miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
tuwaombee wabadilike kwa wakatiHujakosea, it takes much for a male being a man too it takes much for a female becoming a woman.
Ndo haya tunayoyaona humu na sehemu zingine
tuwaombee wabadilike kwa wakatiHujakosea, it takes much for a male being a man too it takes much for a female becoming a woman.
Ndo haya tunayoyaona humu na sehemu zingine
siku hizi wanaume kuwapata ni kazi
kule bedroom hakuna mtu maalum wa kusafisha jamani kati ya mke au mume, mimi kuna siku nikiamka weekend napiga usafi wa maana including kushusha neti,mapazia na kuyaloweka wife akija anamalizia tu, kusogeza kitanda makabati mabegi kukung'uta vumbi na kupanda,wife kama alikuwa kazini akija anakuta suprise, hawa wanawake tusiwaonee hivi jamani, wanaume tumekuwa kama vilema siku hizi ikifika weekend ni bia na totoz tu,ndoa ni upendo so kama kweli unampenda mkeo utamsaidia tu,
Mimi na mke wangu tumekuwa na mtazamo tofauti sana kuhusu usafi wa chumbani kwetu. Naona usafi wa chumba unaofanywa na mke wangu hauridhishi na hivyo nilimshauri mmoja wa wasichana wetu wa kazi afanye pia usafi wa chumbani.
Kwa bahati mbaya sana yeye hakubaliani kabisa na wazo hilo,anasema heshima yake kwa wasichana wa kazi itapungua. Nikumuuliza heshima yake itapungua kwa vipi anadai hataki binti wa kazi aone nguo zetu za ndani kitu ambacho mimi naona ni sababu ndogo sana.
Sasa nimeshindwa kusubiri nimeona nije hapa jukwaani nisikize ushauri wenu,malezi yangu kwa baba na mama yangu yalikuwa binti wa kazi anafanya usafi pia chumbani kwa mama na baba.
Nawasilisha!
kazi tunayo kwa kweliUko sahihi! Kama ni wanaume wa hit & run ni wengi, lakini mwanamume atakayekuamini kukukabidhi mwili wake jumla! uwe mke na mama wa watoto wake! akuamini kumtunza yeye pamoja na watoto wake! akuamini kuwa wewe ndiwe MTU sahihi mtakayesaidiana kuzifikia ndoto zake za maisha! akuamini kuwa utamvumilia katika hali zote! akuamini kuwa utamtii! Mwanamume wa jinsi hiyo siyo siri ni adimu sana!
Usione kina Dada wazuri miaka inayoyoma from 20's to 30's, from 30's to 40's then wanaishia kuwa single parents!
Kama haujui thamani ya mwanamume utakuja kulazimika kuijua baadaye!! Pamoja na madhaifu yake yote bado ni Mara mia ukawa na huyo dhaifu kuliko kuikabili miaka mingi mbele yako ukiwa single!!!
Ila kuweka uwiano mwanamke kwa maana halisi ya mwanamke ni adimu pia!