Usafi wa jiko muhimu sana.

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,786
Reaction score
1,251,505
Tunaweza kulaumu kuwa ni mwanamke ndio mmiliki wa hili jiko,huwezi jua hata mwanaume bachela nae anaweza fanya hichi kituko. Jaman ee usafi muhimu wakati wa kupika na baada ya kupika kwa watu wote


Kama kawaida nimeiokota mtandaoni.
 
Ilitokea juz hapa wanawake walipoenda kusherekea sikukuu yao, waka waachia wanaume jiko
 
Wachambuzi muende mbali na jiko hilo, hata yale mengine nayo ynatakiwa kuwa masafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…