Usafiri KIA mpaka Moshi/Arusha

Usafiri KIA mpaka Moshi/Arusha

Insidious

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2020
Posts
736
Reaction score
986
Habari wana forum;

Naomba kufahamu kama kuna shuttle/ usafiri wa kushare kutoka KIA kwenda Moshi/Arusha pindi unapotua kiwanja hiki. (Sio airport Taxi) na pia ni bei gani

Kuna haja ya kwenda mpaka kule kituoni nje ya kiwanja au humohumo ndani yapo
 
Nakumbuka kulikuwa na shuttle bus 10,000/- sijui kama imebadilika.
 
Kuna shuttle ya Air Tanzania na za binafsi nyingi tu hapo KIA.Ukiingia kwenye Parking ya Arrivals utazipata.Zingine zimeleta wasafiri na hawataki kurudi tupu.Kuwa smart ku bargain.
 
Back
Top Bottom