America kwa kupitia wanamuziki wake inasambaza utamaduni wake duniani kote. Athari zinazoachwa na muziki na filamu za US ni kubwa.
Kwa hisani kubwa ya OneManArmyMan utaona ni jinsi gani muziki unatumika kuwateka vijana kuiga utamaduni wa US.
Karibuni mburudike na video hizi zilizoekwa hapa na OneManArmyMan!
OneManArmyMan chose this moto for the videos....LONG LIVE USA!!