US names Nigerians in massive fraud investigations

US names Nigerians in massive fraud investigations

WaNigeria kwa wizi, ujambazi na utapeli hamna alie nao level moja
 
Marekani imekuwa inaitamani Nigeria kitambo Kama eneo zuri kimkakati ili kueneza ushawishi wake kwenye Kanda hiyo na pia kama kituo muhimu cha kupambana na ugaidi hapa barani.
Sasa huu utapeli waliosema utawasaidiaje Marekani kutimiza hayo madai yako?!

Kitakachoguatia ni kuweka masharti magumu kwa Wanaigeria kupata visa ya USA na kuwaondoa wale waliopo USA kwa makosa madogo madogo!!

Trump administration wanachotaka kusema they need scientists not these fraudsters!
 
Back
Top Bottom