USA: Baniani mbaya kiatu chake dawa!

USA: Baniani mbaya kiatu chake dawa!

Wale wanaosifia Urusi na China hawataweza kufika katika uzi huu sababu wameshaona warusi na wachina hao hao wanaowasifia wanakimbia nchi zao na kwenda marekani....Nina uhakika wale wote wanaoiponda marekani humu,ukiwaita chamber unawapa passport mbili,ya USA na ya China/Russia,ukawapa fursa ya kwenda kuishi nchi hizo..Nina uhakika hakuna atakayetaka kujua hata passport ya Russia/China ina rangi gani.Wote watakimbilia passport ya USA...Unafiki kitu kibaya sana.
Kweli Mkuu!
 
Mambo aliyoyafanya Urusi kwa nchi za Africa hakuna anayeweza kuyasahau, wakati Us akiwaunga mono wakoloni na Makaburu kutunyonya, kutunyanyasa na kututawala kwa mabavu Urusi na China walikua upande wetu name Hugo Marekanj Upande wao
 
Watanzania wa kila jinsia, rangi, dini, kabila, shule na maumbile wako Marekani na wengine wamechukua na uraia kabisa!

Kuna jumla ya watanzania wangapi Marekani now?
 
Siwachukii hawa jamaa kama unavyodhani, mengi mazuri wanayafanya.....lakini angalia namba ya watu wanaokufa....msikae nyuma ya keyboards mkadhani tuko salama....subirini wanayoyataka wao yasipatikane.......

Na huyu mchina anaetuua kimyakimya kwa dawa feki, maji feki, maziwa feki, vyakula feki ndio mbaya na muuaji namba one duniani kuliko taifa lolote lile
Subirini kansa na sumu za haya mafeki Ya China yakianza kutuua kwa mamilioni ndio mtajua kuwa China is the worst of the Devils
 
Mambo aliyoyafanya Urusi kwa nchi za Africa hakuna anayeweza kuyasahau, wakati Us akiwaunga mono wakoloni na Makaburu kutunyonya, kutunyanyasa na kututawala kwa mabavu Urusi na China walikua upande wetu name Hugo Marekanj Upande wao
Kwa nini usiyataje machache na sisi tuweze kuyafahamu? lee van cliff, je una habari kwamba vijana wa Kirusi kama wangekuwa huru, idadi yao ingeweza kuipiku ya vijana kutoka China wanaotaka kusomea Marekani? Kila siku kuna maombi lukuki ya kichinichini toka Russia ya wanaotaka kuhamia Marekani lakini ukijulikana tu si ajabu usionekane tena hadharani. Hapo juu limeulizwa swali kwamba je ungepewa nafasi ya kuchagua kuhamia Urusi, China au Marekani ungechagua wapi?
 
Mambo aliyoyafanya Urusi kwa nchi za Africa hakuna anayeweza kuyasahau, wakati Us akiwaunga mono wakoloni na Makaburu kutunyonya, kutunyanyasa na kututawala kwa mabavu Urusi na China walikua upande wetu name Hugo Marekanj Upande wao
Alichokifnaya ni kuendesha sera za kijamaa ambazo mwishoni zili prove failure kabisa na nchi za kiafrika zikabaki magofu...We angalia tu nchi zote duniani zilizofuata sera za kibepari za marekani leo ziko wapi kimaendeleo kufananisha na za kijamaa...Vitu vingine inabid kusoma na kuelewa sio kukaririshwa tu.Nyie ndo wale mliokaririshwa na kina nyerere kama ubeberu ni mbaya sana...Ndio maana hadi saa hizi mko hapa mlipo...Kwanza wavivuu na msiojua kutumia fursa,hizi zote ni athari za ujamaa wa kizamani.Sawa inawezekana marekani hakutusaodia uko zamani sawaa..Lakini kwa sasa MCC inawasaidia sana katika swala zima la energy..
 
Mkuu sekta yetu ya Afya karibu 75% ni msaada toka USA, nakumbuka mwaka jana baada ya Marekani kusitisha msaada kutokana na ile ishu ya Zanzibar chanjo kulikua hakuna,dawa za kutibu kuumwa na nyoka zilifika hadi laki 2. Hapo hatujagusia msaada wanaotoa kwenye Ukimwi na Malaria
 
Back
Top Bottom