Ni mimi abiria mwenzake nilimpa chai na kipande cha gimbi, namshangaa anaposema tulipewa, kweli shukurani ya punda ni mateke.Kila siku napanda hzo gari ila cjawahi kuona wakigawa chai,
Apa umeongopa,
Suala la kutangaza kila kituo ni kweli ila kuhusu chai uongo
Nimewahi kupewa chai na maandazi kweli hili basi. Wanahuduma nzuri sana kwa kweli.Kila siku napanda hzo gari ila cjawahi kuona wakigawa chai,
Apa umeongopa,
Suala la kutangaza kila kituo ni kweli ila kuhusu chai uongo
Hao jamaa wanajitahidi kwa huduma , kusini mikoa ya mtwara na Lindi bado kunahitaji ukombozi mkubwa sana kwa biashara ya abiria maana ni kama ndo wanaaanza.Naona umekuja na staili ya ki abiria ila tumeelewa..wewe ni marketing officer fanya tu ulipie tangazo...
Uzuri wa hotel wanazokula kule nyingi Zina escape route , mfano nangurukuru Basi likisimama unavuka tu bara bara utakutana na bites vinywaji Bei za kawaidaHawaja wapeleka kwnye hotel zao zenye chakula. bei ghari na chakula kibovu hahahha[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji3][emoji3][emoji817][emoji95]
Huo ujinga wa kutaka ulipie begi, Wana Sai Baba inyokwenda Liwale. Mibasi mibovu konda jeuriHao jamaa wanajitahidi kwa huduma , kusini mikoa ya mtwara na Lindi bado kunahitaji ukombozi mkubwa sana kwa biashara ya abiria maana ni kama ndo wanaaanza...
Yapo baadhi ya mabasi yana hita na vipozeo vya maji ambavyo huwa kati ya kitu cha dereva na ngazi ya kuingilia, lakini sijawahi kuona wakivitumia, hata coaster nyingine zinavipozeo lakini havitumiki!Kwamba hiyo gari ina jiko la kuchemshia chai au mi sijaelewa
Hata ABC ya Dar-Dodoma wana huduma kama hiyo wako vizuri kwa kweli,ingawa hiyo ya chai hawana...Habari wana JF,
Moja kwa moja nijikite kwenye mada.
Hivi karibuni nilipata safari ya kwenda Mtwara kutokea Dar. Nilifurahishwa na huduma za kampuni ya mabasi ya King Yassin Tours.
Kila kituo tulichosimama abaria tulitangaziwa kupitia kipaza sauti kilichopo ndani ya basi. Tulipewa huduma ya chai, vitafunwa pamoja na vinywaji humo humo ndani ya basi. Wafakazi waje wanaamini abiria na hata tulipofika mwisho wa kituo (Mtwara) abiria tuliombwa radhi endapo tuliona mapungufu yeyote.
Abaria tulipata huduma nzuri kwa nauli sawa na mabasi mengine. Hili ni fundisho kwa kampuni za mabasi mengine. Waache kufanya kazi kwa mazoea. Waige kampuni mpya ya King Yassin Tours.
MUHIMU: Sina maslahi yeyote na kampuni hiyo bali kama abiria nimefurahishwa na huduma zao. Hongera King Yassin Tours mnajua kufurahisha wateja
[emoji23] [emoji23] Nimetafakari kweli hizo chupa za chai, vikombe na vitafunwa huku Bus likikatiza mapori ya Ikwiriri, Marendego, Namatungutungu, Njianne, Mtandango, Mavuji....Kila siku napanda hzo gari ila cjawahi kuona wakigawa chai. Apa umeongopa
Suala la kutangaza kila kituo ni kweli ila kuhusu chai uongo
Hap vizuriUzuri wa hotel wanazokula kule nyingi Zina escape route , mfano nangurukuru Basi likisimama unavuka tu bara bara utakutana na bites vinywaji Bei za kawaida
Huduma ya chai kwenye mabasi sio ngeni japo ni complex kidogo. Miaka ya nyuma Basi za grazia venerali, Dar njombe walikuwa wanatoa chai na bites ,Hata ABC ya Dar-Dodoma wana huduma kama hiyo wako vizuri kwa kweli,ingawa hiyo ya chai hawana...