mkuu redio jamaa wanatengeneza mtaani bana tusiwaonee,kuna siku nilikua ifakara vijijini baada ya kuvuka daraja kuelekea mahenge ndani ndaniHakuna cha kujaliwa na Mungu hapa ni matokeo ya research iliyokwenda shule hayo. Sisi hata kutengeneza redio tumeshindwa, kazi ipo!
Naona picha umezichanganya sana hadi kunakosekana mpangilio mzuri.
Kama sikosei kilichotokea hapo ni kuwa:
Ile Space plane ikiondoka Florida launching station, ikishapita kama sekunde tano tu, watu wanalijua hilo dude nje na ndani ndiyo huwa wanaanza kuliongoza yaani Houston. Ndiyo maana kumezuka msemo maarufu kuwa "Houston, we have problem".
Sasa hili dude likitoka huko MAJUU ya kikweli, huwa linarudi nyumbani kwako moja kwa moja yaani Houston. Hapo huwa wanaanza kazi ya kusafisha, kubadilisha vitofali vya chini ya tumbo lake, kuangalia kila chombo kama kiko kwenye good shape na kufanya matengenezo. Wakimaliza, basi huwa inakuja hiyo Jumbo Jet ya NASA yaani Boeng 747 na kubebeshwa hilo Dege baya (Space shuttle). Wanatake off pamoja na kutua Florida kwenye Station ya NASA. Wakilifikisha hapo, wanalipeleka kwenye jengo moja refu saaana. Hapo huwa wanakibeba na kukiunga kwenye matanki ya mafuta. Wakimaliza hapo laja likifaru moja (sijui hata niliige gari?) na wanaweka kila kitu juu yake na kubeleka kwenye launching Pad na kusubiri muda muafaka. Dakika kama tano kabla, ndiyo wanajaza MAFUTA kwenye tanki kubwa na kusubiri kulilipua. Wakilirusha tu, Houston wanaanza tena kulilinda dude lao na historia hujirudia.
Naona jamma wameimodified (streamlined) ile shuttle kwa nyuma kupunguza
drag wakati inasafirishwa na 747. Da watu wana apply fluid dynamics pale.
...Nadhani hako ka juu ndiko huwa wanakarusha kwenda huko anga za juu kabisa. Lakini inaonekana kama vile hakawezi kenyewe peke yake kusafiri kwenda huko Huston ni lazima kibebwe na huo mdege. Kwa kweli ni mambo mazito kabisa nadhani hawa watu wanatumia pesa ndefu kabisa kwenye research za mamo haya...dah!:A S-eek::A S-eek:sasa icho cha juu ni nini? hii ni ndege ya abiria, ni ndege la nini haswa, manake naona ingine iko juu ya mwenzie...hahaha.
mkuu redio jamaa wanatengeneza mtaani bana tusiwaonee,kuna siku nilikua ifakara vijijini baada ya kuvuka daraja kuelekea mahenge ndani ndani
kulikua na mechi ya mpira kuna jamaa alitengeneza mitambo na akawa anabrodcast live,lakini ni around pale kijijini tu ilikua inapatikana.
Chamoto,
Nashukuru kwa hilo maana nilikuwa sijaliona. Imebidi niangalie tena na kugundua kuwa si kuwa wamemodify yale matundu ya injini ya Shuttle. Kama sikosei kilichofanya ni kuweka mfuniko kwa nyuma na kuyafunga. Ila yamefungwa kiasi kwamba kwa nyuma yanatengeneza shape nzuri kwa ajili ya Aerodynamics nzuri kwa upepo na pressure ku-flow vizuri. Kwa lugha nzuri niseme kuwa wanaipa ile shape inayotakiwa kwenye COANDA EFFECT.
huwa vinachemka hadi vinakuwa vya moto (air frictions).
Sikuamini kuwa wanakichoma hadi kinafika temp. zaidi ya 1000 Celic. Na wakikitoa kwenye moto, wakakuwekea mkononi, ni cha baridi. Vinaloose joto in highets rates.
Warusi waliweza na kujenga SS yao ya MIR
Lakini inaonekana kama vile hakawezi kenyewe peke yake kusafiri kwenda huko Huston ni lazima kibebwe na huo mdege.
Chamoto, hayo mawe siyo ALLOY. Wanayachimba Brazil na ni mawe kweli na wanayanyia kiufundi kidogo na kuyakata. Ni Natural na siyo mchanganyiko wa vyuma/hewa/chemical. Najua ingelikuwa hivyo basi si ajabu yangelikuwa yanatoka German maana huko kuna BOSCH na ndugu zake. Wanachezea Alloy wale na mtu hata uwe na Benz au BMW, utaona kitu kama chuma ila ukianza kutafuta ni nini, basi huoni ndani.
Tank la mafuta lina uzito kama tani 30 hivi na ujazo wake ni zaidi ya tani 700. Hapo wese ni Hydrogen na Oxygen pamoja maana juu hamna Oxygen na ili vitu viwake...... huyu hewa lazima awepo.