Naungana na wewe mkuu hilo ndio basi langu kila napokuwa na safari ya Arusha,time management ipo vizuri kwaoKama huna haraka panda isamilo, loliondo nk ila kama una haraka panda Asante Rabi ile ya kwanza.
Hiyo asante rabi ni upon a time ila ni mwamba njiani.
Safari na Mghamba, chuma Kiko makini.Habari za mchana wakuu?
Naomba kujua basi nzuri za kutoka jijini Mwanza kwenda Arusha.
Ahsanteni sana.
Panda Loliondo, hutajutaHabari za mchana wakuu?
Naomba kujua basi nzuri za kutoka jijini Mwanza kwenda Arusha.
Ahsanteni sana.
Seconded...!Panda Loliondo, hutajuta