Usafi wa mtoto wa kike huko chini

Usafi wa mtoto wa kike huko chini

Totoz

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
99
Reaction score
18
Habari wapendwa mimi ni msichana.

Nimeona sehemu na haikutosha nikatumiwa text. Ni kuhusu kujisafisha kwa uke, kuna kila aina ya usafishaji mfano maji ya moto na kitambaa au kidole, ndimu, hata asali na pamba.

Mie binafsi naijua maji kwa kidole. Ila ni hii ya asali na pamba mixer na maji ya moto na sabuni jamani dada zangu ni njia ambayo haifai maana inauwa ulinzi(bacteria) wanailinda uke wako njia hii inamadhara sana kama hujui inaweza kukuletea cancer ya kizazi.

Tafadhalini sana tujaribu kuepuka mambo yanayo epukika.

Asanteni
 
Duh,kumbe matunzo ya hiyo kitu ni makubwa na magumu eeeh?!Ndio maana hua nasikia wengine wanatukana.."HUJUI KUOSHA **MA"
 
tumia kidole na maji sabuni nje tu

usitumie deto huko down maana unaua hao bacteria amabo wanalinda utamu usivamiwe na bacteria harmful

ila cancer ya kizazi...inasababishwa na virusi na si SABUNI

mmmmh docta njooo basi utoe mchanganuo maana kuna clip ilisambaa sana ki ukweli ina kauongo flan

safisha papuchi vizuri na inukie sasa WEWE GUSA GUSA TU UKATANGAZWE
KUSAFISHA PAPUCHI HAKULETI CANCER BALI CANCER HUSABABISHA NA VIRUS DUE TO SEX....UKAAMBUKIZWA
 
habari wapendwa mie ni
msichana.. Nimeona sehemu na haikutosha nikatumiwa txt . Ni kuhusu
kujisafisha kwa uke, kuna kila aina ya usafishaji mfano maji ya moto na
kitambaa au kidole, ndimu, hata asali na pamba. Mie binasi naijua maji
kwa kidole. Ila ni hii ya asali na pamba mixer na maji ya oto na sabuni
jaman dada zangu ni njia ambayo haifai maana inauwa ulinzi(bacteria)
wanailinda uke wako njia hii inamadhara sana kama hujui inaweza
kukuletea cancer ya kizazi. Tafadhalini sana tujaribu kuepuka mambo
yanayo epukika. Asanteni

Nilikuwa Nakucheki tu unakoelekea, Nikadhani ungeshauri watu watumie hiyo asali na hizo anti bacterial properties ilizonazo. Hiyo inauwa normal floral, una akili sana mama hongera.
 
Kazi kweli kweli , YAANI WATU WANATUMIA PAMBA NA ASALIIIII

teh teheeee ni shidaaaa
 
habari wapendwa mie ni msichana.. Nimeona sehemu na haikutosha nikatumiwa txt . Ni kuhusu kujisafisha kwa uke, kuna kila aina ya usafishaji mfano maji ya moto na kitambaa au kidole, ndimu, hata asali na pamba. Mie binasi naijua maji kwa kidole. Ila ni hii ya asali na pamba mixer na maji ya oto na sabuni jaman dada zangu ni njia ambayo haifai maana inauwa ulinzi(bacteria) wanailinda uke wako njia hii inamadhara sana kama hujui inaweza kukuletea cancer ya kizazi. Tafadhalini sana tujaribu kuepuka mambo yanayo epukika. Asanteni

Kama hata kukata kucha, kuosha miguu etc, itabidi muanze kuzipeleka kwa wauza urembo wawaoshee.
 
hiyo kitu inataka sabuni tena ya kawaida tu, ila unasafishia juu...!
kule mahal panapomnyima hata rais usingiz.. tumia kidole na maji ya barid tu...!
halaf kila unapoenda haja ndogo tumia maji ya barid..! though inategemea uko wapi...!
maji ya barid ndo kila kitu ..!
 
Back
Top Bottom