Samahani kama hukunielewa, nilimaae 'uchafu' wa ndannisha kuosha kwa kuondoa kabisa uli. Kuosha kwa nje tulisema ni mara 2 kwa siku (at least) ila ukiosha sana huko ndani pia unaharibu balance na ikiwa kwa sababu moja au nyingine unahitajika kukaa zaidi ya masaa 8 bila kuosha utaskia unatoa harufu mbaya sehemu za siri sababu umetoa bacteria fulani ambazo ni muhimu kw kusuppress. Na ndio pia sababu ya kuto tumia intimate gel ndani ya uke, but nje tu. So the balance itakua ni kuosha mara moja kwa siku mbili, unless ulishiriki tendo la ndoa, in which case you have to rince immediately.
nilikuelewa kabisa, but hapo ndio umenichanganya sasa, cjawahi kutoa hiyo harufu mbaya hata cku moja na huwa najisafisha kila niingiapo kuoga....kaka Riwa msaada tafadhali.
Nyamayao
Mwrnzio anakusudia kujisafisha kwa kuingiza kitu kule kunakopita "ndude" ya mwanamme....na kifaa ndio hicho amekuwekea
*mie simo
hata mie nazungumzia kujisafisha huko huko but mwenzangu kaniacha njia panda kusema angalau mara 3 kwa week, khaaa....mhhh ...hata mie simo G....
Lolz
Hebu kwanza google "Douche" japo kwa Wikipedia ili mjadala wenu utufaidishe zaidi
Maana madaktari wa kizungu wanasema ufanye Zero times kabisa
*bado simo....lol
nakubaliana nawe kabisa, nilishapata matatizo ya fungus, nikaenda kwa Dr wa kinamama na akanikataza nisioshe ndani ya uke kbs kwani kufanya ivyo ninaharibu utaratibu wa kule na kuweka vijidudu.
Dr Riwa msaada wako tunahuitaji tafadhali, uko wapi?
so wewe huko huoshagi kabisa, na ukiwa period inakuwaje achilia mbali 2 cku za kawaida? Riwa nae cjui yupo wapi leo jamani, aisee! ....na maji uliyokuwa unaya2mia yalikuwa salama?....kazi kwa kweli, huyo doc angenisamehe mana ningemwambia anipe tiba sio kuniambia nicjifanyie usafi huko, so baada ya kuacha kujisafisha fungus zimeisha?.....mhhhhh
Nimecheka kwa nguvu hadi watu wananishangaa tu. Kwanza hicho kidude mimi situmii ila niliweka sababu kuna watu wanatumia, wengine wanatumia kidole, na wengine hawaoshi ndani kabisa.Lolz
Hebu kwanza google "Douche" japo kwa Wikipedia ili mjadala wenu utufaidishe zaidi
Maana madaktari wa kizungu wanasema ufanye Zero times kabisa
*bado simo....lol
I think ni kweli, tena sio baada ya kufanya mapenzi tu. Mwanamke anatakiwa kujiosha nje na ndani at least mara tatu kwa wiki, na kila baada ya tendo la ndoa.
Sababu ya kufanya hivo ni kwamba Ph ya sperm ni tofauti sana na Ph ya uke na inasababisha fungus ya aina fulani kumea haraka na kuleta harufu mbaya. Sababu lingine la kuosha hapo hapo (obvious) ni uke kua na utelezi fulani ambao haupendezi kabisa. Unaweza kuosha tu kwa nje na maji baridi alafu uoshe vizuri kwa ndani wakati wa kuoga mwili mzima (kwa wale wanao oga kabla ya tendo mfano)
Kwa kuosha uke wako chuchumaa, panua miguu kidogo, tumia maji masafi yasiwe ya moto (kama utaweza tumia ya baridi), chukua intimate gel kidogo, apply straight kati kati ya mashavu, sugua kwa vidole (sio makucha) na suuza kwa maji baridi.
Kwa kuosha ndani ya uke tumia maji tu (usitumii gel) . ingiza kidole (as far as you can) alafu kipindishe kidogo, vuta nje. Kama hujafanya kwa muda utaona kuna "something" kinatoka. repeat until you feel clean.
Umejuaje? vinginevyo badilisha kauli sema wengi huwa tuna........
Usafi ni muhimu kwa wote tu na sio wanawake peke yao. Fuata haya
1. Fua nguo zako za ndani mara kwa mara. (Wanaume wengi sana ni wavivu kwenye suala hili)
2. Nyoa vuzi kila baada ya wiki mbili usisahau pia za kwapa.
3. Osha "dudu" kila baada ya kufanya tendo kwa maji safi na sabuni. (wengi huwa mnafuta tu kwa vitambaa). Na uoge baada ya kumaliza hiyo shughuli.
4. Oga mara kwa mara.
5. Jioshe vizuri baada ya kukata gogo unatoka mbele kuelekea nyuma.
6. Kojoa mara baada ya kumaliza tendo na mwandani wako, hii husaidia kusafisha ile njia ya shahawa.
Hiyo Red: Hatari!!! Don't practice this at home!! Mungu ataamka akutie bakora!Kwa mwanamke:Kwa mwanaume sijui...
- Tumia intimate gels wakati wakuosha.
- osha zaidi na maji baridi kuliko ya moto.
- mara kwa mara tumia intimate wipes during the day (kama upo ofisini au unasafiri mfano, unaweza kutumia mara 2 au mara 3),
- ukienda haja kubwa au ndogo jifute vizuri mbele kwenda nyuma.
- Kama utaweza, kila uendapo haja tumia maji (pressure) alafu futa vizuri kutoa maji maji. hakikisha maji ya nyuma hayaji mbele in the process... (tricky)
- Vaa chupi za cotton or silk. usitumii sana synthetic material ila kama kuna ambayo imekufurahisha sana make sure ina a cotton piece pale penyewe...
- usitumie deodorant au mafuta sehem hizo, even the 'vaginal' deodorants.
- nyoa vuzi mara kwa mara (at least twice a month), hasa wakati wa period.
- Wakati huo hakikisha unabadilisha towel kila baadaya ya masaa 6 (or less) na kama ni tampon kila baada ya masaa 4 (or less).
- Avoid vaginal sex after anal sex (unless kaosha vizuri vifaa vyake).
- Badilisha chupi mara 2 kwa siku (or more). fua chupi as soon as you remove them, then ukitaka kuzifua tena kwa pamoja later it is fine. usivai chupi bila kuiiga pasi, usichangi chupi ambazo hazija pigwa pasi na zile zilizo pigwa. Usilale bila chupi (if possible)
- Avoid wandering around chupi-less, hasa kama unavaa skirt. Unakaribisha vumbi tu!
- Ukiona dalili yoyote ya fungus pata ushahuri wa daktari, badilisha chupi zote. wakati wa treatment tumia chupi single use (kama utaweza) au zingatia sana masharti ya usafi wa chupi.
- Usifanye mapenzi wakati wa treatment, na ukimaliza treatment hakikisha mpenzi wako has been treated too.
- Use condom (in fact nilitakiwa kuanza na hii)
- Osha sehem za siri kila baada ya kukutana (even between goli)
- Jaribu kutokunywa antibiotic bila sababu, they disturb the eco-balance ya huko chini
- Don't stress yourself with this list, most of it will become a natural routine. some of them are not applicable to you, some are...
nilikuelewa kabisa, but hapo ndio umenichanganya sasa, cjawahi kutoa hiyo harufu mbaya hata cku moja na huwa najisafisha kila niingiapo kuoga....kaka Riwa msaada tafadhali.
Nyamayao
Mwrnzio anakusudia kujisafisha kwa kuingiza kitu kule kunakopita "ndude" ya mwanamme....na kifaa ndio hicho amekuwekea
*mie simo
hata mie nazungumzia kujisafisha huko huko but mwenzangu kaniacha njia panda kusema angalau mara 3 kwa week, khaaa....mhhh ...hata mie simo G....
Lolz
Hebu kwanza google "Douche" japo kwa Wikipedia ili mjadala wenu utufaidishe zaidi
Maana madaktari wa kizungu wanasema ufanye Zero times kabisa
*bado simo....lol
nakubaliana nawe kabisa, nilishapata matatizo ya fungus, nikaenda kwa Dr wa kinamama na akanikataza nisioshe ndani ya uke kbs kwani kufanya ivyo ninaharibu utaratibu wa kule na kuweka vijidudu.
Dr Riwa msaada wako tunahuitaji tafadhali, uko wapi?
so wewe huko huoshagi kabisa, na ukiwa period inakuwaje achilia mbali 2 cku za kawaida? Riwa nae cjui yupo wapi leo jamani, aisee! ....na maji uliyokuwa unaya2mia yalikuwa salama?....kazi kwa kweli, huyo doc angenisamehe mana ningemwambia anipe tiba sio kuniambia nicjifanyie usafi huko, so baada ya kuacha kujisafisha fungus zimeisha?.....mhhhhh
Haha Nyamayao mie maswali yako tu huwa yananimaliza sana :]
Madaktari nchi zilizoendelea wanasema "kwa nini usafishe na hakujachafuka?"
Kheee! Nyie wamama mtafanya huu msredi uhamishiwe kwenye jukwaa la Maria Roza na funzadume!Nimecheka kwa nguvu hadi watu wananishangaa tu. Kwanza hicho kidude mimi situmii ila niliweka sababu kuna watu wanatumia, wengine wanatumia kidole, na wengine hawaoshi ndani kabisa.
Pia kama unavo sema kuna watu hawaoshi kabisa huko ndani (niliona dada zetu from Southafrica wanasema unatoa 'ladha') na wengine wanaosha kila siku (tena more than once), wengine wanaosha nje kila siku (more than once) ila ndani wanaosha 'when needed' na wengine hawaoshi kabisa. Na kila mmoja anakwambia method yake inamfaa na hana matatizo yoyote (which is true because mwili wake ume-adapt hivo)
So kila mtu anatakiwa asome 'production' yake na pendekezo zake (na obviously za partner wake pia).
Sasa tumsubiri Dr. Riwa aje atupe maelezo ka kitaalam zaidi.
Swali la kizushi:Aspirin
Huuh "kutema mate" tena!
Mjamzito??
Swali la kizushi:
Ushawahi kumwona mwanaume anakojoa asiteme mate?
Au mwanamke akimwaga kojo bila kuachia kaushuzi kiduchu? (hapa nazungumzia wanaojojoa wakiwa wamechuchumaa) LOL
Kwaheri mwalimu!Duh .....hili suali kweli nimekosa majibu!
so wewe huko huoshagi kabisa, na ukiwa period inakuwaje achilia mbali 2 cku za kawaida? Riwa nae cjui yupo wapi leo jamani, aisee! ....na maji uliyokuwa unaya2mia yalikuwa salama?....kazi kwa kweli, huyo doc angenisamehe mana ningemwambia anipe tiba sio kuniambia nicjifanyie usafi huko, so baada ya kuacha kujisafisha fungus zimeisha?.....mhhhhh
Hiyo Red: Hatari!!! Don't practice this at home!! Mungu ataamka akutie bakora!
Kwa wanaume:
1. Piga punyeto kabla hujaoga.
2. Ukishaoga futa storongo kwa taulo safi
3. Imwagie spiriti, au valuu kama spiriti iko mbali
4. Vaa Boxer iliyo safi, usivae chupi bana, kivazi cha kike hicho.
5. Ukikojoa hakikisha unatema mate
6. Baada ya kukojoa irudishe storongo kwa boxer ielekee upande wa kushoto.
7. Usinyoe vuzi, kunyoka kwawahusu wanawake. Kama waweza vuzi lisuke rasta
8. Ukifanya vaginal sex, malizia na anal sex (kusugua ili iwe safi zaidi na zaidi) Then kaoge na kuisugua kwa brashi ya nailoni, ofkozi hiyo ni baada ya kufanya kitendo namba 1 hapo juu.
Kama kuna swali, napatikana kwenye PM zaidi.