USA: Area 51

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Area 51 of US.AIRFOCE
Screenshot_2023-12-01-20-49-59-386_com.facebook.katana.jpg
 
Unaambiwa hapo kuna ndege zingine kama buku hivi zipo Mashariki ya Kati kuchota mafuta
 
Hili ni eneo hatari sana na la siri saana (classified). Ni eneo linalotumika kufanyia silaha hatari na nyingine bado ziko katika majaribio za maangamizi. Serikali ya marekani miaka zaidi ya 200 ilikana uwepo wake mpaka juzi juzi mwaka 2013 ndo ilikili uwepo wake lakini ikaja na majibu laini kuliko uhalisia ("The CIA publicly acknowledged the base's existence on 25 June 2013, following a Freedom of of expression policy"). Mojawapo wa silaha wanazozitumia ni kuzalisha mbegu za mwanadamu na kumjenga katika itikadi fulani alafu na kumpanda ndani ya nchi iliyolengwa kwa maslahi mapana ya Marekani. Africa tuna maraisi ambao ni raia wa Marekani alafu wakapandikizwa na kuwa maraisi ndani ya Africa kama Miss Johnson Sirleaf. Silaha nyingine ni maradhi kama Ukimwi, Ebora, Corona. Majanga kama mabadiliko ya hali ya hewa n.k. mengine ni kubrainwash watu wenye akili kuja America na kuwapa mshahara mnono kuendeleza Marekani wakizeeka wanawabwaga nchini kwao. Hapa Tz tuna Professor Tibaijuka, na yule aliyekuwa anapinga kuanzisha bwawa la umeme la Nyerere (stiglaras) Professor Muhongo. Theories wa great thinkers wote wanatengenezwa hapa area 51.
 
Alikimbizwa na walima mpunga(Afghan)

Alikimbizwa na wafuga mbuzi milimani (Vietnan)
Weeewe! Mmarekani aliamua kupotezea kwanini atumie silaha ngumu kuua panya wakati anaweza kufuga paka ndani ya hiyo nchi na polepole akaua panya wote? Marekani ana akili kuliko maelezo. Angalia kwa sasa hizo nchi ambazo alionekana kashindwa hali yao ya maisha kama bado inahatarisha Marekani!
 
Weeewe! Mmarekani aliamua kupotezea kwanini atumie silaha ngumu kuua panya wakati anaweza kufuga paka ndani ya hiyo nchi na polepole akaua panya wote? Marekani ana akili kuliko maelezo. Angalia kwa sasa hizo nchi ambazo alionekana kashindwa hali yao ya maisha kama bado inahatarisha Marekani!
America ni lidubwasha fulani likubwa sanaaaaa! Linatisha
 
Kweli hapo ni Area 51, OP?
Sio Area 51 hapo, A51 huwa pako wazi with few airstrips na facilities kidogo ziko kwenye uzio kwa ajili ya testing of military aircrafts, missiles na silaha nyingine.

Hii kwenye picha ni boneyard ya AMARG, Tucson, Arizona. Ndegevita zikiwa retired zinapelekwa hapo for salvage or storage sababu humidity ni ndogo haziharibiki haraka.

Alafu mbona ulipotea sana. Unajua huwa nakukubali, kidogo nije kukusaka kwenye uzi wako wa vitabu
 
Back
Top Bottom