US Election Coverage 2008

Polls are all over the place and you here again proves my point...if you get it by now

acha maneno wewe, umemsikia Gov. Palin akiingizwa town na Jamaa wa CKOI....the notorious "Masked Avengers" of Montreal?? yaani staffs wake walikuwa wapi? bwahahahaha, halafu alivyokuwa anaongea I betcha, alipiga bao hasa pale kwenye "Nailin' Paylin," kwani she was like, "Ooooh, good...yes."

Palin ni kituko cha camp-pain '08!!

Gobama...Keith O ana special countdown, it's on right now.!!
 

Kwa hiyo hii prank kwa akili yako ita sway voters?
 
Nyani the reason nimeweka quotes zako hapa ni kuonyesha namna unavyo flip flop. Polls ziki indicate kwamba McCain is gaining ground unakuwa HYPED na utazi present hapa kwenye forum. Polls zikionyesha kwamba Obama is stretching his lead..."oooh! Hizo Polls sio za kuziamini", haya ndio maneno yako.
Neither one of us knows what's going to happen on the election day...lakini naona there are 2 people you and the other McCain surrogates (Dick Morris) who believe this thing is going McCain way na Poll yenu ya Zogby...hata Rasmussen poll ambayo ni moja wapo ya Fox News affiliates doesn't show that.
 
All these so called pollsters will be outed in a little more than 48hrs.....stay tuned
 
Kwa hiyo hii prank kwa akili yako ita sway voters?

inaonyesha jinsi gani McKopo-Paylin campaign ilivyo ya kichovu na kwa maana hiyo hawafai kuingia kwa La Casa Blanca!!

yaani kwa siku nne nzima, wameshindwa kustukia kuwa jamaa ni wazushi? what about pre-conditions ambazo wamekuwa wanaziongelea kabla ya kuongea na foreign leaders?.....yaani ni kama serikali ya Kikwete, INCOMPETENCE!!!
 

Inaelekea mvinyo ulikuwa mtamu mpaka umesahau kilichotaka kutokea wakati wa Obama na Hillary!

Wakati wa Dempcratic Primaries, kila nyakati ambapo Obama aligota na kushindwa kwenye hizo big states ambazo ziliashiria comeback ya Hillary ilikuwa ni kutokana na Obama kushindwa kujibu hoja ambazo Hillary alikuwa akizijenga kumomonyoa Obama.

Same tactic inatumiwa na McCain kule Pensylvania, Florida, Indiana na Ohio ambako Obama alipata shida kutoka kwa Hillary! Where is Obama to fend his Tax and Economy policy? no where!

Kama angekuja na majibu kubainisha moja, mbili tatu tena kwa wananchi wa majimbo hayo manne ambayo ni critical, huyu Kibabu kisingepata nguvu za kurudia wimbo wa kodi, average American na Joe the Plumber.

Ukichunguza, wimbo wa kodi, ujamaa, kunyang'anya mali(spread the wealth) unapata kibwagizo kikubwa sana kutoka kwenye mikutano ya Kibabu na Kisura, hata hao Ma-Pundits kila mtu anadonoa Tax plan ya Obama. Hili la Kodi linashika moto si kawaida kuliko la Ayers, Wright, Khalidi au kuwa Obama ni Muislamu au Mweusi.

Narudia tena, mbaya ni Joe Biden na Bill Richardson kutoa tafsiri mbili tofauti ya kiwango cha watu watakaopona ongezeko la kodi. Baada ya wao kuongea McCain kwa siku mbili kalifanya hilo kuwa ni sababu na kuwaambia Wamarekani, "look at his tax policy, it is flawed"!

Sasa kukuambia ukweli unaanza nitukana eti Mchungaji Feki, hasira za nini kaka wakati wote tuko timu moja?

Usilewe mvinyo wa ushindi wakati kipenga cha mpira kuanza hakijapulizwa.
 

hahaha wewe nae! yaani mie kusema wewe mchungaji feki ndio nimekutukana? wewe mbona unasema mie nimekunywa mvinyo mwingi (meaning mie mlevi) lakini mbona mie silalamiki? watu wa JF bwana, kwa kulilia foul hamjambo..

inaonekana unaishi kwa red state na report unazopata kwa kiasi kikubwa ni zile zilizopinda kuelekea kulia!

ila nipo disappointed kabisa kwa kusema nimekutukana, kwa kukuita mchungaji feki..it was a joke..c'mon man! Hiyo staili ya kulialia na kupakaziana utukanaji inatutisha wengine..sad.
 
YNIM,

Sasa mbona unaanza kuwa apologetic na kupiga magoti hadharani? You called a bluff and I checked you!

Anyway, turudi kwa Onyango, hadithi ya Zeituni imeandikwa na AP na mmoja wa walioandika hiyo habari ni jamaa nilisoma naye Madongo kweusi kwa Mzee Bino (It explains your affection to mbege Mianzini na kuzururua kwa Loning'o na Kishuu!)

On Obama na Makopo, story line is that McCain is "closing in" to Obama's lead. McOld is known to be a great finisher and closer while Obama is not.

If the story line would have read Obama is pulling away, tungesema gemu limekwisha. His numbers are stagnant for the past 3 weeks flactuating between 2-3 points.

Kibabu ni sawa na Leprachaun, kinajongea kwa kunyata, be ware for the November suprise Obamania wakiendelea kukaa mguu pande!
 
An Open Letter to Barack Obama

I know you are busy running for President of the greatest country in the world, but there are a couple of things about your background and qualifications for the office that concern me and many of my fellow Americans. Never before has a Presidential candidate failed to fully disclose routine information about their background that might help the voters make an informed choice in an election. It seems that many records concerning your background have either be been sealed or are temporarily unavailable for review. I know that any honest person like yourself, who is running for the highest office in the land, would never overtly want to keep such information from public review.
Here's a partial list:

1. Occidental College records -- Not released
2. Columbia College records -- Not released
3. Columbia Thesis paper -- Not available, locked down by faculty
4. Harvard College records -- Not released, locked down by faculty
5. Selective Service Registration -- Not released
6. Medical records -- Not released
7. Certified Copy of original Birth certificate -- Not released (sealed?)
8. Certified Copy of Certification of Live Birth -- Not released (sealed?)
9. Birth records from Kenya -- (Sealed by the government of Kenya until after Election Day)
10. Your record of Christian Baptism -- Not released or unavailable
11. Illinois State Senate schedule - 'Not available'
12. Illinois State Senate records - Destroyed


I believe items #7,8 and 9 are the most critical and concern two issues that are very important to the American people:

1. Are Are you a Natural Born Citizen of the U.S.? and

2. Are you legally qualified to hold the Office of President?

In a recent federal court case in Pennsylvania, an American citizen, Philip Berg, filed a lawsuit claiming you were not a natural born citizen of the United States and therefore not qualified to be President. During that case, you never denied Mr. Berg's claims, but neither did you provid a valid birth certificate or other proof that you are a natural born citizen of the United States and therefore qualified under the Constitution to be President. Rather, you hid behind technicalities in the law to avoid the issue and the federal judge hearing the case dismissed Mr. Berg's lawsuit stating that Mr. Berg, acting as a "citizen," did not have legal standing to make such a challenge. This is a prime example of another outrageous decision by a federal judge to deny the American people their rights clearly outlined in the constitution.

There have been lawsuits filed, or currently being filed, in 7 or 8 states with various state Boards of Elections, claiming you are ineligible to be on their ballots because you have not produced proof that you are a natural born citizen of the United States. Mr. Obama, if you are truly and honorable man and a "Natural Born Citizen of the United States" you can clear up this issue very quickly. Just produce a certified copy of your birth certificate in any one of the names you have been know by (Barack Obama, Barry Soetoro, Barry Obama, Barack Dunham and Barry Dunham).
Your avoidance of the issue and your subsequent failure to prove you are a "Natural Born Citizen of the United States" is very suspicious and raises a very important constitutional issue that must be addressed before the November 4th election. Stop using legal technicalities, record sealing and courtroom maneuvers to avoid the issue. The American people have every constitutional right to know and they will eventually find out.

Try using honesty and truthfulness for a change and put this issue to rest. Either prove that you are a "Natural Born Citizen of the U.S." and are legally qualified to hold the Office of President, or withdraw the race.

If you do not do one of the other, the American people, regardless of party affiliation, will surely stand up and kick you out.
 
Wazee hakuna haja ya kugombana..leo asubuhi nimeamka purposely kuwaangalia "wataalamu" wa FOX NEWS...Kwenye kipindi cha Chris Wallace. Nobody sounds optimistic, sio Britt Humme, sio Bill Kristol, sio Mara Liason, hata Karl Rove mwenyewe na electrol map yake amesema its a very "steep Hill for McCain" na pia senate races na congressional races in Minnesota, and North Carolina.
However....despite this mighty wind pushing Sen. Obama's campaign bado kuna kazi.
Rev amesema kipenga cha mpira bado hakijapulizwa..napenda kutofautiana naye. Tunachosubiri ni kipenga cha mpira kuisha...hizi ni dakika za mwisho mwisho. Kwa wale wapenda golf, hili ni shimo la 18 la round ya nne na ya mwisho ya tournament..All Obama needs to is to shot a par score on this hole. McCain on the other hand...needs a birdie au better..meaning an eagle.
Chochote kinaweza kutokea..Obama anaweza kupiga mpira wake maporini ukawa unplayable, au anaweza akatumbukiza kwenye maji. In all these circumstances he'll be penalized and the penalty may reduce his score.
Tusubiri Monday morning...kama hakuna SCARY NEWS AU Tabloid SCANDAL e.g. "Obama had a sexual relationship with Condi Rice"..Then you all know where this thing is going to.
Jumapili njema everybody.
 
Tusubiri Monday morning...kama hakuna SCARY NEWS AU Tabloid SCANDAL e.g. "Obama had a sexual relationship with Condi Rice"..Then you all know where this thing is going to.
Jumapili njema everybody.

Mmoja wa Viongozi Wakuu wa Alikeda atauawa kama siyo leo ni kesho! Just keep your ear to the ground!
 

Wenzako wote tena with milion dollars in resources (Swift boat for Veterans, Let Freedom Ring, Sean Hannity, etc) wamejaribu wameshindwa...GOBAMA 08!
 

Makao Makuu,

Hatuwezi kushangilia ushindi mechi za majaribio na kudai ushindi uko mkononi..

Sparing session kuna watu huinuka videdea lakini siku ya siku, hupata uharo kama ule alioupata Frank Bruno, Michael Spinks na wenginewe walipokumbana na Tyson!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…