chakii kwani ndiyo Mara yako ya kwanza kusafiri kwenda mbeya? na kushauri subiri ndege za baba jesika zianze kazi...Habari wakuu.
Siku chache zijazo nategemea kusafiri kutoka Moshi kwenda, kwa anayefahamu usafiri mzuri wa basi naomba anisaidie jina la basi husika.
Natanguliza shukrani
Kama ulivyoshauriwa hapo juu usafiri wa uhakika Arusha - Mbeya ni HoodSijawahi kutokea moshi mkuu. Nikisuburia ndege nitachelewa mkuu
inalala njianiNew force bus safi sana
........mapanga boisubiri bombardier au mapanga shaaaa
Hayo magari ya Hood na Sumry ilikuwa zamani sasa hivi wote wanaopanda hayo magari wanaishia kujuta. namna bora ya kwenda mbeya mi kupanda basi arusha kupitia dodoma na iringa na unafika mapema kabisa.Hood Uhakika Wa Safari Ndefu Kama Hizo, Nenda Ofisi Zao Pale Polisi Mess
Umepata wifi hukoo?Habari wakuu.
Siku chache zijazo nategemea kusafiri kutoka Moshi kwenda, kwa anayefahamu usafiri mzuri wa basi naomba anisaidie jina la basi husika.
Natanguliza shukrani
kwani new force si inaanzia Arusha? hebu taja kama kuna gari zinazoanzia Moshi kupitia dodoma?Au Arusha Express, via Dodoma!