USA shooting at the airport

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,896
6,912
A gunman opened fire in the baggage claim area at the Fort Lauderdale airport Friday, killing five people and wounding eight before being taken into custody in an attack that sentiment panicked passengers running out of the terminal and onto the tarmac, authorities said.

Authorities gave no details on a possible motive for the shooting.

=====
Polisi katika jimbo la Florida wanamshikilia mwuaji mshukiwa baada ya watu watano kupigwa risasi na kuawa na wengine wanane kujeruhiwa katika uwanja wa ndege wa Lauderdale.

Shambulizi hilo lilitokea katika eneo la kupokea mizigo. Lengo la shambulizi hilo halijulikani.

Mshukiwa ametajwa kama Estaban Santago aliyepatikana na kitambulisho cha kijeshi na ambaye amewahi kufanya kazi Iraq.
 
Duuh, pole yao. Pole kwa familia ya hao Corps waliopoteza maisha wakilinda raia wengine wawe salama na wish quick recovery kwa hao wengine
 
Walioadhirika na shambulio sio polisi bali abiria waliokuwa wanasubiria mizigo yao baada ya kufika airport.

Polisi hii ndio taarifa yao kwa vyombo vya habari na umma baada ya kuthibiti tukio hilo la mauaji. Jaribuni kusoma kwa makini habari na kuielewa.
 
Naona waliopigana vita iwe Iraq au Afghanistan wengi wamekuwa vichaa.
Halafu wanawaachia wasafiri na bunduki
 
Hivi haya matukio ni ya kweli au yanatengenezwa kwa manufaa ya watu fulani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom