US is sending more defence armies in gulf

Ndoto kama unayoiota wataalamu wanatanabaisha huishia kwa kulimwaga kojo kitandani.
Vita kama hiz Iran hataingia vitan peke yke Bali Kuna nchi zinazo Unga mkono Iran kana urus,chini na north Korea...usije ukachangaa chokochoko hiz zikazaa vita kuu ya 3 ya dunia
 
Sasa wanajeshi 1000 ni kitu?Ulizieni iran ipo kwenye orodha ya nchi kumi ambazo ni ngumu kuzivamia nchi ipo na milima ile

Tukija iran most of people wanasupport serikali yao kwa 100% Wananchi wa Iran ni wazalendo kweli kweli...

Kuipiga iran hata zikiungana nchi 60 bado utakua ni mziki mnene iran yupo na jeshi la akiba kubwa hapo hujaweka mamilioni ya wairan hujaweka Hezbollah ya lebabon,hujaweka hamas,syria army,wahouth,shiite military wa Iraq, Haya wale kule syria wanamgambo wa iran wapo zaidi ya laki mnafikiri hii vita ni simple??Hiyo vita itawasha moto middle east nzima hapo hujaweka wale raia wa saudi arabia wanaotaka kujitenga watapoanza kupambana na saudi kingdom,bahran akishiriki iran atawapa silaha wananchi ambao wengi wao wanaipinga serikali kwa muda mrefu kiujumla hiyo vita inaweza kuvuka mpaka ulaya....
Acha tu ushabiki ndugu, US kijeshi ni nchi hatari sana, niseme mm ni muumini wa Russia and it allies.
Kama Marekani ataamua kuingia vitani Na Iran tambua Iran itashambuliwa kwa nguvu ya larger scale stripping weapons Na hiyo vita yaweza kuwa fupi sana kuisha!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mawazo ya mmatumbi Bana
Acha tu ushabiki ndugu, US kijeshi ni nchi hatari sana, niseme mm ni muumini wa Russia and it allies.
Kama Marekani ataamua kuingia vitani Na Iran tambua Iran itashambuliwa kwa nguvu ya larger scale stripping weapons Na hiyo vita yaweza kuwa fupi sana kuisha!
 
Kwa takwimu zilizopo, US na Irani wakiingia vitani wao kama wao, Irani atapigwa.

Tatizo la vita za nchi zenye maslahi ya kidunia huwa hawapigani wenyewe wakatoshelezana, huwa lazima wapatikane viherehere kuonesha kuunga mkono upande moja wapo.

Hapo ndiyo vita hubadilika na kuvaa sura nyingine!

Tunaomba sana balaa kama hilo M/Mungu aliepushe ili maisha ya amani yaendelee.

Kwenye vita kama hizo tunaobeba adha na madhara makubwa ni sisi nchi maskini, ila kwa wenzetu walioendelea wao ni fursa.
In Hitler's Voice
 
Sasa wanajeshi 1000 ni kitu?Ulizieni iran ipo kwenye orodha ya nchi kumi ambazo ni ngumu kuzivamia nchi ipo na milima ile

Tukija iran most of people wanasupport serikali yao kwa 100% Wananchi wa Iran ni wazalendo kweli kweli...

Kuipiga iran hata zikiungana nchi 60 bado utakua ni mziki mnene iran yupo na jeshi la akiba kubwa hapo hujaweka mamilioni ya wairan hujaweka Hezbollah ya lebabon,hujaweka hamas,syria army,wahouth,shiite military wa Iraq, Haya wale kule syria wanamgambo wa iran wapo zaidi ya laki mnafikiri hii vita ni simple??Hiyo vita itawasha moto middle east nzima hapo hujaweka wale raia wa saudi arabia wanaotaka kujitenga watapoanza kupambana na saudi kingdom,bahran akishiriki iran atawapa silaha wananchi ambao wengi wao wanaipinga serikali kwa muda mrefu kiujumla hiyo vita inaweza kuvuka mpaka ulaya....
Pamoja na tantalila zooote hizo mwanaume keshaingia uwanjani anapiga jeramba, huhuhuuuu safari hii Iran analiwa kibudu.
 
Acha tu ushabiki ndugu, US kijeshi ni nchi hatari sana, niseme mm ni muumini wa Russia and it allies.
Kama Marekani ataamua kuingia vitani Na Iran tambua Iran itashambuliwa kwa nguvu ya larger scale stripping weapons Na hiyo vita yaweza kuwa fupi sana kuisha!
Ah ah ah... Madhara ya video games..
 
1000 nayo ni Habari kua US atapigana vita na Iran? Hivi Mnadhani Iran ni Syria? Kombora moja tu la Iran tena lenye payload ndogo tu la conventional ammunition linaua hao wanajeshi wote 1000 na uku likiendelea kudai watu wengine km 5000 ivi! US anachofanya sasa ni maximum pressure ili Iran ikubari mazungumzo na US kitu ambacho Iran wamesema hawatafanya mazungumzo yoyote na Iran! US saivi analaumiwa na mataifa mengi na anaona aibu kujiondoa kwenye mkataba ambao US wenyewe na Mataifa mengine waliusaini! Madhara yake ni Iran anaanza kujiondoa taratibu kwenye makubaliano ya JCPOA na kurudi kulekule kwenye uzalishaji wa nuclear kiwango kikubwa ambacho ni Hatari kwani wanakua wanakaribia kwenye uzalishaji wa silaha za Nuclear!
 
Sasa wanajeshi 1000 ni kitu?Ulizieni iran ipo kwenye orodha ya nchi kumi ambazo ni ngumu kuzivamia nchi ipo na milima ile

Tukija iran most of people wanasupport serikali yao kwa 100% Wananchi wa Iran ni wazalendo kweli kweli...

Kuipiga iran hata zikiungana nchi 60 bado utakua ni mziki mnene iran yupo na jeshi la akiba kubwa hapo hujaweka mamilioni ya wairan hujaweka Hezbollah ya lebabon,hujaweka hamas,syria army,wahouth,shiite military wa Iraq, Haya wale kule syria wanamgambo wa iran wapo zaidi ya laki mnafikiri hii vita ni simple??Hiyo vita itawasha moto middle east nzima hapo hujaweka wale raia wa saudi arabia wanaotaka kujitenga watapoanza kupambana na saudi kingdom,bahran akishiriki iran atawapa silaha wananchi ambao wengi wao wanaipinga serikali kwa muda mrefu kiujumla hiyo vita inaweza kuvuka mpaka ulaya....
Tuliza boli Iran ndo mlengwa
 
Kitathimini kama ni special force 1000 hizo ni regment mbili tuu!!
America ni hatarii tuombe Mungu Trump asiwe kichaa kama Bush.
Air Force ya USA ni shida, soma history ya kampein mbali mbali za vita ya USA.
Iran yuko kwenye range ya zana zilizopo Ghuba ni hatari saana!!
vita vikianza hapo kuna nchi zitachakaa sana...hizo zana za ghuba za us sidhani kama zitakua salama
 
Back
Top Bottom