Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,748
- 47,044
Wanaijeria kweli kiboko,kwenye anga hizi za utapeli wa Mtandao Kimataifa nawakubali sana
Mkuu, Trump akiidharau Afrika wewe utakufa: Au unahisi hauwezi kuendelea kwasababu Trump anakudharau ???Hii itamfanya Trump aendelee kuidharau Africa kama alivyosema anaitaji Migrant kutoka kwenye nchi kama Norway!
Kama nitakuwa nimemwelewa vizuri mleta Mada, kwa Kweli kitendo anachofanya mwenye nyumba cha kuwapandishia Wapangaji Kodi kila Mkataba unapoisha sio Kizuri. Halafu hafanyi marekebisho yoyote, Choo Kibovu, rangi vyumbani imechoka na kuna baadhi ya vyumba vinavuja. Yeye akipata pesa ni pombe tu.
Hahaha hapa nimefurahi, hadi macho yamenitoka,nataka kusikia uzoefu wako. Ni maneno gani huwa yanakufanya uamini huwezi kuishi bila yeye? Nami nikayatumie mahala, maana kuna demu mgumuuu hasikii haelewi nataka nimlainishe lakini enzyme zangu zina meng'enya juu juu tu, nami nataka nimuingie hadi rohoni.Huko kwenye dating sites hawa jamaa wameliza sana wamama wa kizungu.
Mkianza kujuana anakutumia picha za wale male under wear models. Tena wanachagua wale Wagamama wasiovutia.
Anakupiga maneno mpaka unajiona huwezi kuishi bila yeye. Pale unapoanza kumtafuta asubuhi mchana jioni ndipo anapojua umejaa king. Anaanza kuumwa cancer
Unahisi ni sababu za kisiasa? Maana Kuna kipindi Nigeria ilipinga mpango wa Marekani wa kuweka kituo cha kijeshi huko ili kusaidia mapambano dhidi ya ugaidi.Tunaweza walaumu wanaijaria lakini ukitazama mambo kwa jicho la tatu utakuta kuna mengi yamejificha hapa.
Kwanini umekimbilia kusema sababu za kisiasa na siyo za kiuchumi ?Unahisi ni sababu za kisiasa? Maana Kuna kipindi Nigeria ilipinga mpango wa Marekani wa kuweka kituo cha kijeshi huko ili kusaidia mapambano dhidi ya ugaidi.
Marekani imekuwa inaitamani Nigeria kitambo Kama eneo zuri kimkakati ili kueneza ushawishi wake kwenye Kanda hiyo na pia kama kituo muhimu cha kupambana na ugaidi hapa barani.Kwanini umekimbilia kusema sababu za kisiasa na siyo za kiuchumi ?
Inaweza kuwa ni moja ya sababu mkuu, japo mimi sijawaza hivyo.Marekani imekuwa inaitamani Nigeria kitambo Kama eneo zuri kimkakati ili kueneza ushawishi wake kwenye Kanda hiyo na pia kama kituo muhimu cha kupambana na ugaidi hapa barani.
Kuna mskandinavia mmoja alitapeliwa equivalent of 1 billion TZS, akaamua kumfuata tapeli wake huko nigeria, kilichomkuta huko ni umauti! Nigerians wamechangia sana kuharibu taswira ya mwafrikaMfumo wa utoaji haki wa Marekani siyo rafiki na haujawahi kuwa rafiki kwa jamii za watu ambao siyo weupe.
Binafsi naamini ni ngumu sana kutakatisha pesa Marekani kwa muda mrefu hivyo katika kiwango kinachotajwa bila wavaa miwani kukudaka.
Tunaweza walaumu wanaijaria lakini ukitazama mambo kwa jicho la tatu utakuta kuna mengi yamejificha hapa.
Unahisi ni njia ya kuisaidia Nigeria kupambana na biashara haramu ya fedha?Inaweza kuwa ni moja ya sababu mkuu, japo mimi sijawaza hivyo.
Mkuu, wanaijeria wanachafuaje taswira ya mwafrika wakati Afrika siyo nchi moja ??? Halafu kama utapeli mbona Marekani kuna Ponzi Schemes nyingi tu za weupe!Kuna mskandinavia mmoja alitapeliwa equivalent of 1 billion TZS, akaamua kumfuata tapeli wake huko nigeria, kilichomkuta huko ni umauti! Nigerians wamechangia sana kuharibu taswira ya mwafrika
Mkuu hili swali walijibu wanaijeria wenyewe. Mimi ntakudanganya tu.Unahisi ni njia ya kuisaidia Nigeria kupambana na biashara haramu ya fedha?
Tatizo hao jamaa wanaiona Africa Kama nchi moja akioza samaki mmoja mnaoza wote.Mkuu, wanaijeria wanachafuaje taswira ya mwafrika wakati Afrika siyo nchi moja ??? Halafu kama utapeli mbona Marekani kuna Ponzi Schemes nyingi tu za weupe!