She transitioned beautifully from energy to Darfur....
A lot of you thought she would fall on her face, crash and burn based on her interviews with Couric. I think she just playing possum....Just admit it....Biden got his ass smoked...
Yaani inaonekana kweli uelewa wako wa kuanalyze mambo ni finyu; kama unafikiri hayo yangetokea then ulikuwa waay off the ball park. Kinachozungumziwa hapo ilikuwa ni ishuz sasa kama ulikuwa unaogopa kama angeweza kusimama mbele ya big callibar like Biden then ndo yale niliyosema before kwamba expectations were so minimal. Sikusema kuwa kama angeweza kudondoka, lakini kama nyinyi mnaona hakudondoka then ndo kashinda safari ndefu ipo mbele yenu.
Mimi nimempa credit kwa kushow up tu......
Hivi ni mimi tu au na nyie wenzangu mmeona kuwa huyu mama Gov. Palin hana kituo wala koma kwenye sentensi zake....A bunch of run-ons...
Mkuu si una tarakilishi wewe? Jaribu kugoogle then utaelewa. Tarakilishi kazi yake si kuchukua talking points za Makopo tu ina uwezo wa kukusaidia katika kuchambua mambo na kuwa informed pia. Nakupa Homework hiyo, nimekupa na hint pia, gooooooooogle!!!Mimi mwenye uelewa finyu wa kuanalyze mambo naomba kuuliza: callibar ndio nini?
Asije akasahau alichoambiwa kule Sedona....alikuwa hata hablink macho pia kama ulishtukia...Thats why!! Mbona vituo na koma vilikuwa vingi hadi maudhi wakati wa Gibson na Couric??Hivi ni mimi tu au na nyie wenzangu mmeona kuwa huyu mama Gov. Palin hana kituo wala koma kwenye sentensi zake....A bunch of run-ons...
Mkuu si una tarakilishi wewe? Jaribu kugoogle then utaelewa. Tarakilishi kazi yake si kuchukua talking points za Makopo tu ina uwezo wa kukusaidia katika kuchambua mambo na kuwa informed pia. Nakupa Homework hiyo, nimekupa na hint pia, gooooooooogle!!!
Unaelewa maana lugha lakini? Generally ni chombo cha mawasiliano...sasa kama ulielewa what I meant lets get back to it....issues....About the debate....usitoke nje mada maana nasikia ndo mchezo wako.Ebana eeeh nimegoogle weeee sipati hilo neno callibar.....labda ulimaanisha caliber/ calibre...
What does that have to do with anything...? Kama umeishiwa hoja tulia na kaa kimya usubiri shock and awe Nov.4.......eti hana kituo wala koma.....this is beyond nit picking.....geeeeeeeeezzzzzzz
Tatizo ni kwamba hajibu swali anapoulizwa. Na kwa sababu amekuwa "coached" na ana memorize anajaribu kujenga substance kwenye talking points. Kwa kufikiria kuwa she has to talk too much to elaborate kwamba ana knowledge she would go on and on and on.
Now..kule nyuma umeandika kuwa Fox News wamempa ushindi Gov. Palin. I want to remind you kuwa hiyo Polling ilifanyika kabla ya debate...I was listening to Fox News Radio jana asubuhi kipindi cha "Bryan & the Judge" na walikuwa wana hamasisha watu waende kwenye website kuvote who will win the debate that night.
Call it a spin.
Unaelewa maana lugha lakini? Generally ni chombo cha mawasiliano...sasa kama ulielewa what I meant lets get back to it....issues....About the debate....usitoke nje mada maana nasikia ndo mchezo wako.
Eti koma na nukta....very petty of you...
Halafu sio poll ya FOX News tu....angalia poll ya Drudge report....66% said she won...
Hahahahaaaa....kumbe mko wengi mnaoizimia FOX News eeehh....hahahahahaaa
Nyani ndugu yangu...I am listening to both sides..I read all talking points kutokea kwa radicals kama Michelle Malkin (Hot Air) on the left mpaka Daily Kos: State of the Nation on the right. The point is..once I am informed with the bias I can be able to make my own decision.
Kama kuna Pundit anayesema Biden hakushinda hii debate basi huyo pundit ana matatizo!, Biden leo kakata ishu si mahisara, alikuwa akigonga pointi na data juu. kusema kweli sijasikia statistial data zozote za maana kutoka kwa mwanamama palin!. halafu akajifanya kutumia preemptive strike kwa media, huenda hii stratergy imemsaidia kidogo asipigwe madongo zaidi!
Tatizo ni kwamba hajibu swali anapoulizwa. Na kwa sababu amekuwa "coached" na ana memorize anajaribu kujenga substance kwenye talking points. Kwa kufikiria kuwa she has to talk too much to elaborate kwamba ana knowledge she would go on and on and on.
Now..kule nyuma umeandika kuwa Fox News wamempa ushindi Gov. Palin. I want to remind you kuwa hiyo Polling ilifanyika kabla ya debate...I was listening to Fox News Radio jana asubuhi kipindi cha "Bryan & the Judge" na walikuwa wana hamasisha watu waende kwenye website kuvote who will win the debate that night.
Call it a spin.
Angalau they are honest that they are biased siyo Drudge na Fox wanajifanya mainstream media!!!How did Sarah Palin REALLY do in the VP debates?
VP debates?
I thought I was watching High School Musical
35% 2674 votes
Not bad
10% 734 votes
She actually did good
3% 203 votes
Sarah Palin Sucks
53% 4015 votes
| TOTAL 7626 votes
What do you know Bubu? Nothing....nada.....zero.....
Nimesema maana ya lugha ni chombo cha mawasiliano; Mbona hutaki kurudi kwenye point, mimi sio kama hao ambao utawapeleka out of topic then mkabishanie huko, lengo ni kujadili debate....pindi utakaporudi kwenye debate then let me know.....Kwa hiyo "callibar" ni chombo cha mawasiliano? Tafadhali naomba niwekee picha nikione.....
Jamani mwacheni Nyani afurahi leo maana jana alizimia kitandani kwa furaha (akisingizia eti ni usingizi)baada ya Mama Palin kubaki wima na kutokimbia from the stage. Tatizo hawa GOPers wanasema kutochemka ndo kiwango wakati kiwango cha VP debate ni: a) Kumnadi mgombea wako wa urais b) kumshusha chati mgombea rais wa mwenzako c) kuwashawishi wananchi kwamba chochote kikitokea utaweza kushika usukani wa nchi. Palin kafeli zote BUT she didn't BLINK she just WINKED!! Kwikwikwiiiii!