US election 2016: Trump and sanders win new hampshare

US election 2016: Trump and sanders win new hampshare

Trump ndo raisi sasa kina Nyani Ngabu na Kiranga inabidi muanze kujiandaa kuhamia Canada,mtavumilia vijembe vya Trump kwa wageni hasa watu weusi?
Trump hawezi kuwa rais Marekani.

Republicans wakimuweka Trump watajikosesha urais wenyewe.

California na New York hawawezi kumkubali Trump.
 
Trump is a New Yorker remember? They can't shun their own.
Trump hawezi kuwa rais Marekani.

Republicans wakimuweka Trump watajikosesha urais wenyewe.

California na New York hawawezi kumkubali Trump.
 
Trump is a New Yorker remember? They can't shun their own.
Trump is the butt of New Yorkers jokes, if you want to say someone is tasteless in NY you compqre them to a Trump building.

Halafu NY is more than NYC, kuna upstate huko ambako they resent the NYC billionaire types.
 
Trump hawezi kuwa rais Marekani.

Republicans wakimuweka Trump watajikosesha urais wenyewe.

California na New York hawawezi kumkubali Trump.
sasa akishinda primaries majimbo yote,kuna wa kimzuia?votes za wanachama so ndo zinaamua?au na huko kuna kamati kuu zinazoweza kata jina lake?
 
sasa akishinda primaries majimbo yote,kuna wa kimzuia?votes za wanachama so ndo zinaamua?au na huko kuna kamati kuu zinazoweza kata jina lake?
Hata akishinda promaries na kupata nomination, hawezi kushinda general election.

Anapata kick huko kwa republicans kwa sababu extremist wa upande huo wanampenda, kumbuka kwa liberals nako kuna extremists kibao hawampendi. Na hata centrists wengi hawatamkubali.
 
Back
Top Bottom