TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,562
Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba wagombea wawili wa urais wanaojinasibu kama anti establishment Mr Donald Trump wa Republican na Berny Sanders wa Democrat wametwaa jimbo la New Hampshire ktk uchaguzi wa primary uliofanyika siku ya jumanne.Je,huu ni mwanzo wa Hillary Clinton kudondoka kisiasa?