'USAFI WA NDANI' kwa kina dada...

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,801
6,231
Wkt mwingine unaweza ukawa unalalama bure tu kwamba huna bahati ya kudumu kwenye mahusiano au kupata mwanaume wa kukuoa kumbe tatizo liko kwako ww mwenyewe

Utakuta demu mkali tu tena ni 'working class', ila wkt unamuandaa kwa ajili ya 'bed_fight' unakutana na harufu flaniflani either makwapani, kwenye nywele, ananuka mdomo n.k, au unakuta kavaa chupi/braa nyeusi-its obvious atakua mchafu tu, iweje apendelee rangi ambayo ni 'rafiki wa uchafu'

Personally nikigundua una udhaifu huu, sitakutumia siku hiyo, au ukibahatika nikakutumia basi sitarudia

Hebu badilikeni bwana, bodyspray kibao mitaani, tena bei chee!
 
Kibongo bongo ni vigumu sana kuwa na viwango vya juu vya usafi wa mwili.

Kwanza, hakuna elimu ya kutosha kuhusu usafi wa mwili. Watu hawajui hata tofauti ya deodorant, antiperspirant deodorant, na body spray.

Pili, vitendea kazi na viwezeshaji hakuna vya kutosha. Havipatikani kiurahisi. Hebu nenda hapo kwa Mangi uulizie kama ana astringent (kama hata unaijua ni nini).

Tatu, maisha magumu. Watu hawana bajeti ya kutosha kuwawezesha kununua vitu ambavyo si muhimu sana katika uhai wao sembuse viondoa harufu, visafisha kinywa vya ziada, na kadhalika?

Nne, miundomsingi isiyoaminika. Maji kukatika hovyo, sehemu zingine ndo hayatoki kabisa. Kwingine hutoka bila mpango maalumu hivyo kulazimika kuyategea kimachale machale. Umeme nao haueleweki.

Tano, kutokuwa na mazoea ya kwenda kufanyiwa physical kila mwaka.
 
Mkuu hata Mawigi yao yananuka sana, kule chini kunatoa harufu balaa kwa wale tunatoa maandalizi kwa kulamba critoris tunakoma kabisa.Unalamba critoris huku umebana misuri ya pua.Usafi ni jambo la muhimu ktk majambos.Tena wadada mliozaa mnatuangusha sana mnatoa harufu za kijinga wakati maji, manukato,etc yapo ya kutosha.
 
Twashukuru kwa ushauri wa bure...
Hapo kwa nywele hapo,jaman kuna wadada wanatoa haruf katika nywele mpaka waweza kutapika,kwapa na mdomo cjawah kusikia labda km ametembea kamwendo karefu!
Hapo ktk bra we ndo tatzo,kuvaa bra nyeua haimaanish n uchafu ila bra nyeuc inasaidia ukivaa nguo haionekani,mfano ukivaa shart jeupe au shifon ukivaa nyeus ndan haionekana bt ukivaa rang zngne inaonekana,ndo maana wengne hatukos bra nyeuc!
 
Mkuu hata Mawigi yao yananuka sana, kule chini kunatoa harufu balaa kwa wale tunatoa maandalizi kwa kulamba critoris tunakoma kabisa.Unalamba critoris huku umebana misuri ya pua.Usafi ni jambo la muhimu ktk majambos.Tena wadada mliozaa mnatuangusha sana mnatoa harufu za kijinga wakati maji, manukato,etc yapo ya kutosha.
Kwann waliozaa?wengne je!
 
Wkt mwingine unaweza ukawa unalalama bure tu kwamba huna bahati ya kudumu kwenye mahusiano au kupata mwanaume wa kukuoa kumbe tatizo liko kwako ww mwenyewe

Utakuta demu mkali tu tena ni 'working class', ila wkt unamuandaa kwa ajili ya 'bed_fight' unakutana na harufu flaniflani either makwapani, kwenye nywele, ananuka mdomo n.k, au unakuta kavaa chupi/braa nyeusi-its obvious atakua mchafu tu, iweje apendelee rangi ambayo ni 'rafiki wa uchafu'

Personally nikigundua una udhaifu huu, sitakutumia siku hiyo, au ukibahatika nikakutumia basi sitarudia

Hebu badilikeni bwana, bodyspray kibao mitaani, tena bei chee!

aisee hapo kweny chup nyeusi sijakuelewa!kuna black Gstrings wacha kabisa...labda unaokutana nao wanavaa mikunanazi!
 
Hahaaaa dah.. Wawe wanachagua 2 days ktk month ya kujisafisha tu ukweli ni nomaaa
 
mhhh! eeeh jamani nidawa gn nziri ya meno? na spray nzuri inaitwaje??? na nitapata wapi deodorant nzuri??
 
Kibongo bongo ni vigumu sana kuwa na viwango vya juu vya usafi wa mwili.

Kwanza, hakuna elimu ya kutosha kuhusu usafi wa mwili. Watu hawajui hata tofauti ya deodorant, antiperspirant deodorant, na body spray.

Pili, vitendea kazi na viwezeshaji hakuna vya kutosha. Havipatikani kiurahisi. Hebu nenda hapo kwa Mangi uulizie kama ana astringent (kama hata unaijua ni nini).

Tatu, maisha magumu. Watu hawana bajeti ya kutosha kuwawezesha kununua vitu ambavyo si muhimu sana katika uhai wao sembuse viondoa harufu, visafisha kinywa vya ziada, na kadhalika?

Nne, miundomsingi isiyoaminika. Maji kukatika hovyo, sehemu zingine ndo hayatoki kabisa. Kwingine hutoka bila mpango maalumu hivyo kulazimika kuyategea kimachale machale. Umeme nao haueleweki.

Tano, kutokuwa na mazoea ya kwenda kufanyiwa physical kila mwaka.

Nyani Ngabu hiyo astringent ndo nn vile?
 
Last edited by a moderator:
Hapo ktk bra we ndo tatzo,kuvaa bra nyeua haimaanish n uchafu ila bra nyeuc inasaidia ukivaa nguo haionekani,mfano ukivaa shart jeupe au shifon ukivaa nyeus ndan haionekana bt ukivaa rang zngne inaonekana,ndo maana wengne hatukos bra nyeuc!

there your are......mi napenda Black bra.........ukivaa na nguo transparent huwa haionyeshi
 
sikukuelewa!anyway its kind of cosmetic lotion??

as·trin·gent ( -str n j nt)
adj.
1. Medicine Tending to draw together
or constrict tissues; styptic.
2. Sharp and penetrating; pungent or
severe: astringent remarks.
n.
A substance or preparation, such as
alum, that draws together or
constricts body tissues and is
effective in stopping the flow of
blood or other secretions.
[Latin astring ns, astringent-, present
participle of astringere, to bind fast :
ad-, ad- + stringere, to bind; see
streig- in Indo-European roots.]
 
Nyani Ngabu mbona usafi ni mwepesi sana na unawezekana tu.tatizo wadada wengi wanajisahau.wala haihitaji mambo ya kizungu kujiweka safi,yaani kuna vitu asilia tu mfano barafu kwa kuboreshea papuchi na kuondoa harufu.Pia kuna pozi za kuzuia harufu ambazo inatakiwa mtoto wa kike azijue yaani wala haihitaji uwe na pesa ili uwe msafi.
Yaani watu wakizama chumvini hawatoki ful burudani na mwanaume habanduki,akiondoka anarudi.
Chezea usafi wewe

Kibongo bongo ni vigumu sana kuwa na viwango vya juu vya usafi wa mwili.

Kwanza, hakuna elimu ya kutosha kuhusu usafi wa mwili. Watu hawajui hata tofauti ya deodorant, antiperspirant deodorant, na body spray.

Pili, vitendea kazi na viwezeshaji hakuna vya kutosha. Havipatikani kiurahisi. Hebu nenda hapo kwa Mangi uulizie kama ana astringent (kama hata unaijua ni nini).

Tatu, maisha magumu. Watu hawana bajeti ya kutosha kuwawezesha kununua vitu ambavyo si muhimu sana katika uhai wao sembuse viondoa harufu, visafisha kinywa vya ziada, na kadhalika?

Nne, miundomsingi isiyoaminika. Maji kukatika hovyo, sehemu zingine ndo hayatoki kabisa. Kwingine hutoka bila mpango maalumu hivyo kulazimika kuyategea kimachale machale. Umeme nao haueleweki.

Tano, kutokuwa na mazoea ya kwenda kufanyiwa physical kila mwaka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom