X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,857 Jun 6, 2011 #1 Ilimradi Tufike Tu, Usalama Mmajaliwa!
Nanren JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 3,856 Reaction score 4,577 Jun 6, 2011 #2 X-PASTER said: Ilimradi Tufike Tu, Usalama Mmajaliwa! Click to expand... Mkuu Eksipasta, mbona hiyo gari kama ya kwako?
X-PASTER said: Ilimradi Tufike Tu, Usalama Mmajaliwa! Click to expand... Mkuu Eksipasta, mbona hiyo gari kama ya kwako?
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,857 Jun 6, 2011 Thread starter #3 Nanren said: Mkuu Eksipasta, mbona hiyo gari kama ya kwako? Click to expand... Ntakupiga konzi weye, mi niwe na gari kama hiyo... wewe!?
Nanren said: Mkuu Eksipasta, mbona hiyo gari kama ya kwako? Click to expand... Ntakupiga konzi weye, mi niwe na gari kama hiyo... wewe!?
Darlingtone JF-Expert Member Joined Jan 9, 2011 Posts 390 Reaction score 146 Jun 13, 2011 #4 X-PASTER said: Ilimradi Tufike Tu, Usalama Mmajaliwa! Click to expand... Kuna sehemu nyingine usafiri unakuwa wa shida sana jamani, kiasi kwamba hata mwenye gari anaona bora atoe msaada kwa njia hiyo na abiria pia anaridhia kwa sababu hakuna option nyingine.....
X-PASTER said: Ilimradi Tufike Tu, Usalama Mmajaliwa! Click to expand... Kuna sehemu nyingine usafiri unakuwa wa shida sana jamani, kiasi kwamba hata mwenye gari anaona bora atoe msaada kwa njia hiyo na abiria pia anaridhia kwa sababu hakuna option nyingine.....
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,811 Reaction score 13,767 Jun 13, 2011 #5 Afadhali hao wako kwenya gari tena barabara ya lami,je kule mabonde kwinama?
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,730 Jun 13, 2011 #6 hahahaaaa inaelekea huko usafiri wa mwisho ni ng'ombe daaa sijui lini tutapiga hatua mbele?
AshaDii Platinum Member Joined Apr 16, 2011 Posts 16,189 Reaction score 18,117 Jun 13, 2011 #7 At least hawawi wamesimama wanapokua katika foleni...