Usafi wa mtoto wa kike huko chini

Kama mitaa ya huko chini inaitaji matunzo namna hiyo.Sisi mapupu yanaweza kuoshwa bila sabuni na kukawa freshi tu.hili la haki sawa kwa wote halitekelezeki.

Kha!, mapupu yanaoshwa bila sabuni, hafu boxers hamfui, kwani sabuni shingapi?!
 
Hapana kwa kweli asali tena!, upite penye nyuki?!, KE tuna kazi na huko down south kwetu si mchezo, mara weka maziwa, sijui sukari,sijui limao, ndimu, and then what do you do with it After you put all that!, you fry it or bake it?!
 
Sawa kwahio kwa nini wengine wakuwa naharuf chini sababu gani au aina ya magojwa fulali na taka kujuwa
 
Kuna mdada nilimuuliza inakuwaje usafi wa k ilhali ana makucha marefu km shetani! Akanijibu k haijaumbwa kuingizwa madole, so ht usafi wk hauhitaji madole!
Akaenda mbali zaidi, akasema yeye anatumi jiwe la kusugulia gaga! sasa hapa mnanchanganya na maelezo yenu Dinazarde na wenzio!
 
Last edited by a moderator:
Daaah kungekuwepo jukwaa la wanawake aiseee

Unataka kuficha nini, Mwaga kila kitu hapa hapa, unajuaje, labda nasisi tunaweza pata maujuzi ya kukusafisheni pindi tusiporidhishwa na usafi wenu kunako naniliiiiiii.
 
Unajua Wabongo kwa kampeni tumetisha sana! ila tatizo vitisho vingi badala ya elimu kutolewa, mi naona tuchunguze sababu ya hizo kansa, kwasababu kama ni kuosha hizi papuchi zimeoshwa sana tangu enzi hizo.
 
na kurudisha UBIKIRA ni dawa gani inayotumika mkuu maana K ya my wangu ni pana sana and it's watery! how can u help her to resolve this problem?
 
Unajua Wabongo kwa kampeni tumetisha sana! ila tatizo vitisho vingi badala ya elimu kutolewa, mi naona tuchunguze sababu ya hizo kansa, kwasababu kama ni kuosha hizi papuchi zimeoshwa sana tangu enzi hizo.

tunaomba madr waje watichambulie vizuri hili swala na mambo ya kansa
 
Unataka kuficha nini, Mwaga kila kitu hapa hapa, unajuaje, labda nasisi tunaweza pata maujuzi ya kukusafisheni pindi tusiporidhishwa na usafi wenu kunako naniliiiiiii.

Mweh mweh....ulikuwa wapi aisee nimekumiss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…