Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,153
- 137,162
You know, nisingeweza kumezea ile Fox news poll!!!
Nyani is pulling your leg, ye mwenywe anajua hizi polls zinatuzingua tu. But I think that we have to continue to work as if we are down 10 points.
Babu anazidi kuchemka na majority of people saw his campaign suspension as political ploy. Na ndo wametangaza Congress kwamba wameshakubaliana, this is an old story. Na sasa tuone kama kesho Babu ataendelea kususa. Na hata CNN wamesema wataonyesha live. Watu wamesha-invest in this. No going back. I hope someone told Babu that Nov 4th elections are still on, asije akaomba time-out Nov 3!!! Kwikwikwiiiii!
Deal bado wewe....baadhi ya GOP hawapo on board.......
It's ok, they will eventually come around.... Lakini Babu yako kesho atakuwepo katika debate, i hope you know that and you have organized debate watching night with some of your buddies kama akinan Hanninty!
I'm sure Babu will be game for tomorrow night. Ila vipi ile clip ya Bill Clinton...he seems to be warm to McCain, what do you think?
Nyani..tuachane na polls na vitu vingine...chances za McCain/Palin kushinda zinakuwa slim as the days go by. Obama has a better organization -- (boots on the ground) kwenye states ambazo demokrats waliwaachia Repulicans e.g. Virginia, Montana, North Dakota, South Dakota, Colorado, Wisconsin to name a few...Obama amefungua ofisi nyingi tu..ana both volunteers na paid workers. Zijaona hizi polls ziki weka specifics kwa first time voters kwenye college campuses ambao wengi will vote Obama kwa sababu he's given them the enthusiasm they never had.
May be I am wrong lakini...its a tough campaign for Republicans.
Haya, Gallup ya leo...both tied at 46%....hahahahaa...it ain't over till it's over...Gallup Daily: Race Back to a Tie at 46% Each
While Zogby has McCain up by two....Zogby International
Hivi nani kaona Sarah Palin Interview with CBS News' Katie Couric, I'm sorry huyu mama ni mtupu, hata Nyani McCain nadhani unakubaliana na mimi katika hili, yaani majibu yake ni mtu ambaye kama haelewi nini anachoongea na hayuko straight foward na anachanganya mambo.
Hivi nani kaona Sarah Palin Interview with CBS News' Katie Couric, I'm sorry huyu mama ni mtupu, hata Nyani McCain nadhani unakubaliana na mimi katika hili, yaani majibu yake ni mtu ambaye kama haelewi nini anachoongea na hayuko straight foward na anachanganya mambo.
Mimi namuongelea huyu mama, I'm sorry man hata wewe naona unaweza kujibu vizuri hata kuliko yeye, eti Putin huwa anakwenda Alaska mara nyingi, au sijui alikuwa hamaanishi hivyo au? Yaani majibu yake hayaelewekiKila election cycle mnasema Republicans ni watupu na hawana akili. Reagan, W, and now Palin....
And Joey is proving to be a very reliable source of gaffes....
Hivi Palin akitoa gaffe moja tu sijui itakuwaje?
Mimi namuongelea huyu mama, I'm sorry man hata wewe naona unaweza kujibu vizuri hata kuliko yeye, eti Putin huwa anakwenda Alaska mara nyingi, au sijui alikuwa hamaanishi hivyo au? Yaani majibu yake hayaeleweki
Mimi siongelea kuchapia maneno au kushindwa kutamka neno fulani, naongelea uelewa wake kwa ujumla yaani unapokaa na mtu mzima na kuongea naye inabidi umuelewe anamaanisha nini, ila nimekaa na kumsikiliza mama naona kama anakuwa bado hajamaliza jibu au i dont know_____It's ok, she not running for president. Even president Bush still makes gaffes and made a bunch of them the first he ran when he was governor. He couldn't mention Musharraf...instead he kept on saying the general..the general....he couldn't say the word subliminal. He couldn't say the word stratergy..instead he said strategery....Lol....but still got elected twice.
The problem with you guys is that you are dying for a gotcha moment...waiting for her to gaffe and take the gaffe and run with it. Keep your hopes alive....
Mimi siongelea kuchapia maneno au kushindwa kutamka neno fulani, naongelea uelewa wake kwa ujumla yaani unapokaa na mtu mzima na kuongea naye inabidi umuelewe anamaanisha nini, ila nimekaa na kumsikiliza mama naona kama anakuwa bado hajamaliza jibu au i dont know_____
It's ok, she not running for president. Even president Bush still makes gaffes and made a bunch of them the first he ran when he was governor. He couldn't mention Musharraf...instead he kept on saying the general..the general....he couldn't say the word subliminal. He couldn't say the word stratergy..instead he said strategery....Lol....but still got elected twice.
The problem with you guys is that you are dying for a gotcha moment...waiting for her to gaffe and take the gaffe and run with it. Keep your hopes alive....
Mimi siongelea kuchapia maneno au kushindwa kutamka neno fulani, naongelea uelewa wake kwa ujumla yaani unapokaa na mtu mzima na kuongea naye inabidi umuelewe anamaanisha nini, ila nimekaa na kumsikiliza mama naona kama anakuwa bado hajamaliza jibu au i dont know_____