Umeona eeeeh. Na yule hawezi enda vitani bila wapambe wake la sivyo atapigwa kipigo cha mbwa koko na ndo angefuta hata ndoto zake za kugombea 2020.Maana wamarekani ambao wangebahatika kubaki Hai wasingempigia kabisa Kura.Hahaha eti bahati mbaya. ..Aliye paswa kusema bahati mbaya ni aliye pigwa au mpigaji. ..!? Hii kali ha haa
Trump amesitisha shambulizi baada ya kuambiwa kuwa watu 150 watakufa iran kwa shambulio hilo.Una zungumzia habari za Jana nilikula Makange. Sisi tunaongelea wakati huu uliopo. ...atie maguu Iran tuone
Wengi hawaujui ukweli huu.Hakuna shughuli ya kiuchumi yenye faida kubwa kuliko vita, litambue hilo kwa leo.
Usifumbe macho utaona tu.Venezuela tu kataifa kadogo. .kamemtoa kamasi ndio atawaweza waajemi. ... wale Persian sio watu wa mchezo mchezo. .kama anaweza kweli atie maguu tuone
Bila Shaka nitaona kweli '' kama jinsi ambavyo wote tulivyo ona USA akishindwa kuonyesha Ubabe wake NK -na VenezuelaUsifumbe macho utaona tu.
Hahaha tangu lini USA ikawa na huruma dhidi ya wananchi wa taifa pinzani. . Wanatafuta sympathy hahaTrump amesitisha shambulizi baada ya kuambiwa kuwa watu 150 watakufa iran kwa shambulio hilo.
DONALD TRUMP NI ADUI MUUNGWANA.
We love USA.Bila Shaka nitaona kweli '' kama jinsi ambavyo wote tulivyo ona USA akishindwa kuonyesha Ubabe wake NK -na Venezuela
Umeona eeeeh. Na yule hawezi enda vitani bila wapambe wake la sivyo atapigwa kipigo cha mbwa koko na ndo angefuta hata ndoto zake za kugombea 2020.Maana wamarekani ambao wangebahatika kubaki Hai wasingempigia kabisa Kura.
Ni rahisi kujichekesha kuliko kuvumilia kutoonyesha miili ya vitoto iliyofumuliwa kwa milipuko.Hahaha tangu lini USA ikawa na huruma dhidi ya wananchi wa taifa pinzani. . Wanatafuta sympathy haha
Wabongo bwana! Anavyoelezea utafikiri msemaji wa jeshi la lran [emoji23][emoji23]Kwa taarifa yako Marekani huwa hapigi mahali ambapo jamaa wana uwezo wa kurudishia!!!!!! Ndege yao ya kijeshi isiyo na ruban " US Navy MQ-4C Triton drone" waliyoituma kufanya ujasusi juu ya Iran "haikurudi"!!!!! Na hii ni vresion mpya kabisa yenye dhana za kujificha isionekane na dhana za kijilinda isidunguliwe lakini saa hii imebaki majivu!!!!! Mtasubiri sana Marekani kujitutumua kwa Iran!!!!! Aendelee kumwonea Mchina kwa kukatisha kwenye bahari ya china na mimeli yake!!!! Wairan hawajui kubeep!!!! wao ni kupiga tu ukujichanganya kwenye anga zao!!!!! Tukio hili limemwogopesha sana Marekani!!!!! Hakutegemea kama Iran wangethubutu kufanya waliyofanya!!!!!!
Sasa unafikiri Iran wangekaa kimya raia wao kufa? Marekani kaogopa yaani kitu ambacho kingempata Trump angejiuzulu Urais kabla ya uchaguzi.Trump amesitisha shambulizi baada ya kuambiwa kuwa watu 150 watakufa iran kwa shambulio hilo.
DONALD TRUMP NI ADUI MUUNGWANA.
iran anawaza kuua raia, hana uwezo wa kushinda vita.Sasa unafikiri Iran wangekaa kimya raia wao kufa? Marekani kaogopa yaani kitu ambacho kingempata Trump angejiuzulu Urais kabla ya uchaguzi.
Alipigwa Iraq mzalishaji wa mafuta sembuse Iran?Kwa mtazamo wa nchi zilizoendelea ni bora vita vya US/Russia or US/China kama US hana uo ubavu kuliko US/Iran.
Kuivamia Iran ni kucheza na uchumi wa dunia na kwanza inabidi utoe tahadhari nchi nyingi zijipange kutafuta alternative supply kwenye mafuta na wauzaji nje ya Middle East wawe tayari kuongeza uzalishaji wa mafuta vinginevyo athari zake sio za kitoto.
Iran sio nchi yakuivaa bila ya kutoa tahadhari kwanza watu wajipange ata wasiohusika na ivyo vita.
Hapana mkuu, maslahi wanayoyapata ni makubwa kuliko hzo huduma za Afya. USA hana, hajawahi kuwa na upendo nasi ni mkoloni tuUnawachukiaje watu wanaokulipia huduma za afya.
Waisraeli huwa hawacheki na kima! Hapo ndio nnapowakubaliTrump bhana mbona mzito hivyo anapitwa hata na Netanyahu kwenye kujibu mapigo ya papo kwa hapo? Iran angedungua drone ya Israel siku nyingi kingeshanuka!
Aise unazingua, USA ndo dunia ilipo.Iran,wakapige pale Newyork kabisa. Siwapendi Marekani.
Iyo project haikuwa ya wamarekani, ni project iliyokuwa chini ya Adolf Hitler (wajerumani) ambapo Albert Einstein alikimbia nayo na kukimbilia marekani baada ya Hitler kukubali kushindwa vita ya piliya dunia, so chini ya raisi Frank D Roosevelt aliyekuwa kilema ndo aliyekamilisha iyo project ambapo baada ya kufariki tu makamo wake wa raisi alipata taarifa kuhusiana na iyo project ndo aliyeruhusu kulipuliwa kwa Hiroshima na Nagasaki, (jina la uyo makamo wa raisi nmelisahau) ivyo iyo project haikuanzishwa Marekani, ilianzishwa uko Berlin Ujerumani ila baada ya Hitler kushindwa vita ndo ikaibwa na kupelekwa Washington DC.Hahaha aisee hivi ushakutana na Wamarekani wenye akili ?
Unakumbuka 1945 ile Manhattan project iliyomtoa Little boy na Fat man ?
Sasa hiyo ni 1945 huko walishakuwa na hizo capabilities ushajiuliza sasa hivi itakuwaje ?
Kuna vitu vingine awali ni awali tu hakuna mbadala wake
Mungu tu aepushie mbali Marekani isije mpata Rais kichaa hii dunia haitakalika
Wasaudi mafilauni wamekubali nchi yao iwe uwanja wa majaribio taabu wanayopata ya mashambulizi viwanja vya ndege hawakomi kisa bwana yao u.s ngoja wakomeWinter is coming,..
Ni wakati wa Iran kutest makombora ya nyuklia katika ardhi ya Saudia.
Kuna tofauti kwanza kupigwa kwa Iraq ujue Saudi Arabia kama ally wake na nchi zingine zenye Sunni leadership ziliridhia, pili Iran nae akuona shida Saddam kutolewa hawakuwa on good terms na Iraq aikuwa na uwezo wa kufanya proxy wars za kuilipua Middle East au kufanya sabotage ya mafuta.Alipigwa Iraq mzalishaji wa mafuta sembuse Iran?