chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
Kwa upande wa Wazungu wanachoamini wao kuwa yeyote anaechanganya damu na Mwafrika ni Mwafrika,ni mtu mweusiMbona anatajwa kama African-American lakini Uhindi wake hautajwi?
Ndiyo yale yale ya kuaminishwa kuwa barack Obama alikua ni Mwafrika mwenzenu wakati ni nusu mwafrika na nusu mzungu, halafu huko Afrika alikuja tu kusalimia wakati kiuhalisia alilelewa kizungu na kusomeshwa expensive university lakini ninyi mkam dominate ni mwafrika mwenzenu.
Sio Waafrika walioanzisha huu mfumo wa Ubaguzi ni Wazungu,..
Kuwa mtu mweusi haimaanishi kuwa rangi ya ngozi yako ni nyeusi bali ni mfumo mzima uliotengenezwa wa kumfanya mtu yoyote aliechanganya damu na Mwafrika asiwe sawa na mtu mwengine asie changanya damu na Mwafrika...
That was history, they could not succeed with that