masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,910
- 15,155
Leyland Albion kitu cha mwingereza hicho!
Halafu Dereva akiingiza gear lazima kuwe na mtu wa kuishikilia (ili isichomoke).
How old are you?Dereva mzee, na mara nyingi wawili. Hakuna cha ajali kuchinja watu.
How old are you?
Sijawahi kuliona hili basi zaidi ya hivi kwenye picha...Shikamoo mkubwa wangu!!As old as my age.
Hint: Nilipanda bus za aina hiyo as a student hasa za Tanzania Railways Corp.
Sijawahi kuliona hili basi zaidi ya hivi kwenye picha...Shikamoo mkubwa wangu!!
Hapana sijawahi sikia hayo...lol ahsante kwa kunifungua macho...Marahaba my daughter!
Kwa hiyo hujawahi kusikia wakati huo tulikuwa tunapewa kitu kinaitwa warrant kwa ajili ya usafiri? Unasafiri then wanadai serikali mbele ya safari.
Na JKT hujapita bila shaka. Wakati ule afande anakuuliza mbona huli? Ukisema huna appetite, anakuambia huna ushirikiano - azima kwa mwenzako aliyemaliz kula!
Hapana sijawahi sikia hayo...lol ahsante kwa kunifungua macho...
Huu uhondo wa miaka hiyo vijana wengi hawaujui.Marahaba my daughter!
Kwa hiyo hujawahi kusikia wakati huo tulikuwa tunapewa kitu kinaitwa warrant kwa ajili ya usafiri? Unasafiri then wanadai serikali mbele ya safari.
Na JKT hujapita bila shaka. Wakati ule afande anakuuliza mbona huli? Ukisema huna appetite, anakuambia huna ushirikiano - azima kwa mwenzako aliyemaliz kula!
Malafyale , we kweli mwenzangu na miye,As old as my age.
Hint: Nilipanda bus za aina hiyo as a student hasa za Tanzania Railways Corp.