Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,150
- 137,125
Alafu Nyani, kwa nini wamemtoa Rudy 9/11 Giulliani from the convention today? Ilikuwa atoe key speech lakini wamemfuta. McCain ana bifu naye?
..lakini wasee hii ya daughter Palin kuwa na goli na mengineyo ndani ya familia inabidi tuyaache!!
..bango liwe kwenye troopergate na hiyo kuwa member wa chama cha "kigaidi"!!
.. Makopo alikurupuka na hii pick, yeye angeweka Joe Libby au Tom Ridge! haya mambo ya kusikiliza wehu kama kina Rush na Hannity ndio matokeo yake haya!! Li Rush Limbaugh, halikumaliza hata college na ndio maana reasoning yake imepinda....Makopo nae kwa ubwege wake anaona ndio watu wa kusikiliza na kuwafurahisha!! Na bado, huyu mama ana ma-skendo kama serikali ya Tanzania!!...

YNIM: I have laid off Bristol McC.... Palin, (sorry no pun intended about laying and Bristol... maana my freind is very sensitive today)
Tuendelee na hii ya secessionist, nimesoma somewhere there's a video, tusaidiene basi kutafuta picha na video.....
Mnaweza kuniita chochote mnachotaka kwani sitegemei kingine kutoka kwa watu kama nyinyi.....
..acha wewe usijifanye unatia huruma!! mie nimependa hiyo ponytail yako, vipi bado una chew? flavor gani? LOL...
Kwa hiyo kama Rush kalumaliza college ndio nini? Umewahi kusikiliza uchambuzi wake wewe? He's the 400 million dollar man and he's been serving humanity for 20 years and will for 20 more......
hujui hata historia ya Rush, na kama unamsikiliza na kukubaliana nae basi wewe kweli ni black redneck tena zero kabisa!!!
uchambuzi gani? yes, kama hakumaliza college ni big deal na ndio maana mie namwona comedian/entertainer than a serious political pundit....mashabiki woooooote wa Rush ni loosers ambao wanadhani ku-hate wale ambao wapo tofauti nao itawasaidia!!
Check historia ya jamaa na uone jinsi alivyobahatisha maisha!! Uone kama sio a gay guy from San Fransisco, aliyempa kazi ya u-jock kwa redio, ama sivyo mpaka leo angekuwa bado anauza juisi kwenye game za baseball....
kama yeye ana maadili angeenda kwa hizo divorces tatu sijui ngapi? angekuwa ana-abuse Rx painkillers? angekuwa anaita watu Halfrican? angekuwa ana-distort facts kwa makusudi kama anavyofanya? angalia mapesa anayotengeneza yeye na compare na wasikilizaji wake huko Pascagula, Poplar Bluffs, Wheeling, Erie, Lawrance, Vienna, Lebanon, Odessa etc kwa hizi smalltowns ambao wanapata chini ya 15K/yr....yeye anawadanganya kwamba minimum wage ipo juu na inawatosha!!
Kama upo serious na hii mambo yako, basi lazima utakuwa psycho in denial.
Hahahahahaaaa.....yeah...bado nina chew na leo naenda kwenye redneck games....napenda ule mchezo wa ku-dive kwenye dimbwi la tope.....pia napenda kucheza mieleka na nguruwe.....vipi nije nikupitie twende...? Lol
Tatizo lako wewe umejawa na chuki na wivu! Rush ni mmoja wa mifano ya American dream na kama hutaki jinyonge tu.....no one will care....

mie ni mtoto wa mjini na liberal!! hahaha jioni leo naenda surfing pale Castle Island....nyie endeleani tu kuchezea matope na kusikiliza machizi kama Rush Limbaugh.
Hivi ni kwanini tena, ESPN walim-fire vile?? yes..that's right.
hivi mimi na Rush ni nani anaye-hate? hao ma-liberals anaowakandia kila siku ndio wamemtoa ktk umasikini! tena wakati huo conservatives wenzake woote walikuwa wamesha mtosa.....
hivi seriously, unajua a "typical Rush Limbaugh listener" ni mtu wa namna gani?? wengi ni losers tu na jamaa anawatumia ku-make millions...
...u've proven urself a fool!