Naona Joe "The Phony" Plumber aka "The Tax Evader" aliamua kutokea kwenye rally ya mchana baada ya publicist wake kutaarifiwa in advance. His 15mins of fame is coming to an end pretty soonNimetoka kuangalia CCN Live na Joe the Plumber alikuwepo na kaongea na kasema anampigia kura McCain. Unasemaje hapo?
Naona Joe "The Phony" Plumber aka "The Tax Evader" aliamua kutokea kwenye rally ya mchana baada ya publicist wake kutaarifiwa in advance. His 15mins of fame is coming to an end pretty soon
Leanback umenikumbusha sana tanzatl na jina hilo ngoja na mimi nirudi na langu hahaaha.
kesho Mac ata campaign Columbus, Ohio na the biggest gun in Hollywood....yes...the Governor of California....Huyu jamaa ana ma investments kibao Columbus na ana influence sana. Ana own mall na biashara zingine na pia kila mwaka huwa ana host The Arnold Classic...fitness buffs kama mimi watajua hii ni nini. This event should put Ohio in the bag for McCain.
Nyambala, huyu Ukweli actually ni secretly in love with Obama, kwikwikwiiii! Maana badala ya kumpigia debe Babu yao yuko busy kusema Obama this, Obama that! They are obsessed with Obama!! Hahahahaaaa! Hawajui law of attraction naona!!
Sasa inaidi tuongeze bidii ya canvassing and phonebanking! Tuhaikishe Democrats wanapata mandate kubwa wanyooshe nji na dunia!
Ab-Titchaz, namwona Bill, sasa hivi amemaliza difference yote aliyokuwa nayo na Obama, na kijana amejitahidi kumfagilia Bill, si unajua anavyopenda misifa. lakini uongo mbaya Bill alivyoamua kukubali hali halisi amekuwa more relaxed na sasa ameanza kurudia hali yake ya kawaida maana mwaka huu mwanzoni nilikuwa nimeshaanza kuloose hope naye! but he is the Comeback Kid!
Naona leo hadi Joe "The Phony" Plumber is NO SHOW kwenye McShame rally hahahahaha mpaka noma. Joe is here with us today !! Where are you Joe? Is joe here with us? hahahahahahah noma sana yaani kumbe jamaa hayupo wala nini.
Wazee naona McCain ana adopt strategy ya CCM.
McCain Camp Buses In School Kids To Fill Crowd
The most cringe-worthy political moment of the day, so far, came when Sen. John McCain called out for his new buddy Joe the Plumber to stand up at a rally in Ohio, only to be greeted with confused silence. Joe the Plumber wasn't there.
But that rally featured another embarrassing moment, one that illustrates a far more troubling dynamic for the Republican ticket. The McCain campaign actually had to bus in school kids from the surrounding area in order to fill the event. As reported by MSNBC:
A local school district official confirmed after the event that of the 6,000 people estimated by the fire marshal to be in attendance this morning, more than 4,000 were bused in from schools in the area. The entire 2,500-student Defiance School District was in attendance, the official said, in addition to at least three other schools from neighboring districts, one of which sent 14 buses.
This happened -- as if a reminder were needed -- less than a week out from the election, when the heat of the campaign should be drawing record crowds.
Mkuu Susuviri,
jana nite ilikua an Obama blitz all the way.Kuanzia ile informercial na kisha ile
presentation na Bill...it was awesome to say the least.Bill has gotten over the
issues of the primaries and its time to move on.Ukweli ni kwamba Bill is still beloved by the Dems..regardless of race...na he had to get his image straightened out.Bottom line ni kwamba it was very positive.Mwenzio nimerekodi kila kitu jana na napiga ma-flashback when the news gets boring.
Obama has done what no other presidential candidate has done in the history of presidential elections in America hands down!!!
Kisha notice kwamba Obama ameanza hizi late night rallies akijua wazi kua McCain hawezi ku-keep up na atakua nyumbani anameza vidonge vyake. Kisha pia its like a prime time move maana watu wengi wako home na news media have no otherwise but to show live transmissions hata kama ni kwa dakika chache. A brilliant move to market Obama maana bado kuna manugu humu ndani ambao hawamjui Barack Obama for what he is.
Regards.
P.S.Kwa sasa tukaze mikanda hadi hapo Nov 4th... we are not relenting come what may!
Michezo ya Moi na Kibaki wa Kenya hio....
Its sad..uko kwenye state kama Ohio ambayo ni swing state...mmoja wa mashabiki au IDOL wa kampeni yako "Joe the Plumber" ni mkazi wa hiyo state...halafu unakosa audience kwenye rally yako..mpaka inabidi ulete watoto wadogo wa shule ambao hawatashiriki katika huu uchaguzi ujao.. To me this is a symptom of a trouble..no matter how Foc News, and townhall.com spins it.
Wewe endelea tu na trash talk yako......lakini sitaki kusikia neno ubaguzi Novemba 5
...naona Nyani McCain umerudi na jina jipya lakini mdomo wako mchafu ni ule ule,lakini glad umerudi maana nataka nione jinsi utakavyo suffer on tuesday!