NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 26
Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha.
Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya kuvitunza kwa ajili ya kwenda kuvitupa mara nyingi utakuta pedi zimezagaa kila mahali.
Mie jambo hili linanikera mno wife utakuta wakati mwingine pedi alizotumia kaziweka kwenye fuko zaidi ya wiki mbili baada ya period.
Wakina mama kuweni wasafi mnatisha
Je wewe ushakumbani na hii adha??
Hapo pa red sijaelewa vizuri unatakasema anayetumia pedi au khanga hatumii maji? au mie ndo kiswahili hakipandi?Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha.
Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya kuvitunza kwa ajili ya kwenda kuvitupa mara nyingi utakuta pedi zimezagaa kila mahali.
Mie jambo hili linanikera mno wife utakuta wakati mwingine pedi alizotumia kaziweka kwenye fuko zaidi ya wiki mbili baada ya period.
Wakina mama kuweni wasafi mnatisha
Je wewe ushakumbani na hii adha??
nyamayao labda kakosea badala ya siku mbili loh sipati picha a day tu hiyo harufu si balaa pole ngomanzito.
Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha.
Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya kuvitunza kwa ajili ya kwenda kuvitupa mara nyingi utakuta pedi zimezagaa kila mahali.
Mie jambo hili linanikera mno wife utakuta wakati mwingine pedi alizotumia kaziweka kwenye fuko zaidi ya wiki mbili baada ya period.
Wakina mama kuweni wasafi mnatisha
Je wewe ushakumbani na hii adha??
he he he he!amesahau kwamba mama ake ni mwanamke!WTFHiyo red: Umeamua kutuanikia uchafu wa mkeo? Inawezekana hata m.avi ushalishwa wewe. Pole!
Hiyo blue: Watake radhi wanawake wasafi akiwamo wife wangu na wapwa na mabinamu zangu. Haiwezekani uwalinganishe na mke wako mchafu. Ptuuu! Kama mkeo mchafu mtimue!
Hiyo bold: Sijawahi kukumbana na adha hiyo kwa kuwa mke wangu ni msafi sana! Kalaghabaho!
Omba radhi wanawake wewe!
Hiyo red: Umeamua kutuanikia uchafu wa mkeo? Inawezekana hata m.avi ushalishwa wewe. Pole!
Hiyo blue: Watake radhi wanawake wasafi akiwamo wife wangu na wapwa na mabinamu zangu. Haiwezekani uwalinganishe na mke wako mchafu. Ptuuu! Kama mkeo mchafu mtimue!
Hiyo bold: Sijawahi kukumbana na adha hiyo kwa kuwa mke wangu ni msafi sana! Kalaghabaho!
Omba radhi wanawake wewe!
nakushauri uombe radhi!.....adhawaisi utachezea banSiombi radhi kwani we hujakutana na mapedi yamezagaa mtaani
Siombi radhi kwani we hujakutana na mapedi yamezagaa mtaani
Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha.
Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya kuvitunza kwa ajili ya kwenda kuvitupa mara nyingi utakuta pedi zimezagaa kila mahali.
Mie jambo hili linanikera mno wife utakuta wakati mwingine pedi alizotumia kaziweka kwenye fuko zaidi ya wiki mbili baada ya period.
Wakina mama kuweni wasafi mnatisha
Je wewe ushakumbani na hii adha??
kijana amekimbia thread yake!...............
Kama mkeo ameyatupa barabarani ntaachaje kukutana nayo? Mwambie mkeo aache tabia mbaya! Omba radhi kwa sababu umewajenerolaizi wanawake wote. Umesahau kuna wanawake wasafi kama mke wangu, dada yangu, mama yangu na wapwa na mabinamu zangu.
Kwa mara ya pili OMBA RADHI! Kalaghabaho! Am counting 8....7....6....
mpwaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiii!!!! LOL!!!
WAPWA zako sie wasafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hizo itakuwa za huyo bi mmchafu wake!!!
na hiyo radhi kw ataarifa yake inaweza kubaunsi ujue sasa maan analeta kibri
Hahahaha! Pambaf kabisa yule! Nilikuwa nataka nizae naye! Hawezi kututukania mama zetu afu tumwache hivihivi! Thanks bwashee, tulikuwa sambamba, huwa hatushindwagi! LOL!