US Election Coverage 2008

Liar, in most of the opinion polls the sample is about 1,000 people. Yes, there is more than 7% of Americans who will not vote for Obama just because of his color but most will pretend not to support Obama's policies rather than telling the truth.

I got the no more than 7% figure from your own post. So any lies originated from your post. See below

 

What do you know...? Nothing, nada!!
 
What do you know...? Nothing, nada!!

know what!!? kwamba Palin ali-flip flop juu ya bridge to nowhere, Makopo doesn't get it juu ya economy, kwamba ana run sleaziest campaign ever au chepi? be specific, Nyani McCain....acha ushabiki dogo, haya mambo si sawa na game la Falcons v/s Panthers, ebo!!! ebu kuwa serious kidogo....McCain ni Bush 44.
 

McCain is not Bush. Again, what do you know? Nothing, nada!!
 
Bwahahahahahahahaaaaaaa.....this is embarassing......


(CNN) - It appears Barack Obama's teleprompter is hitting the campaign trail.

The Democratic presidential nominee has never tried to hide the fact he delivers speeches off the device, though normally he doesn't use one at standard campaign rallies and town hall events.

But the Illinois senator used a teleprompter at both his Colorado events Monday - making for a particularly peculiar scene in Pueblo, where the prompter was set up in the middle of what is normally a rodeo ring.
 
..sawa mie sijui kitu!! bwahahaha au mpaka na mie "nikutenyue" kama alivyofanya Njabu ndio uniheshimu?? uuunh!? PUNK!

Angalia dogo...Njabu ukimpapatikia hakawii kukuomba....ohooooo....shauri yako....

Wewe na yeye mnaweza kuwa couple.....bwahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
When you put lipstick to a LIAR....🙂

Palin unlikely to speak with investigator

AP foreign, Tuesday September 16 2008

By GENE JOHNSON

Associated Press Writer

ANCHORAGE, Alaska (AP) - Gov. Sarah Palin is unlikely to speak with an independent counsel hired by Alaska lawmakers to review the firing of her public safety commissioner, a spokesman for Republican presidential candidate John McCain said Monday.

Spokesman Ed O'Callaghan initially said Palin, the Republican nominee for vice president, would not testify as part of the probe ``as long as it remains tainted.'' He later clarified his statement to say Palin is ``unlikely to cooperate'' with the inquiry.

O'Callaghan also said he did not know whether Palin's husband, Todd, would challenge a subpoena issued last Friday to compel his cooperation. Thomas Van Flein, the Palins' lawyer, who has accepted service of the subpoena, did not return messages seeking comment. The governor herself has not been subpoenaed, but the Legislature's investigator, Steve Branchflower, has said he hopes to speak with her.

McCain's campaign insists the investigation into the firing of Public Safety Commissioner Walt Monegan has been hijacked by Democrats. The campaign says it can prove Monegan was fired in July because of insubordination on budget issues, and not because he refused to fire a state trooper who went through a nasty divorce from Palin's sister.

To that end, the campaign released a series of e-mails detailing the frustration several Palin administration officials experienced in dealing with Monegan. The ``last straw,'' the campaign said, was a trip Monegan planned to Washington in July to seek federal money for investigating and prosecuting sexual assault cases.
In a July 7 e-mail, John Katz, the governor's special counsel, noted two problems with the trip: the governor hadn't agreed the money should be sought, and the request ``is out of sequence with our other appropriations requests and could put a strain on the evolving relationship between the Governor and Sen. Stevens.''

Monegan was fired four days later.

In the weeks since, it has emerged that the Palins and her staff repeatedly had contacted Monegan expressing their dismay at the continued employment of Trooper Mike Wooten, who divorced Palin's sister in 2005. The following year, Wooten was suspended for five days based on complaints filed by the Palins, including that he drank in his patrol car, used a Taser on his 10-year-old stepson and illegally shot a moose.

The Legislature voted to authorize an investigation into the circumstances of Monegan's firing.

Palin initially said she welcomed the inquiry. But after she became McCain's running mate on Aug. 29 her lawyer sought to have the three-member state Personnel Board take over the investigation, alleging that public statements by the chair of the Senate Judiciary committee indicated the probe was politically motivated.
 
Bubu huyu Kisura hana lolote she is just another petty politician. Yaani huyu anaendeleza siasa za JK kwa kuajiri washikaji! Sasa unampa mshikaji wako kazi ya maana na kumbe mshikaji (Havemeister) hana qualifications. FYI the legislature in Alaska is run by Republicans na hiyo committe iliyokuwa appointed nia GOP3 na Democrats 2. Ni GOP wenyewe wa Alaska who want this lady investigated. Wamemchoka!
Si una kazi hiyoo?!
 
Nyaniiii! I have a teleprompter story for you! Palin is a pathological liar, she even lies about the teleprompter. Anajifanya hatumii kumbe waandishi walikuwa wanasoma speech nzima na yeye kutoka teleprompter!! Hahahaaaaa Liar liar pants on fire!! (is that sexist when applying to Palin?)
WHy? Why? Why? Why is she lying about something so petty and unimportant? Answer: she is a PATHOLOGICAL Liar!
 
Haya ya mwisho hii... I can't resist. Instead of blogging here kuhusu Babu yako naomba uende kufanya grassroot organizing ili apate watu wa kwenda kumsikiliza maana anaumbuka mtu mzima - people don't want to listen to him!!! Cheki jinsi alivyo pull in 3,000 people into a stadium of 16,000 (sielewi kama wanajua hawezi kujaza staidum si wangerent ukumbi tu? You GOPers are not logical, but then look at teh state of teh US economy and you have your answer - MELTDOWN!)


AIBUUUUU!
 
Magid mjengwa ahojiwa na CNN

Nimehojiwa Na CNN International!
Leo asubuhi nilipata ugeni wa CNN kwenye kiofisi changu 'kijijini' Kinondoni Biafra. Ugeni huo uliokuja kunitembelea na kunihoji kuhusiana na uchaguzi wa Marekani na hususan kitabu nilichokiandika kuhusiana na maisha ya Barack Obama; alikotoka, aliko na anakokwenda.

Hakika nafurahi kuandika, kuwa kitabu hiki ni moja ya kazi zangu za kiuandishi zilizopatwa kusomwa na Watanzania wengi zaidi wa kada mbalimbali kuliko kazi zangu nyingine zote. Kwa mujibu wa taarifa za wauza vitabu, hiki ni kitabu chenye kuuzwa kwa kasi zaidi kuliko vitabu vyote kwa sasa hapa nchini. Na ndio sababu hata CNN wametaka kuongea nami.

Kwa ufupi nimewaambia watu wa CNN kuwa kwa matokeo yeyote yatakayokuwa ifikapo Novemba nne, Barack Obama atakuwa ameweka historia kwa kuwa Mwamerica wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuwania nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa kisiasa katika America. Kwamba Watanzania wengi mijini na vijijini wamekuwa wakifuatilia habari zake tangu walipojua adhma yake ya kutaka kuwania kiti hicho. Kwa vile mimi ni mmoja wa waelimishaji jamii ama ( Adult educator) niliye na fursa ya kupata taarifa nyingi kumhusu Obama kupitia vyanzo mbalimbali ikiwamo vitabu alivyoviandika Obama mwenyewe, niliona mapungufu ya taarifa katika uelewa wa Watanzania wengi juu ya Obama hususan juu ya alikotokea, aliko na anakokwenda. Niliona ni wajibu wangu wa kuandika japo kitabu kidogo kusimulia kwa namna yangu juu ya mtu huyo Obama. Nilijiuliza swali kabla ya kukiandika; nataka nini kupitia kitabu hicho?
Nikapata majibu; Mosi, nataka kuinua kiwango cha hamasa ya usomaji vitabu ambapo kwa sasa iko chini mno. Na kupitia simulizi za Obama yaweza kuwa njia muafaka.
Pili, nataka kiwe ni cha kuelimisha hususan kuhusu siasa na mwisho kiwe ni chenye kutufanya Watanzania tutafakari juu ya hali yetu ya kisiasa kwa sasa hasa inapohusu masuala ya Katiba na hata wajibu wa Wanahabari katika chaguzi.
Kwa kiwango kikubwa nimefanikiwa kufikia malengo hayo matatu.
Na katika hilo la kwanza la kuhamasisha usomaji ndio sababu niliamua kitabu kiuzwe kwa bei ya chini sana ili kiwafikie Watanzania wengi hata kama wachapishaji waliniambia ningeweza kuuza kwa shilingi 2000 hadi 3000 kwa kitabu. Sikuwa na dhamira ya kutengeneza faida ya kibiashara bali nimepata faida kubwa ya kijamii; kwamba maelfu kwa maelfu ya Watanzania wamesoma na wanaendelea kusoma kitabu hiki. Kuna mamia ya Watanzania wanaonipigia simu na kunitumia sms. Kuna mifano ya waliobainisha kuwa kitabu hicho kwao ndio cha kwanza kukisoma na kukimaliza. Mwingine amenunua vitatu, cha kwake na vingine kwa wanawe walio shuleni ili wahamasike kusoma vitabu na kujijengea ujasiri kama wa Obama!
Ifikapo katikati ya Oktoba tuna hakika hakutakuwa na nakala iliyobaki ya kitabu hicho. Sina mpango wa kuchapa nakala nyingine isipokuwa nafikiri hii ni njia nzuri ya kuinua hamasa ya kusoma, nafikiri kutafuta maudhui mengine yenye kuvutia na kuwaandakia Watanzania wenzangu hawa walionyesha kukubali aina ya uandishi wangu na kuwavuta katika kutaka kufuatilia kazi zangu. Na naelewa, kuwa katika hili siku zote kuna wachache watakaonikebehi na hata kunidhihaki, na laiti ningewafikiria sana hao, leo ningewanyima maelfu ya Watanzania wenzangu fursa ya kupata maarifa mapya. Ni Watanzania wenzangu hawa ambao kupitia kodi zao wameniwezesha nisomeshwe na Serikali na kupata elimu na maarifa haya niliyonayo. Deni langu kwao ni kubwa sana. Kamwe siwezi kulilipa nikalimaliza.

Mwisho kabisa, watu wa CCN waliniuliza kwanini Watanzania wengi wanamshabikia Obama?
Niliwachekesha nilipowajibu; kuwa kama Tanzania ingekuwa ni jimbo katika Marekani, basi, Obama asingekuwa na haja ya kufanya kampeni, angepata 99.9% ya kura zote! Lakini nililisitiza kuwa Watanzania na Waafrika wengi hawamshabikii Obama kutokana na rangi yake au asili yake bali sera zake. Wengi wanazikubali sera za Obama, wanaamini endapo ataingia Ikulu ya Marekani, basi, mabadiliko na matumaini anayoyaelezea Obama katika sera zake huenda nao yakawafikia.
Naam. Kama Obama atashindwa ni bahati mbaya kwake, lakini hata mimi, kupitia CNN, nimejitahidi kujenga hoja na kumpigia 'debe' Obama kwa wapiga kura wa America ambao wataona coverage hiyo ya watu wa Afrika wanavyomzungumzia Obama siku ya Jumamosi usiku kwa mujibu wa maelezo ya jamaa wale wa CNN.
 
Asante Ochu, na shukrani kwa Maggid Mjengwa kwa kujenga hoja nzuri sana kwa ajili ya mgombea Obama ambaye kwa kweli ametoka mbali na atafika mbali! Good job!
 
He has already made the history.The world is full of hope as Obama turns to be The only choice of the Amaricans. We sure that the ignorance of Bush about Terrorism and Iraq has made the world worse than ever. We need changes that will make the world better off.
 

NoBama 08...

NoBama 08...
 

Ahahahahahahahaaa....kume picha yenyewe umeitoa kwenye huffingtonpost....ndio maana. Huko huffpo wanajulikana wako upande gani na wala hawafichi hilo na sishangai wanabandika picha zilizokuwa photoshopped! I agree with Hannity: journalism died in 2008.
 

The prompter did malfunction during her speech at the convention....
 
Asante Ochu, na shukrani kwa Maggid Mjengwa kwa kujenga hoja nzuri sana kwa ajili ya mgombea Obama ambaye kwa kweli ametoka mbali na atafika mbali! Good job!

Kwanza, hajajenga hoja yoyote nzuri. Pili hajasema ukweli na ukweli wenyewe ni kwamba wanamshabikia Obama kwa vile baba yake alikuwa Mkenya na wao wanaona hiyo ni bonge la connection ya kujivunia kwa vile Marekani ni taifa kubwa, tajiri, na lenye nguvu kuliko yote duniani. Tatu na mbaya zaidi (kwenu liberals na ulimwengu kwa ujumla) ni kwamba ni middle America ndio watakaoamua uchaguzi huu kama ilivyokuwa kwenye chaguzi zingine zilizopita.

Kwenye chaguzi za uraisi za Marekani, ili uweze kushinda, ni lazima u-connect na middle America. McCain-Palin wana-connect na middle America vizuri tu. Angalia polls zilizotoka jana. Kwa hiyo liberals mnavyosema kwamba Palin ni dumb, ignorant, plain, etc. you are not only insulting her. You are also insulting middle America. When you liberals say John McCain is too old, out of touch, and unable to keep up with the changing times, you are not only insulting him but also the senior citizens who happen to be the most reliable voting bloc and who account for 20% of the electorate. So much for people who "think" they are smarter then everybody.
 
The prompter did malfunction during her speech at the convention....

Nyani acha kupropagate LIES!!!! Teleprompter ilikuwa nzima!!!!! Please usijiumbue kama Babu yako!!! Sasa angalia leo alivyo -lose his head, ataaanza kuwatukana waandishi saas kwikwikwiiiiii!
JOHN MCCAIN LOOSES IT ON MORNING JOE SHOW
Aibuuu! Na bado, Babu yako Nyani ataiishia kugomba na kutukana kila mtu!
 
Jamani eh!! Sina mbavu leo!!!!! Yaani Babu yake Nyani aka Mzee wa Gasolina kaleta mpya! Huyu Babu anajichimbia na kujifukia kabisaaaa. Lakini ya leo ni kali sana! Eti he invented: mobile phones, wifi and ..... hold on Blackberry!!!!!!!!!!!!!! It's true! Si uzushi. Please read!!! I swear he is making it too easy for late night comedians!
Hahahaaaaaaaaaa! What a good morning and a great way to start the day!! Vituko vya mzee wa Gasolina vinafurahisha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…