Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
Malafyale , we kweli mwenzangu na miye,
Ulipanda RAA au RAB? , na mzee Mayere uliwahi kumsikia?
Nazikumbuka sana RAB malafyale
Malafyale , we kweli mwenzangu na miye,
Ulipanda RAA au RAB? , na mzee Mayere uliwahi kumsikia?
Kabla ya RAB zilikuwepo za registration RAA.Nazikumbuka sana RAB malafyale
Kabla ya RAB zilikuwepo za registration RAA.
Lakini sisi tukiwa wanafunzi miaka hiyo zilikuwepo RAB 503, RAB 504, RAB 505, 506 na kuendelea.
Gari hizi za Leyland zilikuwa maarufu kanda nzima ya nyanda za juu kusini.
Utotoni na ujanani memory huwa photographicMpaka number zake unakumbuka. Ilikuwa mwendo wa warrant tu.
Kabla ya RAB zilikuwepo za registration RAA.
Lakini sisi tukiwa wanafunzi miaka hiyo zilikuwepo RAB 503, RAB 504, RAB 505, 506 na kuendelea.
Gari hizi za Leyland zilikuwa maarufu kanda nzima ya nyanda za juu kusini.
Huu uhondo wa miaka hiyo vijana wengi hawaujui.
Basi hizo za zamani zaidi ilikuwa Leyland Albion, baadaye zikaja Leyland Clysdale(Au Leyland CD)
Mlio wa hizo gari kwa abiria ilikuwa muziki tosha!
Kabla ya RAB zilikuwepo za registration RAA.
Lakini sisi tukiwa wanafunzi miaka hiyo zilikuwepo RAB 503, RAB 504, RAB 505, 506 na kuendelea.
Gari hizi za Leyland zilikuwa maarufu kanda nzima ya nyanda za juu kusini.
Tabora lilikuwepo moja linaitwa SUPANA MKONONI au NIPELEKE NIKAFE hilo lilikuwa ni Tabora ipole. Pale chabutwa sikonge linapita saa tisa za usiku na Tabora just 99 km linafika saa nne! Mabasi yooooote ya sabena na shakika yanaondoka saa sita lenyewe linaondoka saa nane. Hatari. Baadae Kitendaguro bus service likatoa upgrade yake likifanya safari za tabora moshi ilikuwa raha sana. Siku NBS anaanzisha ruti ya tabora arusha karibu nusu ya wana tabora tulifika stendi alfajiri kushuhudia jinsi linavyoondoka ilikuwa raha sana.
wazee walihamishiwa Babati from Arusha...sasa tukitoka Arusha saa 2 Asubuh Babati tunafika saa 10-11 Jioni...kitu kinalalamika njia nzima mpaka Twiga pale Tarangire-Mbugwe tukiwa tunakatisha walikuwa wanakuja barabarani kushuhudia...
Kitu Tanganyika Bus, then ikaja Mtei ....Nyuki, Homeguys...Bazuu, halafu yakaja mabasi ya Scania ya Bullet na Born City haya yalikuwa yanaenda mpaka Singida..
Sitaisahau born city Mtu unatamani ipae ifike Singida kuwahi wastara...kweli maisha yanabadilika
basi hilo kama lile la moshi-urumawella alokuwa akiendesha mzee gerald!
mkuu kumbe umetoka huko?bon city nafikir haipo tena barabarani.
Tulikuwa tunamwita tu mzee Gerald. Sijui ukoo wake. Konda wa basi lake alikuwa mwanamke.gerlad kessy?? Au
Kabla ya RAB zilikuwepo za registration RAA.
Lakini sisi tukiwa wanafunzi miaka hiyo zilikuwepo RAB 503, RAB 504, RAB 505, 506 na kuendelea.
Gari hizi za Leyland zilikuwa maarufu kanda nzima ya nyanda za juu kusini.
mkuu uliziona pia Bus za Bedford? hizi kidogo hazikuwa zikilalamika kama za Leyland...hizi za bedford zilikuwa zikishika break zinasonya mxsuiii.... halafu ikaja chai maharage za isuzu pia...