Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Hawa mbumbumbu hawana uwezo wa kuvuna gesi
Hawa mbumbumbu hawana uwezo wa kuvuna gesi
Duuuuuuuuh Magu anakazi kubwa kutukomboa kifikraWanafiki wakubwa,
Kwani msumbiji imepakana na tanzani tu?
Wao waseme tu tumewapiga bao kwenye korona sasa wanatafuta sababu
Ukichunguza kwa ndani sehemu nyingi ambazo hawa IS wameshamiri huwa kuna mkono wa U.S. Wasiwasi wangu tu hili lisijekuwa ni plan ya U.S kuisambaratisha Mozambique na Tz hasa interest ikiwa ni natural gas. Huo ukanda kwa pande zote yaani kaskazini ya Msumbiji na Kusini mwa Tz kuna reserve kubwa ya natural gas.
Hivyo tusilichukulie vyepesi hili hasa kipindi hiki cha chaguzi ambapo mara nyingi vyombo vyote vya usalama macho yanakuwa kwenye hilo tu. Najaribu kufikiria kwa sauti tu
Na waje tu kwani tatizo liko wapi
Wee vipi. CDF alikuwa njiani kwenda Kibiti na alikuwa akisubiriwa akaamua kula kona kwasababu ya hao majamaa unabisha nini hata iyo Habari ilikuwa jamvini siku iyo.
Nini wewee?!!!!
Acha kuingiza siasa kwenye uhai wa watu ficha ujinga....Nasoma baadhi ya comment hadi na cheka kabisa hivi mnadhani kupambana na ugaidi ni sawa na kupambana na wafuasi wa chadema eti?
Mimi nadhani tumuombe mungu atuepushe na hawa watu.
Wanajeshi wetu wanapasua matofari kwa vichwa hawawezi shindwa kiwapiga jamaa......
Ila ccm iache uonevu kwa watz mama hiki ndio chanzo cha ugaidi.....
Hahaaa......Ni Kweli kabisa ila wa kwetu wanaamini ktk miguvuJeshi kama jeshi latakiwa kutumia akili na maarifa, na sio kutumia nguvu kisa kupasua matofali kwa vichwa 😁 Tembo na ubabe wake kwa sisimizi anatii.
Una uhakika unachoongea ? Unajua huko mikoa ya kusini kwa sasa kuna operesheni gani inaendelea muda huu?Wanajeshi wetu wanapasua matofari kwa vichwa hawawezi shindwa kiwapiga jamaa......
Ila ccm iache uonevu kwa watz mama hiki ndio chanzo cha ugaidi.....
kwa kweli kila post ihusuyo Mozambique nimekuwa nikiwapa swali moja tu Huyo mmarekani anapochinba gas kwa sasa ni wilaya ya palma yaani ni wilaya kwanza kutokea boda ya kirambo mtwara ni km 60 tu unaingia hyo wilaya;sasa chakushangaza hao waasi wameanza toka 2017 mwishoni mpka leo ni 3yrs hawajawahi kugusa hiyo wilaya wanazunguka tu huko msimboa ni km 40 kutoka palma kwanini hawaingii palma penye kitovu cha kazi mmarekani?kama suala ni dini?kwanini wanaua waislam wenzao kama ni wapigania dini? mana nikizungumzia palma na msimboa %80 ni waislam wameuteka mji wa msimboa wameua raia wengi wasio na hatia walitoa siku 3 raia wawe wauacha mji hyo wilaya ni kubwa sana ilikuwa ni municipal ikiwa na kila kitu lkn leo kirahisi tu wameikalia hakuna raia hata mmojaHao hao marekani ndio wahusika wakuu wa hivyo vikundi, sasa wanatubeep waone tutachukua hatua ipi ya kujilinda, yote issue ya gas na si kingine. Mtakuja kukumbuka maneno yangu.
Maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu Hawa magaidi wa msumbiji hv hawa jamaa silaha za kupambana na jeshi la nchi wanapata wapi wakati wao wapo porini tu huko na mangedere?
Yaani wakijaribu tu kutia mguu Tanzania kule Mtwara tunawakamata, wala hakuna haja ya kuwaua, tunawakata uume, mapumbv, pua masikio na vidole vya mikono wote alafu tunawaacha waende zao, hutawaona tena na itakuwa historia.. Yaani watakimbia wakipiga ukunga hadi watazamia baharini, hutawaona tena.
Mkuu ukisoma vzr khs hilo eneo na jinsi hawa ASWJ walivyoibuka
Ukaitazama ramani vzr ,utaona kuna kitu kinaandaliwa
Juzi na Jana President Nyusi ameitisha kikao cha dharula ,tu subiri tuone nn wamesema
Sent using Jamii Forums mobile app