kia

Kia Corporation (Korean: 기아; pronounced [ki.a]) is a South Korean multinational automobile manufacturer headquartered in Seoul, South Korea. It is South Korea's second largest automobile manufacturer, after its parent company, Hyundai Motor Company, with sales of over 2.8 million vehicles in 2019. Kia is owned by Hyundai, which holds a 33.88% stake valued at just over US$6 billion. Kia in turn is a minority owner of more than twenty Hyundai subsidiaries ranging from 4.9% up to 45.37%, totaling more than US$8.3 billion.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Safari za Shirika la Ndege la Brussels Airlines kutoka Brussels - KIA zazinduliwa Rasmi

    Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya usafiri wa anga na utalii baada ya Shirika la Ndege la Brussels Airlines kuzindua rasmi safari zake za moja kwa moja kati ya Brussels, Ubelgiji na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) katika hafla iliyofanyika Juni 3, 2026. Kuanza...
  2. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Tulia ni KIA !

    Heshima sana wanajamvi. Tulia wa leo si wa jana wala juzi. Tulia wa leo amefubaa,amenyong'onyea,amepauka, amekuwa kichekesho na mnyonge katika viambaza vya wenye mamlaka. Wengi mtakumbuka sakata la Kilimanjaro International Airport kumilikiwa na KADCO. Wabunge walipiga kelele kubwa ni kwanini...
  3. Insidious

    JamiiForums Tanzania Usafiri KIA mpaka Moshi/Arusha

    Habari wana forum; Naomba kufahamu kama kuna shuttle/ usafiri wa kushare kutoka KIA kwenda Moshi/Arusha pindi unapotua kiwanja hiki. (Sio airport Taxi) na pia ni bei gani Kuna haja ya kwenda mpaka kule kituoni nje ya kiwanja au humohumo ndani yapo
Back
Top Bottom