USA may be behind removal of MUGABE

USA may be behind removal of MUGABE

Wiki mbili baada ya mmarekani Martha o, Dovan alikamatwa kwa kumtukana MUGABE. NA daily express in a report Mugabe alikuwa na urafiki wa ajabu na Kim as north Korea . Mugabe alipeleka wanyama na Moan ark . TRUMP ALIKUWA CHINA I THINK SIKU ZA NORTH KOREA DICTATORSHIP ZINAKARIBIA MWISHO . Fox news is reporting China at this moment is sending high level troops and diplomats to North Korea

Hapana mkuu, hii move ni ya wachina ambao wamewekeza karibu asilimia 90 ya miradi mikubwa nchini Zimbabwe.

China bado wana njaa sana ya malighafi kutoka Zimbabwe na wanafanya kazi na jeshi la nchi hiyo ambalo wachina wameliimarisha karika miaka ya hivi karibuni.

Jenerali Chiwenga alikuwa China tarehe 8 November.

General-Chiwenga.jpg

Jenerali Constantine Guveya Chiwenga akiwa na mkuu wa majeshi ya China jenerali Li Zuocheng wakikagua gwaride.

Na ni dhahiri kwamba wachina wameridhia Mugabe kuondolewa kistaarabu.

15f9fe7fbda47969771473.jpg

Jenerali Chiwenga akifanya mazungumzo na jenerali Li Zuocheng wa jeshi la Jamhuri ya watu wa China.

Hivyo ni China inashika Afrika kwa sasa na Marekani imepoteza uwezo wake wa kulihodhi bara hili.
 
Wiki mbili baada ya mmarekani Martha o, Dovan alikamatwa kwa kumtukana MUGABE. NA daily express in a report Mugabe alikuwa na urafiki wa ajabu na Kim as north Korea . Mugabe alipeleka wanyama na Moan ark . TRUMP ALIKUWA CHINA I THINK SIKU ZA NORTH KOREA DICTATORSHIP ZINAKARIBIA MWISHO . Fox news is reporting China at this moment is sending high level troops and diplomats to North Korea
Eti USA may be behind the REMOVAL OF MGABE...[emoji23][emoji23]

Jamani tafsiri sisi hiii ya marekani itakuwa nyuma ya kuondolewa mgabe..! Kweli kayumba zilituharibu kwa lugha na wale walimu wetu wa primary wamekariri maneno mawili HURRY UP na COME ON..![emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom