Harare yanaweza kufanyika ghafla tu ktk jiji hilo.Niliwahi kukumbana na kadhia kama hii.
Mungu akubariki ndugu yangu. Utakua umewasaidia wengi watakao soma nyuzi huu.
 
Optimus_Prime

Optimus_Prime

Senior Member
Joined
Nov 14, 2017
Messages
101
Points
250
Optimus_Prime

Optimus_Prime

Senior Member
Joined Nov 14, 2017
101 250
Nimewahi kusafiri Mara nyingi mno ktk route hiyo miaka ya nyuma, kutokana na uzoefu wangu naweza nikasema haya yafuatayo:
1. Route ya Dsm-Tunduma-Lusaka-Harare-Johannesburg: Route hii ni bora zaidi.
Siku za safari ni NNE(4), siku 1 ni ya kusafiri usiku na mchana hakuna kulala
Nauli(Viwango na Mapendekezo)
Dsm- Lusaka-Harare(moja KWA moja): Tshs 150,000/= hadi 160,000/=
Dsm-Lusaka:Tshs: 130,000/= hadi 140,000/=
Kampuni ya mabasi ni Taqwa ya Tz.

Tunduma/Nakonde boarder to Lusaka: Kwacha 300
NB: Nauli ya Dsm- Tunduma: not included here.

Makampuni ya Mabasi ni Power Tool, ya Zambia

2.Lusaka-Harare-Johannesburg route
NB: Nauli KWA route hii Unaweza ikawa KWA fedha za Zambia(Kwacha) au za Afrika Kusini(Rand): zingatia sana jambo hili.
Ushauri wa bure: Kutokana na exchange rates ni vyema ukatumia Rand za South Africa, ukitumia Kwacha utalipa zaidi.
Nauli: Lsk-Harare-Joburg: Rand(ZAR) 900 hadi ZAR 1000
Kampuni zipo nyingi za Mabasi, lakini ilivyo bora Zaidi ni
ACK Logistics Company Ltd, kampuni ya Zambia
(the best customer care inside, and the highest quality buses in Zambia) with toilets inside.
NB: tembelea website yao KWA ratiba za safari

Harare- Johannesburg route

Nauli ni kwa Rands (ZAR)
Bei zinatofautiana kulingana na ubora wa Mabasi na huduma

Luxury buses
Nauli ni ZAR 350 hadi ZAR 500
Makampuni ya buses: CitiLiner, Eagle Liner, Sky Liner, Trans Lux, etc
NB: No toilets inside

Super Luxury Buses:

Makampuni ya Mabasi ni:
Greyhound na Intercape, yote ya Afrika Kusini.
The highest and the best customer care inside, the safety is guaranteed, toilet inside,
Nauli ni kuanzia Rands (ZAR) 600 na kuendelea, nauli inaongezeka kadiri ya muda wa safari unavyokaribia, ukikata ticket mapema utalipa kidogo kama ilivyo ktk usafiri wa ndege.
NB: Safari zote kutoka Harare to Jo'burg zinaanza SAA 1:00 jioni
They are very strictly about time like an airplane flights

Tahadhari: Usipitie nchi ya Msumbiji, Maaskari Polisi na Maafisa Uhamiaji wa Msumbiji ni Wasumbufu sana tena wana roho mbaya sana, wanapenda sana rushwa, unless kama una Passport ya Kidiplomasia au Una Kitambulisho cha Kazi cha Mashirika ya Kimataifa eg UN.Vile vile, hawako friendly na barabara zao ni mbaya sana.Japokuwa Mimi sijawahi kuwa muhanga wa masaibu hayo ktk safari zangu zote, lakini nimekuwa nikiwashuhudia Watanzania mwenzangu wakipata misukosuko ktk safari zao.
Pia, hawajui kuongea Kiingereza, wala Kiswahili isipokuwa Kireno tu.

Ukiwa na hoja nyingine yoyote, au ukitaka maelezo zaidi hata ukitaka maelezo kuhusiana na usafiri wa ndege kwa route hiyo, usisite kuwasilisha hoja zako kwangu.

Maelezo yangu nafikiri yatakusaidia KWA kiasi Fulani ktk mipango yako, nakutakia safari njema
Ngoja na mimm ni plan adventure ya kwenda Cape Town kwa basi. Thanks mkuu kwa maelezo
 
Tanzanianiano

Tanzanianiano

Member
Joined
Sep 1, 2019
Messages
6
Points
45
Tanzanianiano

Tanzanianiano

Member
Joined Sep 1, 2019
6 45
Okay, thanks.
Lakini pia chukua tahadhari na ufanye tathmini juu ya Usalama ktk safari yako unapofika Harare Zimbabwe, wakati mwingine huwa zinatokea "rabsha za kisiasa" ambazo huwa zinatokea ghafla tu jijini Harare, na ku-interupt mwenendo mzima wa safari.Maandamano ya wananchi jijini Harare yanaweza kufanyika ghafla tu ktk jiji hilo.Niliwahi kukumbana na kadhia kama hii.
Duh.. Asante sana mkuu. Unaonekana ni traveller kweli. May God bless u
 
Call911

Call911

Member
Joined
Apr 13, 2019
Messages
40
Points
125
Call911

Call911

Member
Joined Apr 13, 2019
40 125
Nimewahi kusafiri Mara nyingi mno ktk route hiyo miaka ya nyuma, kutokana na uzoefu wangu naweza nikasema haya yafuatayo:
1. Route ya Dsm-Tunduma-Lusaka-Harare-Johannesburg: Route hii ni bora zaidi.
Siku za safari ni NNE(4), siku 1 ni ya kusafiri usiku na mchana hakuna kulala
Nauli(Viwango na Mapendekezo)
Dsm- Lusaka-Harare(moja KWA moja): Tshs 150,000/= hadi 160,000/=
Dsm-Lusaka:Tshs: 130,000/= hadi 140,000/=
Kampuni ya mabasi ni Taqwa ya Tz.

Tunduma/Nakonde boarder to Lusaka: Kwacha 300
NB: Nauli ya Dsm- Tunduma: not included here.

Makampuni ya Mabasi ni Power Tool, ya Zambia

2.Lusaka-Harare-Johannesburg route
NB: Nauli KWA route hii Unaweza ikawa KWA fedha za Zambia(Kwacha) au za Afrika Kusini(Rand): zingatia sana jambo hili.
Ushauri wa bure: Kutokana na exchange rates ni vyema ukatumia Rand za South Africa, ukitumia Kwacha utalipa zaidi.
Nauli: Lsk-Harare-Joburg: Rand(ZAR) 900 hadi ZAR 1000
Kampuni zipo nyingi za Mabasi, lakini ilivyo bora Zaidi ni
ACK Logistics Company Ltd, kampuni ya Zambia
(the best customer care inside, and the highest quality buses in Zambia) with toilets inside.
NB: tembelea website yao KWA ratiba za safari

Harare- Johannesburg route

Nauli ni kwa Rands (ZAR)
Bei zinatofautiana kulingana na ubora wa Mabasi na huduma

Luxury buses
Nauli ni ZAR 350 hadi ZAR 500
Makampuni ya buses: CitiLiner, Eagle Liner, Sky Liner, Trans Lux, etc
NB: No toilets inside

Super Luxury Buses:

Makampuni ya Mabasi ni:
Greyhound na Intercape, yote ya Afrika Kusini.
The highest and the best customer care inside, the safety is guaranteed, toilet inside,
Nauli ni kuanzia Rands (ZAR) 600 na kuendelea, nauli inaongezeka kadiri ya muda wa safari unavyokaribia, ukikata ticket mapema utalipa kidogo kama ilivyo ktk usafiri wa ndege.
NB: Safari zote kutoka Harare to Jo'burg zinaanza SAA 1:00 jioni
They are very strictly about time like an airplane flights

Tahadhari: Usipitie nchi ya Msumbiji, Maaskari Polisi na Maafisa Uhamiaji wa Msumbiji ni Wasumbufu sana tena wana roho mbaya sana, wanapenda sana rushwa, unless kama una Passport ya Kidiplomasia au Una Kitambulisho cha Kazi cha Mashirika ya Kimataifa eg UN.Vile vile, hawako friendly na barabara zao ni mbaya sana.Japokuwa Mimi sijawahi kuwa muhanga wa masaibu hayo ktk safari zangu zote, lakini nimekuwa nikiwashuhudia Watanzania mwenzangu wakipata misukosuko ktk safari zao.
Pia, hawajui kuongea Kiingereza, wala Kiswahili isipokuwa Kireno tu.

Ukiwa na hoja nyingine yoyote, au ukitaka maelezo zaidi hata ukitaka maelezo kuhusiana na usafiri wa ndege kwa route hiyo, usisite kuwasilisha hoja zako kwangu.

Maelezo yangu nafikiri yatakusaidia KWA kiasi Fulani ktk mipango yako, nakutakia safari njema
Short n clear n well understood... Nilikuwa napanga siku moja wakat naenda jozi nichague barabara ila kwa jibu lako ushauri nmeupokea
 
Na mpaka cape town vp upande huo kwa tunaotarajia kwenda huko
 
Uhuru n Umoja

Uhuru n Umoja

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2016
Messages
533
Points
500
Uhuru n Umoja

Uhuru n Umoja

JF-Expert Member
Joined May 25, 2016
533 500

Uko Sahihi sana kuhusu Mozambique. dah! jamaa ni Wangese sana aisee! Mi 2003 nilipata sana shida nao pale Dedze border kat ya Malawi na Mozambique.
 
M

mkazuzu1

New Member
Joined
Mar 20, 2019
Messages
3
Points
45
M

mkazuzu1

New Member
Joined Mar 20, 2019
3 45
pia waweza toka dar-lusaka,kisha hapo lusaka ukachukua basi mpk boda ya kazungula,unavuka mto zambezi kwa pantoni utakuwa uko kasane mji wa kwanza wa bostwana.

baada ya hapo utapanda sprinter gari flani hivi kama coster mpk francistown kwa pula 150, toka francistown mpk gaborone ni pula 88 kwa treni tena safiii kabisa ndani mtapewa chips na juice ukifika gaborone utapandaa tax mpk joberg ni pula 200 safari ya masaa sita tu utakuwa joberg hiyo njia ya kasane to gaborone ni tamu sana utafanyaaa utalii mpk uchoke barabara ni lamiiii hakuna hata tuta speed ni 120 mwisho 80
 
F

Fermi

Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
53
Points
150
F

Fermi

Member
Joined Aug 9, 2017
53 150
Easy Chair Mark III asante sana kwa maelezo yako murua na yaliyojitosheleza. Swali langu ni kwa huo muda na makasheshe barabarani si inaweza kuwa nafuu kupanda ndege tu ?
 
M

mkazuzu1

New Member
Joined
Mar 20, 2019
Messages
3
Points
45
M

mkazuzu1

New Member
Joined Mar 20, 2019
3 45
wala hakuna kasheshe zzt barabarani zaidi ya kufuraia safari yako mwanzo mwisho ukitoka kasane mpk francistown amini hutaweza kuta askari (traficki) njiani hata mmoja zaidi ya vituo vya kushuka kwenda kukanyaga maji ya dawa( kwani mnapita kwenye mbuga ya wanyama ya kasane) so lazima kukanyaga maji yale kwa ajili ya kuzuia maambukizi
 
Forum statistics

Threads 1,336,633
Members 512,670
Posts 32,545,997
Top