Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,746
Kwa hiyo kila mara meli hiyo ikiwa baharini iwe na escort ya nchi iliposajiliwa?Bado haina tofauti kubwa, nchi ikibeba bendera ya nchi fulani, hiyo nchi (country of registration) ndio inayohusika na suala lolote la kiusalama la hio meli.
Sio lazima. Zanzibar wamesajili meli nyingi hapo zinapeperusha bendera ya Tz baharini huko wala hazikuwahi kufika Tz. Ila zikitenda kosa lolote huko, Tz ndio inajulishwa nini kifanyike.Kwa hiyo sio lazima wawe wamiliki wa hiyo meli
Hazihitaji escort kihivyo, ila kukiwa na ishu serious, flag state lazima ihusike pakubwa.Kwa hiyo kila mara meli hiyo ikiwa baharini iwe na escort ya nchi iliposajiliwa?
Walichofanya Marekani ni kama wao meli zao zinavyopigwa ambush na Houthis pale Middle East kwenye Red Sea.Hazihitaji escort kihivyo, ila kukiwa na ishu serious, flag state lazima ihusike pakubwa.
hawezi tumia izo, zina ripple effect kwan upande wote wameset kukitokea shambulio basi na wao wanajibu auto but kama ni nuclearPutini kamwambia mkuu wa kitengo Cha nyukilia akae MKAO wa kula.ngoja tuone mbabe ni nani
Marekani ni baby wako?USA baby 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Marekani ni baby wako?
We kichwani Kuna hewaWalichofanya Marekani ni kama wao meli zao zinavyopigwa ambush na Houthis pale Middle East kwenye Red Sea.
Hawana tofauti na maharamia wa Somalia au walichokuwa wanafanya Uingereza kipindi cha Mercantalism
Sioni chochote special Marekani walichofanya.
Kweli kuiteka meli ya biashara nalo ni la kusifiwa?
Wazame ndichi wazichape na meli vita za mataifa mingine tuone
We kichwani Kuna hewa
Sasa wewe ni hewa hamna ubongo A.K.A kubwa jinga