Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 4,809
- 6,342
Wkt mwingine unaweza ukawa unalalama bure tu kwamba huna bahati ya kudumu kwenye mahusiano au kupata mwanaume wa kukuoa kumbe tatizo liko kwako ww mwenyewe
Utakuta demu mkali tu tena ni 'working class', ila wkt unamuandaa kwa ajili ya 'bed_fight' unakutana na harufu flaniflani either makwapani, kwenye nywele, ananuka mdomo n.k, au unakuta kavaa chupi/braa nyeusi-its obvious atakua mchafu tu, iweje apendelee rangi ambayo ni 'rafiki wa uchafu'
Personally nikigundua una udhaifu huu, sitakutumia siku hiyo, au ukibahatika nikakutumia basi sitarudia
Hebu badilikeni bwana, bodyspray kibao mitaani, tena bei chee!