Atkins Mendel
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 616
- 752
Hahha kuna cku ya russia ilipata ajali watu wengi walibeza wakasema russia hana chochote, then what happened to Amerika.
Mkuu wauza maneno USA ukiwauliza kabla haijagogwa hapo watakuambia imetengenezwa kwa billions of dollars !!!Si ndiyo hapo mkuu, meli ya mizigo hipo poa i.e bila madhala - leo hii ndiyo wajidanganye eti Meli hiyo ya kivita inaweza kustahimili makombora ya kuzamisha meli yanayo weza kuvurumishwa na jeshi la majini la Korea Kasikazini? Uncle SAM bwana - si kila siku wanajidai wanazo Radar za kisasa zinazo tumia mfumo ya Aegis zina uwezo wa kuona hata sindano ya kushonea nguo gizani sasa imekuwaje ikashindwa kuona kitu kikubwa kama meli ya mizigo - je makombora ya Kim yanayo ruka kwa kasi kubwa yakiwa futi hamsini tu juu ya bahari/maji ndiyo watayaona?
Si ndiyo hapo mkuu, meli ya mizigo hipo poa i.e bila madhala - leo hii ndiyo wajidanganye eti Meli hiyo ya kivita inaweza kustahimili makombora ya kuzamisha meli yanayo weza kuvurumishwa na jeshi la majini la Korea Kasikazini? Uncle SAM bwana - si kila siku wanajidai wanazo Radar za kisasa zinazo tumia mfumo ya Aegis zina uwezo wa kuona hata sindano ya kushonea nguo gizani sasa imekuwaje ikashindwa kuona kitu kikubwa kama meli ya mizigo - je makombora ya Kim yanayo ruka kwa kasi kubwa yakiwa futi hamsini tu juu ya bahari/maji ndiyo watayaona?
Ubora upo wapi mkuu??Unafikiri hiyo ilizama immediately after collision
Hivi hii kweli ilishindwa kuJam kweli
Tena hii ilikua inazama kabisa Bora hyo ya US ilikua inaendelea na safari
Hivi hii kweli ilishindwa kuJam kweli
Tena hii ilikua inazama kabisa Bora hyo ya US ilikua inaendelea na safari
Eti wamegongana na meli ya mizigo..hiiv hiiv tuuKuna kitu Nyuma Ya Pazia
Hapa Pro USA huwezi kuwaona maana walivyotema povu mwezi mmoja hivi uliopita wakati meli ya makachero ya Kirusi ilipogongana na meli ya mizigo huko Uturuki. Leo hii yao imewakuta tena kukiwa clear kabisa.
Hivi hii kweli ilishindwa kuJam kweli
Tena hii ilikua inazama kabisa Bora hyo ya US ilikua inaendelea na safari
Bora unakumbuka mkuu hapa wakina cc nyani ngabu huwez kuwaonaHapa Pro USA huwezi kuwaona maana walivyotema povu mwezi mmoja hivi uliopita wakati meli ya makachero ya Kirusi ilipogongana na meli ya mizigo huko Uturuki. Leo hii yao imewakuta tena kukiwa clear kabisa.
Mkuu kitu cha kwanza meli ya makachero imehundwa kama Meli za kubeba abiria/civil haijengwa kijeshi wala uwezi kukuta imewekewa makombora na silaha nyingine za kivita, yenyewe inawekewa ma radio scanners ya kusikiliza mawasiliano za maadui wao na vitu vingine kama jammers nk. Sasa mtu mwenye akili timamu awezi kulinganisha Meli ya kawaida na Meli iliyo humdwa mahususi kwa vita, yaani Meli ya vita inagongwa na meli ya mizigo inakuwa deformed mpaka mnara wa kuonogea meli ambao Captain/admiral uishi na kufanyia kazi, ndiyo maana amejeruhiwa sana masikini!! Kama Meli zao zote zamuhimu zimehundwa kinyoronyoro hivyo basi Kim,Putin na Ti Xing ping watakuwa wanachekelea sana - wamekwisha gundua kwamba wakitaka kuzizamisha fasta ni ku-prime missiles zao zilenge pembeni sio juu, mbele wala nyuma, kitu cha ajabu Marekani na wagumu sana kujifunza kutokana na makosa yao ya awali, kama nakumbuka vizuri kwenye miaka ya tisini kuna meli yao ya kivita iliwahi kushambuliwa na kikundi cha Al Qaeda wakitumia speed boats walilenga pembeni mwa Meli mlipuko iliharibiwa sehemu kubwa sana na kuacha uwazi mkubwa wanamaji/wanajeshi 37 walikufa on the spot!! Huo ni mlipuko ulio sababishwa na speed boat, je, wa antiship missiles si ndiyo itakuwa balaa!
Kwahyo wewe unajua kuliko warusi wenyewe wenye hiyo meli?!Mambo mengine bwana!! Yaani wewe unaona hiyo ni Meli ya kivita? Inaonekana kama Meli ya uvuvi hisipo kuwa wingi wa Antenna ndiyo unadhilisha ni ya kijasusi.
Kwahyo wewe unajua kuliko warusi wenyewe wenye hiyo meli?!
Eti leo unaiita ya uvuvi lakini ingeJam bahari sijui ungeeiita meli ya kisasa ya Mother Russia.