Usafi ukeni - Sharing is caring

Mkuu Asprin ni kama vile kaandika will ila simo, sasa we unaona sawa kweli haya machangamoto bila ya baraka ya mwenyekiti wa kile chama itakuwaje!!!!!!

Atakuwa Khantwe tu huyu amemzingua lakini naoba ameshatubu
 
Last edited by a moderator:
Hii mada mwili unanitetemeka kwa michango yote nilyoipitia

Haaa unatetemeka sababu unayo huoshi au umekuwa na brashi kama ya chupa kwa ajili hiyo!!!!!!!??????
Wengine humu ni "esteemed customers" tupo humu kuangalia custodians wanafanyagaje kwa lile linalotuhusu!!!!!!
 

........:baby::baby::baby: "Yuk!"
 
Means na yeye mhongaji
πŸ˜•πŸ˜• Nichague yupi kwa ajili ya siti ya mbele??πŸ˜•πŸ˜•

Ameshakuhonga? Kama ndio kakuhonga nini ili nijiongezeπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
mambo ya kujichomeka na vidole ni kuhatarisha afya tu
 
Hajaona hata kidogo na hata angeoba anajua undugu kusaidiana mie iko dugu yake kabisaπŸ˜€πŸ˜€

Hahahaha.....ila mi sinaga undugu kwenye hizi mambo...kama ninyi mwafanya hivyo fanyeni hukohuko msije mkaja na huu upande wangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…