Usafi wa mtoto wa kike huko chini

Usafi wa mtoto wa kike huko chini

Hapana kwa kweli asali tena!, upite penye nyuki?!, KE tuna kazi na huko down south kwetu si mchezo, mara weka maziwa, sijui sukari,sijui limao, ndimu, and then what do you do with it After you put all that!, you fry it or bake it?!

This looks like marination to me and afterwards needs to be fried, deep fried.
 
Nipo tu wangu. Tatizo kufukuzia mikate mama. Huwa napitapita mara chache kuona kama kuna mwizu anafuatulia mali zangu. Mzima lakini? Nimekumiss hadi naumwa.

Hahaha haya....
 
Hapana kwa kweli asali tena!, upite penye nyuki?!, KE tuna kazi na huko down south kwetu si mchezo, mara weka maziwa, sijui sukari,sijui limao, ndimu, and then what do you do with it After you put all that!, you fry it or bake it?!

Hao wanadaganyana tu maji ya baridi yanatosha tena juu sasa wengine wanajichokonoa hadi ndani wakati hairuhusiwi uke. Unajiosha wenyewe ndo mana ma infections haziwaishi
 
Kama hata kukata kucha, kuosha miguu etc, itabidi muanze kuzipeleka kwa wauza urembo wawaoshee.
welcome to va**na hair cutting&clearing.
tunanyoa na kuflash naniliu.

kwa majuu inawezekana lakini si hapa bongo
 
Dodoki Na Sabuni Ya Uhakika Ni Kutumia Dushe
Wadudu Na Bakteria Kwisha Habari Yake
Jigo
 
Swala hili limeshaongelewa vya kutosha, elimu ya bure imetolewa kila mahali! Mwenye kusikia kishasikia na atatekeleza ambae mbishi asubuirie matokeo! Ambao hawajapata mafunzo watakua wachache sana, mimi nilikua natumia kidole, kitambaa na sabuni zenye dawa ila baada ya kupata elimu nimeacha kabisa na panajisafisha, sijaona madhara!
 
Kuna mdada nilimuuliza inakuwaje usafi wa k ilhali ana makucha marefu km shetani! Akanijibu k haijaumbwa kuingizwa madole, so ht usafi wk hauhitaji madole!
Akaenda mbali zaidi, akasema yeye anatumi jiwe la kusugulia gaga! sasa hapa mnanchanganya na maelezo yenu Dinazarde na wenzio!

Kamuulize vizuri hilo jiwe anajisugulia huko chini kwani kuna machacha au k ya mwenzetu ngumu kama ngozi ya mamba nini,,

Lazima usafishe na maji ya baridi sio ya moto na uingize kidole ndani utoe uchafu
 
Last edited by a moderator:
Kamuulize vizuri hilo jiwe anajisugulia huko chini kwani kuna machacha au k ya mwenzetu ngumu kama ngozi ya mamba nini,,

Lazima usafishe na maji ya baridi sio ya moto na uingize kidole ndani utoe uchafu
Mauza papa utamjua tu.
 
Nadhani kuacha kuvaa nguo ya ndani au kuvaa kubwa kama bukta ambayo inaruhusu hewa kupita na kutoa unyevu pia inasaidia
 
Kamuulize vizuri hilo jiwe anajisugulia huko chini kwani kuna machacha au k ya mwenzetu ngumu kama ngozi ya mamba nini,,

Lazima usafishe na maji ya baridi sio ya moto na uingize kidole ndani utoe uchafu

Mbona mnapishana winzio wanasema midole hapana inajisafisha yenyewe mtawaumiza wasio jua?
 
Back
Top Bottom