waziri mkuu wa Zanzibar alikua anaitwa Waziri kiongozi
Hakuna Waziri kiongozi wala Waziri mkuu Zanzibar. kuna makamu wawili wa Rais tu. Failure.
Lakini ina MALKIA na PRINCE na PRINCESS na Ina HOUSE OF COMMONS na PIA HOUSE OF LORDS Ni GHALI kuwatunza zaidi ya kuwa na RAIS...
Umesika MPAKA baadhi ya Safari za Queen anajilipia kwasababu inawagharibu TAXPAYERS a lot...
Wana pesa na huwezi kuwapangia ndio maana wanajiita Kingdom sawa na Saudi Arabia, na ndio maana wanatupa misaada, kipi bora kudumisha utamaduni wao au kutupa misaada mafisadi?
Zanzibar sasa hivi Waziri Kiongozi ni Makamu wa PILI wa RAIS... ambayo anaongoza BUNGE hadi LEO...
Sasa wamebadilisha JINA ili tu CHEO cha MAALIM SEIF kisiwe cha kipekee Makamu wa RAIS pekee... wakaamua kuondoa Waziri kiongozi kuweka Makamu wa PILI wa RAIS... NCHI GANI wana Makamu wa Rais WAWILI???
na ni kisiwa kidogo chenye watu laki 4 tuuuu na biashara yake ni UTALII
Hakuna cheo kilichobadilishwa jina bali kimefutwa, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikuwa na makamu wawili wa Rais. huna point.
Mbona ushangai Afrika hii hii kuna nchi ilikuwa na marais saba kwa wakati mmoja!?
Zanzibar ina watu zaidi ya laki 4 na biashara yake kuu ni karafuu.
Hivi ni vyeo vya kichawi tu! Hivi kwa nini familia moja tu ndiyo iwe na haki ya kuwatawala wengine? Ukiuliza wanasema wana demokrasia kwa kuwa mkuu wa serikali anachaguliwa na wananchi, huku mkuu wa nchi (Malkia/Mfalme) likiwa ni jambo la urithi ndani ya ukoo mmoja?
Usitake kulazimisha watu wengine wafuate tamaduni zako, hata Saudi Arabia ni Kingdom na ni Taifa la kiislamu ni familia moja tu itaongoza milele.
Ujerumani kuna Rais ambaye hata hajulikani, ila yupo.
Wewe ndio humjui mimi na watu wote makini wanamjuwa sawa na Israel pia ina Rais, ila hawa wanaitwa Ceremonial President lakini mwenye madaraka makubwa na ya mwisho ni Waziri Mkuu.
Labda nikupe shule ndogo tu, Uingereza wana Executive Prime minister na Tanzania hatuna Executive prime Minister.
'Alikuwa'. Je, sasa hivi anaitwaje?
Hakuna waziri kiongozi Zanzibar hicho cheo kilishafutwa. sasa sioni mantiki ya kusema sasa anaitwaje, ni kwamba hayupo.
Kwa mantiki hiyo siyo waziri mkuu ni waziri kiongozi hapa anaongelewa WAZIRI MKUU!
Chama
Gongo la mboto DSM
Kuna wakati huwa unatumia akili yako vyema. watu wanaferi mitihani kwa kutoelewa mantiki ya swali.