US THAAD System in South Korea Would 'Threaten China’s Deterrent'

Maana ya kujilinda inamaanisha uweze kumpiga vizuri
Ata enzi zile urusi waliweka kambi Cuba,hyo ni kawaida sema russia hana efluence sahv kama USA ndo maana ata base nyingi hana
Sio hana influence, anauwezo wa kumpiga pale pale alipo, Baada ya Cuban missiles crisis na makubaliano ya kutoweka makombola karibu kati ya USA na Rússia. Nchi hizi zilianza kutengeneza ICBMs.. Jiulize kwanini UN security Council inapinga nchi kama za Korea ku develop hiz ICBMs.. Hizi zinasafir Bara moja hadi lingine kwa speed ya hatari.
 
Mbna marekani anazo tena more effective kuliko za mrusi ila anabase.base pia inafanya hizo ICBMs zisiwe efective koz zinaweza tunguliwa
 
Sema ckuiz kuna siri kubwa jeshin hizi tunazopata ni ndogondogo za kawaida2
 
Mbna marekani anazo tena more effective kuliko za mrusi ila anabase.base pia inafanya hizo ICBMs zisiwe efective koz zinaweza tunguliwa

Unaweza kuzitaja? Na je unajua ICBM ni kitu gani?
 
Sio hana influence, anauwezo wa kumpiga pale pale alipo, Baada ya Cuban missiles crisis na makubaliano ya kutoweka makombola karibu kati ya USA na Rússia. Nchi hizi zilianza kutengeneza ICBMs.. Jiulize kwanini UN security Council inapinga nchi kama za Korea ku develop hiz ICBMs.. Hizi zinasafir Bara moja hadi lingine kwa speed ya hatari.

Umoja wa Mataifa ulipiga marufuki kujaribisha siraha sa Nuclear na si makombola, ICBM ni chombo cha kusafirishia vichwa, so ICBM inaweza beba siraha za nuclear au ikabeba mambomu ya kawaida, ndo kama SATAN, AU SINEVA, AU BULAVA

Yars550.jpg

Hizi ndo ICBM ambazo zinaweza kubeba vichwa vya kutosha vya Nuclear hulo ni ni Murusi
0,,17476175_303,00.jpg
 
Unaweza kuzitaja? Na je unajua ICBM ni kitu gani?
Na haibebi bom moja inaweza piga multiple targets at once.zipo kama 500 huku hizo satan ambazo ndo nyingi russia ziko 59
 
Sio hana influence, anauwezo wa kumpiga pale pale alipo, Baada ya Cuban missiles crisis na makubaliano ya kutoweka makombola karibu kati ya USA na Rússia. Nchi hizi zilianza kutengeneza ICBMs.. Jiulize kwanini UN security Council inapinga nchi kama za Korea ku develop hiz ICBMs.. Hizi zinasafir Bara moja hadi lingine kwa speed ya hatari.
urusi hana influence ukilinganisha na US. hata England na france zina influence kuliko russia
 
Acha Porojo wewe Russia hategemei Mafuta pekee

images

Ana expoer hizi New sukhoi super jet

webmc-21_02.jpg

Hizi ni MC-21 za kiraia
yaan wewe ndo umekula chaka kabisa, we bishania urusi vs marekani kwenye mambo ya siraha tu na penyewe ni kwa kuwa siraha zenyewe hazijawahi kufanya kazi zaidi ya kusifiwa kwa maneno tu lakin kwenye mambo mengine urusi ni mtoto mdogo sana kwa US na hata japan tu. sasa hicho kidege ulichoweka hapi akina kitu na ndo maana ziara ya putin mwaka jana nchini ufaransa alisain pia kupurchase airbus. unaifahamu boeing wewe?!
 
Ushasikia tena mturuki kajaribu kusogelea anga lá Syria. Turkey alifanya uhuni wa ku attack bomber isiyoweza kujihami.
ckuwa na maana hio mkuu namaanisha tu inapotokea kama hivyo turkey ame shoot ndege ya russia,russia haiwez kukurupuka tu nayo kuishambulia turkey lazima watumie busara maana kuna kiongoz hapo alisema kwan south korean boat ilipopigwa toperdo na north marekan alifanya nn?ndo mana nkampa huo mfano ili kumuonyesha kwamba nchi kubwa huwa hazikurupuki...kuhsu kuingia anaweza kuingia under US coalition mbn saudi,qatar na wengineo daily wanafly syria kustrike IS?turkey are not weak km unavyodhani na believe me kama wakiamua kusend ground troops inside syria russian will do nothing.....kwanza lazima utambue turkey ni nchi pekee ndani ya nato ilioweza kuitungua ndege ya russia zaidi ya 4 decades zilizopita wewe unafikiri kbala ya kuitungua hawakufikiria consequence?walijua wanaweza uzihandle broo..wanachokisaka russia syriana turkey wanataka hichohicho ni mwendo wa kufight for interest tu dunia ya leo hii na kwasababu hamna mtu anaeweza kumstrike mwenzie na nuclear kwa kuogopa response so hamna kitakachozuia nchi kama turkey ama iran kutunishia wakubwa misuli
 
yaan wewe ndo umekula chaka kabisa, we bishania urusi vs marekani kwenye mambo ya siraha tu na penyewe ni kwa kuwa siraha zenyewe hazijawahi kufanya kazi zaidi ya kusifiwa kwa maneno tu lakin kwenye mambo mengine urusi ni mtoto mdogo sana kwa US na hata japan tu. sasa hicho kidege ulichoweka hapi akina kitu na ndo maana ziara ya putin mwaka jana nchini ufaransa alisain pia kupurchase airbus. unaifahamu boeing wewe?!
jamaa wanaforce russia imatch na US kwe kila kitu jambo ambalo ni gumu...kwe silaha atleast wana hoja ila kwngne huku tutaongelea japan,china,german,south korea coz russia iko busy sana kutengenza nukeshaina muda wa kufanya yale mambo ya SILICON VALLEY
 
Mbna marekani anazo tena more effective kuliko za mrusi ila anabase.base pia inafanya hizo ICBMs zisiwe efective koz zinaweza tunguliwa

Effective kivip, Hizi nchi technology ya arms haitofautiani. ICBMs za Urusi & USA top 4, kwa statics za range haitofautiani. Zote zinaweza kufika Urusi au USA. Nyingi maximum range ni 10,000 km to 20,000 km. Urusi ana RM 36 M au SS 18 Satan, Stiletto, Tupol M, Rs24 - Yars. USA ana Titan II, Peacemaker, Minuteman III, Midgetman. ICBMs hizi zote ni land based. Zile hatari zaidi washapunguza under START.
Usitegemee alichonacho Russia USA asiwe nacho au alichonacho USA Russia asiwe nacho.. Haitatokea maana kila nchi ina spies ndani ya majeshi ya mwenzake....
 
urusi hana influence ukilinganisha na US. hata England na france zina influence kuliko russia
Kwa kuwa yeye hakutaka makoloni, influence ya mrusi ipo kwenye peace, energy, space technology...
 
1.peace hapana, angalia congo, somalia, afrika ya kati, israel vs palestina, misri, nk yaani kwa kifupi kwenye masuala amani urusi hata akikaa kimya hakuna hata atakayehoji tofauti na US akifanya hivyo.
2.energy ni sawa lakin kwa kuuza rasilimali zake kama afanyavyo saudia.
3.space tech sawa lakin haiwezi kukick sana duniani make mataifa yanayojihusisha na hizo mambo ni machache mno. ndo maana sie huku tunamuona mjapan yuko juu make toyota, nissan ziko hadi huku.
 
Ushasikia tena mturuki kajaribu kusogelea anga lá Syria. Turkey alifanya uhuni wa ku attack bomber isiyoweza kujihami.
Wiki kadhaa nyuma Turkey na Saudia walikuwa wanajiandaa kuivamia Syria kijeshi.Saudia ndipo alipotangaza ana silaha za nuclear.Ilipelekea Russia kupiga mkwala uvamizi huo utakuwa ni vita ya tatu ya dunia na kuionya USA kuhusu hilo kwani nayo haitakwepa.Sijui imeishia wapi au bado wapo kwenye maandalizi.
 
Kiufupi hamna ndege ya russia inayoweza kulinganishwa na ndege za marekani
Ata f15 yenyewe inawapa jasho jingi2
Kuna ndege moja hivi ya Russia baada ya kuisha cold war walikubaliana kuiharibu kwa mkataba na USA.Hii nafikiri ni hatari sana na Russia katangaza kuanza kuitengeneza tena.
 
Ipi hiyo.
Maake mpaka sahv f15 ya mmarekani haijawahi kuangushwa kwenye battle.na katika vita ya iraq saadam hakurusha ndege maake alijua kua zipo angani na hawez kuziangusha.baada ya russia kutengeneza su27 akaona kuwa kuna uwezekano su27 ikahatarisha f15 zikiwa karbu ko akatengeneza f22 ambayo anasema f22 moja ni sawa na f15 8 na apohapo f15 ni kama air superiority
Sasa ndege gani hyoo ambayo ingeweza kuikaribia brother
 
Effective kivip, Hizi nchi technology ya arms haitofautiani. ICBMs za Urusi & USA top 4, kwa statics za range haitofautiani. Zote zinaweza kufika Urusi au USA. Nyingi maximum range ni 10,000 km to 20,000 km. Urusi ana RM 36 M au SS 18 Satan, Stiletto, Tupol M, Rs24 - Yars. USA ana Titan II, Peacemaker, Minuteman III, Midgetman. ICBMs hizi zote ni land based. Zile hatari zaidi washapunguza under START.
Usitegemee alichonacho Russia USA asiwe nacho au alichonacho USA Russia asiwe nacho.. Haitatokea maana kila nchi ina spies ndani ya majeshi ya mwenzake....
Hapo sasa ndo tunakuja lile swala la secret weopons
Ukiangalia hizo ICBMs nyingi ni za zaman na zilitengenezwa zaman.ko kwa akili2 ya kawaida mkuu.hyo budjet ya US ilivyo kubwa hivyo.unafikili hamna la maana wanalotengeneza ckuiz.ukifuatia tena kuwa ndo hchi inayoongoza kwa research
Juz kat rumours alound Russia zilitokea kuwa jamaa anataka bases nyingi ili ikitokea vita wanarudha mabomb ya anti electron au ya kufanya hizo nuclear zake zisifanye kaz
We unadhan miaka nenda rudi wasiwe wametafta solution
We angalia2 ile insue ya Snowden ilizozuka2 dunia nzima ikaja juuu.we unavyofikili hamna sili nyingine ambazo ni top secret
 
1.peace hapana, angalia congo, somalia, afrika ya kati, israel vs palestina, misri, nk yaani kwa kifupi kwenye masuala amani urusi hata akikaa kimya hakuna hata atakayehoji tofauti na US akifanya hivyo.
2.energy ni sawa lakin kwa kuuza rasilimali zake kama afanyavyo saudia.
3.space tech sawa lakin haiwezi kukick sana duniani make mataifa yanayojihusisha na hizo mambo ni machache mno. ndo maana sie huku tunamuona mjapan yuko juu make toyota, nissan ziko hadi huku.
Kwa kuwa yeye hakutaka makoloni, influence ya mrusi ipo kwenye peace, energy, space technology...
Je unajua nchi inayoongoza kwa oil production ni US lkn exportation yake ni very low
 
Back
Top Bottom