US Election Coverage 2008

Wizi wa Kura wa Republicans.
[media]http://www.youtube.com/watch?v=ZAyEfovA404[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=vTBLfgos5b8[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=SzKbigGoMoo[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=9vNvweInGFs[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=rX8fRwsTpoQ&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=m9Kq4dxPwY8&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=AsgY4_BB2lo&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=Jy1sz-xBxf8&feature=related[/media]
 
No expectations are high, because she has to perform very well for people to consider her seriously and ready to take over the country just in case babu akichemsha.
 
No expectations are high, because she has to perform very well for people to consider her seriously and ready to take over the country just in case babu akichemsha.

You don't get what I'm saying.....
 

Hiyo ya expectation nimekubali. Lakini naomba niulize why is your Babu babysitting Palin wakati wa Interview na Couric mara ya Pili? kwikwikwiiiii! Huyo Kisura nasikia yuko Arizona ana-cramishwa na kaina Schmidt! Kazi ipo. Kheri babu yetu Joe anachemka lakini he knows his sh** kuliko huyo kisura anachemka and doesn't know sh**!
 

all I can say is this....I can't wait for the debate....for no one knows how it will go.....
 
Here's a novel idea McNgabu for your Babu. Instead of trying to find specious issues upon which to attack Sen. Obama, why doesn't he try running on the issues? Anyways just a note, If does so his base might confuse him with a democrat.
 
all I can say is this....I can't wait for the debate....for no one knows how it will go.....
Yule mama sijuii!!? Hata newspaper au Magazine anazosoma hakumbuki sijui hajui sijui hasomagi any? I'm sorry angekuwa mwanaume yulee angekuwa ni kituko zaidi, media ya US inatishwa na Camp McCain na wamekubali kuto-kum-Challenge mama Palin.
 
Yule mama sijuii!!? Hata newspaper au Magazine anazosoma hakumbuki sijui hajui sijui hasomagi any? I'm sorry angekuwa mwanaume yulee angekuwa ni kituko zaidi, media ya US inatishwa na Camp McCain na wamekubali kuto-kum-Challenge mama Palin.

Niliona hiyo CNN waliirudia, Mama ni mtupu kweli kweli!! Alishindwa hata kutaja majina ya magazeti mawili au matatu. Inaelekea huwa hasomi kabisa magazeti hata majina ya magazeti hayo hayajui. Nasikia baadhi ya Repulicans wamemtaka ajitoe kati nafasi hiyo "for the sake of their party" Juzi juzi tu alikuwa na umaarufu wa hali ya juu, leo kaanguka kama gunia puuuuh! na kesho akivurunda vibaya basi ndiyo sauti ndani ya Republicans dhidi ya kisura zitaongezeka na hapo ndipo tutakapomuona babu McOld alias Mavericks ataamua kufuata upepo unaolekea wapi.
 

Bubu,

Huyu Madam Governor, japo simuungi mkono, I dont believe she is that
damn.Tatizo lake nadhani ni kua ana-panic kila anapoulizwa swali...anadhani
everything is a 'gotcha moment'.Nimeangalia hio interview na Couric kama
mara nne na nilishindwa kuelewa why she couldn't just say any newspaper
name.I mean that is the easiest of all.Lakini I believe in her mind she was
thinking..."does Katie wanna nail me or what?...If I say this paper they will
I'm leaning to a side..oh lemmie just say all of them"...mmmmh!

If this is the attitude that she will go with to the debates then I cant help
but wonder.Mie Thursday niko mbele ya runinga from the word go
 
VP Debate Moderator Pens Pro-Obama Book

WASHINGTON:

Gwen Ifill, who is moderating Thursday's vice-presidential debate, is releasing a book on Barack Obama and other young black politicians who are "forging a bold new path to political power."

Questions are being raised about PBS anchor Gwen Ifill's objectivity after news surfaced that she is releasing a new book promoting Barack Obama and other black politicians who have benefited from the civil rights struggle.

Ifill is moderating Thursday night's vice-presidential debate between Joe Biden and Sarah Palin. Her book, "The Breakthrough," is due to be released about the same time the next president takes the oath of office.

In her book, Ifill contends that the black political structure of the civil rights movement has cleared the way for post-racial politicians to ascend to new heights..

Now some are wondering whether Ifill can be fair and balanced, and whether she should be the moderator of Thursday's 9 p.m. ET debate.

FOX News political analyst Michelle Malkin argued in a post on National Review that Ifill is "so far in the tank for the Democratic presidential candidate, her oxygen delivery line is running

My take: Nani anabisha sasa kama media hawana upendeleo?
 
Ohhhh!!!!! It is fix neuwz again, but MCngabu on us whateva comments we submit you always claim they are from huffingtonpost or Moveon.or, Dailykos etc. How on hell do you think we can trust fix as the source?
 
Ohhhh!!!!! It is fix neuwz again, but MCngabu on us whateva comments we submit you always claim they are from huffingtonpost or Moveon.or, Dailykos etc. How on hell do you think we can trust fix as the source?

Kuhusu huyu mama kuandika kitabu iko documented na haina ubishi. Huffpo, dailykos, CNN, MSNBC huwezi kuikuta hii habari kwa vile hai-reflect vizuri kwa candidate wao. But it is true.
 
Kuhusu huyu mama kuandika kitabu iko documented na haina ubishi. Huffpo, dailykos, CNN, MSNBC huwezi kuikuta hii habari kwa vile hai-reflect vizuri kwa candidate wao. But it is true.

Nyani you walked into your own trap!! Sasa kama hii ishu ilikuwa wazi na inajulikana kwa nini McCain team ilikubali moderator Ifill wakati wa negotiations? Why is this coming up now? This book was in the making for months now! It was not a secret. Acheni kutafuta sababu! Mpeni mama tizi kali ili asiumbuke sana kesho!
 

They just found out not too long ago...just a couple days ago! And the drive-by media is silent about it. Halafu NBC news wamepeleka investigative reporter kwenda ku verify McCain's account ya experience yake matekani.....hahahahahahaaaa.....haya bana media wako very objective...
 

Not true!!!! Hii ishu ilikuwa unajulikana for weeks! It is only Drudge ndo hakujua. Sasa liberal media unayoisema ndo walikuwa busy wanam-attack Obama about Jeremiah Wright etc, mbona ulikuwa uko busy unawasikiliza na kuwaamini? Acheni uzushi!
Sasa investigative repoter anafanya kazi yake usishangae. Walivyotuma inevstigative reporters kufuatilia Rezko trial, hatukusikia ukilalamika!
 

Haya bana....
 
Biden kwa fix!!, jamaa anadai eti wakati wa great depression Raisi roosevelt aliadress tatizo kupitia kwenye television!!, wakati kumbe wakati huo raisi hakuwa roosevelt bali alikuwa truman, na wakati ule hakukuwa na television bali kulikuwepo na radio.!!!!!
 

we acha tu! angekuwa Palin au McCaino ndo kasema hivyo Susuviri angepoteza fahamu kwa furaha.....
 
we acha tu! angekuwa Palin au McCaino ndo kasema hivyo Susuviri angepoteza fahamu kwa furaha.....

Aaa wapi! Nimeshakuwa sugu maana at least 3 per day per candidate hizo gaffe za McPalin ticket! Especially hii interview series na Kate couric imekuwa ZeComedy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…