Usafiri upi mzuri wa kutoka Moshi kwenda Mbeya?

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,732
22,855
Habari wakuu.


Siku chache zijazo nategemea kusafiri kutoka Moshi kwenda, kwa anayefahamu usafiri mzuri wa basi naomba anisaidie jina la basi husika.


Natanguliza shukrani
 
Kuna kiazi kitam nadhan hua inatoka moshi, arusha, dodoma ad mbeya kwa njia ya dodoma na hua inafika mapema zaidi, hua haizunguki,, unaweza pia kuulizia hilo gari mkuu
 
Hood Uhakika Wa Safari Ndefu Kama Hizo, Nenda Ofisi Zao Pale Polisi Mess
Hayo magari ya Hood na Sumry ilikuwa zamani sasa hivi wote wanaopanda hayo magari wanaishia kujuta. namna bora ya kwenda mbeya mi kupanda basi arusha kupitia dodoma na iringa na unafika mapema kabisa.
 
Back
Top Bottom