US Election Coverage 2008

Wuuuuusaaaaaaaaaa......twende taratibu sasa maana sasa hu-make sense na una jazba. Tulia halafu uje baadae tujadiliane points na sio jazba.

..kuna point gani ambayo umeshaitoa so far, in fact for a long time now?

..zaidi ya kuandika "bwa ha ha ha " na "kwi kwi kwi" ?

..mifupa aliyonayo huyu mama kwenye kabati ni mingi kuliko waliyonayo kina clinton.

..hamna haja ya haraka, tunasuburi!
 

..in fact amewaogopesha liberals na independents, kiasi kwamba hawana shaka tena nani wamchague!

..hata wale dems wa hrc wameogopa na sasa wanajua nini cha kufanya.

..kimsingi bora hata mcsame, huyu mama hana tofauti na joji kichaka!
 

Iko wapi hiyo mifupa wewe? Hoka mmeishiwa na mmebaki na uzushi tu.......yaone kwanza....hamna hata haya....
 
Iko wapi hiyo mifupa wewe? Hoka mmeishiwa na mmebaki na uzushi tu.......yaone kwanza....hamna hata haya....

..eeh, ndio lugha yenu hiyo au?

..muda utasema kama ni uzushi.

..wakati wewe unaendeleza ushabiki wa wazungu wako [ulianza na hrc na sasa jm] sisi tunafuatilia uchaguzi kwa msimamo ule ule.

..kumbuka, maneno ya kejeli hayajengi hoja! bali yanaonyesha upungufu wa hoja.
 
Unajua jambo moja linanishangaza hapa ni....YUKO WAPI aliyeanzisha hii mada?.........GT please say something!!.........vipi mbona hata ile LOGO ya Obama hunayo tena?
 
Obama might pursue criminal charges against Bush administration· Biden says criminal violations will be pursued

· Democrats have issued subpoenas to Bush aides
· 3 staffers have been held in contempt of Congress

Elana Schor in Washington guardian.co.uk, Wednesday September 03 2008 19:32 BST

Democratic vice-presidential nominee Joe Biden said earlier this week that he and running mate Barack Obama could pursue criminal charges against the Bush administration if they are elected in November.

Biden's comments, first reported by ABC news, attracted little notice on a day dominated by the drama surrounding his Republican counterpart, Alaska governor Sarah Palin.

But his statements represent the Democrats' strongest vow so far this year to investigate alleged misdeeds committed during the Bush years.

When asked during a campaign event in Deerfield Beach, Florida, whether he would "pursue the violations that have been made against our Constitution by the present administration", Biden answered in the affirmative.

"We will not be stopped from pursuing any criminal offence that's occurred," he continued, going on to praise congressional committees for the deliberate pace of their inquiries into alleged Bush administration misdeeds.

Members of Congress are "doing the right thing, they're not making false accusations about anything … they're collecting data, subpoenaing records, they're building a file", Biden said.

"If there has been a basis upon which you can pursue someone for a criminal violation, they will be pursued – not out of vengeance, not out of retribution, out of the need to preserve the notion that no one, no attorney general, no president -- no one is above the law."

Obama sounded a similar note in April, vowing that if elected, he would ask his attorney general to initiate a prompt review of Bush-era actions to distinguish between possible "genuine crimes" and "really bad policies".

"f crimes have been committed, they should be investigated," Obama told the Philadelphia Daily News. "You're also right that I would not want my first term consumed by what was perceived on the part of Republicans as a partisan witch hunt, because I think we've got too many problems we've got to solve."

When asked about his comments by Fox news today, Biden said he has no evidence that criminal charges would be warranted and no intention of pursuing action against the current president.

"What is true is the United States Congress is trying to preserve records on questions that relate to whether or not the law has been violated by anyone," Biden said, adding: "But, you know, there's been an awful lot of unsavoury stuff that's gone on. And the mere fact … that it occurred in a previous administration doesn't mean [a subsequent] Justice Department, if, in fact, there's evidence, shouldn't pursue them. "But I have no evidence of any of that. No one's talking about pursuing President Bush criminally."

Congressional Democrats have issued a flurry of subpoenas this year to senior Bush administration aides as part of a broad inquiry into the authorisation of torturous interrogation tactics used at the Guantanamo Bay prison camp.

Three Bush White House veterans have been held in criminal contempt of congressional committees for refusing to respond to subpoenas in an inquiry on the firing of federal prosecutors: former counsel Harriet Miers, former political adviser Karl Rove, and current chief of staff Josh Bolten. The battle over Miers's and Bolten's testimony is currently before a federal court.
 

Kwa hiyo wewe unamsapoti Obama siyo kwa vile ni demokrat bali kwa vile ni mweusi, si ndio? Maana Hillary ni mweupe na demokrat lakini wewe hukumsapoti....

Hiyo ni logic ya kijinga kabisa....eti kwa vile namsapoti McCain basi nimekuwa nawashabikia wazungu.....kama ndo hivyo basi naombea wazungu wote wasimpigie kura Obama halafu tuone ataishia wapi......
 
Unajua jambo moja linanishangaza hapa ni....YUKO WAPI aliyeanzisha hii mada?.........GT please say something!!.........vipi mbona hata ile LOGO ya Obama hunayo tena?

seriously, hivi muanzilishi wa mada ana umuhimu gani zaidi ya mada yenyewe!? kuwepo au kutokuwepo kwa GT kuna affect vipi mtiririko wa huu mjadala?....kitu cha kuzungumzia hapa na kinachoboa ni kuhamishwahamishwa bila sababu, juzijuzi hapa mmebadili jina la thread na sasa mmeiwekea poll!! wengine mmeshatukata stim na sitashangaa siku nikija hapa nikute mwanzilishi wa mada ni Mwanakijiji, Invicible au Painkiller.......mambo mengine bwana, hooooooovyo!!.
 

Nyani, ule mkutano wenu ni kama wa KKK na Uncle Toms sijaona mweusi mwingine zaidi yakooooo jana!
 
Hahahahahaaaa...this is sweet!!! Governor Palin matched Obama's TV audience....38 plus million......thats whats up.....

Can anybody tell me where those Greek temple styrofom colums are...?

....liar liar and pls stop using drugs,Palin ratings was no match to obama for more than a million,nenda kawadanganye matrolls wenzako sio hapa kibaka wewe!
 
....liar liar and pls stop using drugs,Palin ratings was no match to obama for more than a million,nenda kawadanganye matrolls wenzako sio hapa kibaka wewe!

Doesn't matter wamelewa mooseburgers hawa... kwikwikwi...... They never expected to hit hata 20 million viewers, networks zilijua zimepata hasara after the electrifying Democratic convention week. Huyu Babu yako hatapata hata nusu ya kisura. unafikiri Nyani watu walimwangalia sababu gani? Kwa sababu hawajawahi kumwona akiongea they wanted to know who is she but they just learnt she is a dog with lipstick.
 
You know the difference between Sarah Palin and Dick Cheney?
- Lipstick!
 
Here we.....GO!!! Another Troopergate issue comes up and it will continue to grow 2 more heads and 3 pairs of feet because the dirt is seeping through:
 
We Nyani na mdogo wake Jindal, mlitaka kumtafutia sana angle Obama, mkasema hana grades nzuri blah blah. Tukabishana weee, na tulikubaliana kwamba they never release the grades of the stidents in the US. Lakini attendance may tell you something. Sarah palin attended 5 colleges in 6 years... WOW!
 

.....what a fool ur? alafu nasikia wahindi mnapenda kuwa identified kama white mkifika America hah ahaha aahaha ila mkishapata reality ndio mnatia adabu na shukuru brothers wakati tunayashikisha adabu ma KKK nyie mlikuwa mahouseboy mkijiita second class,FYI watu kama wewe huku mnajulikana kama colored na sisi usituchanganye na wewe sisi ni African American like irish American or Jew American lakini ulishasikia wapi calcuta or bombay American...hey colored!
 
Mimi natabiri kwamba uchaguzi huu utakuwa na mizengwe ya hali ya juu si ajabu kuliko hata ile ya uchaguzi wa mwaka 2000 na itabidi uamuliwe tena na SC na kwa kuwa huko Republican ni majority basi watashinda tena. Chaguzi za Marekani tangu 2000 zimekuwa hazina tena democracy ya kweli zimejaa intimidation, wizi na uwongo wa hali ya juu kama chaguzi za Tanzania. Na kwa maoni tangu hii si democracy ya kweli ni mauzauza tu. I hope wapiga kura hawatafanya makosa ya kuufanya uchaguzi huu uwe "too close to call" na hivyo kumpa OB a big margin of victory
 

...mbona tutasikia mengi tuu,hizo siku 60 mengi yataibuka,hajawahi hata kusafiri nje ya nchi za ya military base in kuwait ni mtupu ile mbaya,subiri debate apigwe maswali ya nuclear proliferation na intercontinental ballistic missile tuone atakavyopata orgasm ya mdomo,ni mtupu ile mbaya na anaamini marekani wametumwa na mungu kupigana Iraq
 

I agree with you lakini kumbuka Obama alisema "not this time" na timu yake ni Chicago school, where people know politics is tough. Wameji-organize (wacha akina Miss Pitbull waendelee kudhihaki community organizers, they will see their wrath) kupitia grass root, na safari hii hamna kuiba kura wala nini. Akina Zitto waende kujifunza zaidi about grass root movement siyo kuhudhuria ma-seminar na workshop u huko Marekani!!!!
 
....liar liar and pls stop using drugs,Palin ratings was no match to obama for more than a million,nenda kawadanganye matrolls wenzako sio hapa kibaka wewe!

....and was shown on less than four networks than the chosen one's....BET, TV1, Telemundo, ad Univison...all didn't carry Sarah's speech....
 

Namwona bibi yake Nyani mbona kama kalewa???
Back to MIss Pitbull kwa kumalizia ulisikia Koba alivyochapia kwamba alikuwa Ireland kumbe the plae stopped over for refuleing!! Jamani hii padding the resume ni vichekesho!!! 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…