Zanzibar 2020 US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

Democracy ya kukataa matokeo ya uchaguzi ni democracy gani hiyo?

Democracy ya kutaka wewe tu ndiye uwe mshindi ni dictatorship, sio democracy!
-Democracy ina vigezo vyake ambavyo ni free, credible and fair election, kuheshimu haki za watu kupiga kura,uwazi, kuepuka matumizi ya nguvu yasiyo na msingi
- ndiyo maana mnasemwa na mabeberu kwa kushindwa kuzingatia hivyo vigezo.
 
Maalim Seif Sharif Hamad Mwenyekiti

pamoja na Prof Omar Fakih aliekuwa mgombea Mwenza ambao walikamatwa kwa Mabavu na vyombo vya Dola muda huu Wameachiwa na Wako nyumbani na kutakiwa Kesho asubuhi saa mbili kuripoti polisi Madema.
 
Mwambieni balozi atulie, Tanzania ni nchi huru, watanzania ni watu huru, hatuwezi kuendeshwa kwa namna hiyo..
 
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Mirsi wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...

Ww ndio taa hira nchi inafanya vizuri kwa jambo gani hivi umefika hata form four ww unajua hata maana ya gdp ww kilaza
 
-Democracy ina vigezo vyake ambavyo ni free, credible and fair election, kuheshimu haki za watu kupiga kura,uwazi, kuepuka matumizi ya nguvu yasiyo na msingi
- ndiyo maana mnasemwa na mabeberu kwa kushindwa kuzingatia hivyo vigezo.

Huwezi kuwa mlalamikaji na hakimu wakati huo huo. Kuna team ya international observers nchini. Kwanini ambao hawajaridhika wasisubiri kauli ya international observers?
 
Huwezi kuwa mlalamikaji na hakimu wakati huo huo. Kuna team ya international observers nchini. Kwanini ambao hawajaridhika wasisubiri kauli ya international observers?
-Haina haja ya kusubiri ni kusema hapo hapo muda huo huo kasoro ikitokea hakuna kupoteza muda
-International observers watatoa Ripoti yao lakini hivyo haizuii USA kukemea kwa sababu bila ya kusema haraka kina Maalim watateseka huko Polisi
-Tulieni kimya wafadhili wawakosoe hao ndiyo wanaisaidia bajeti yetu
 
Huwezi kuwa mlalamikaji na hakimu wakati huo huo. Kuna team ya international observers nchini. Kwanini ambao hawajaridhika wasisubiri kauli ya international observers?
Tayari wametoa report kuwa CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi wote kwani wananchi hawakuwachagua kabsa
 
-Haina haja ya kusubiri ni kusema hapo hapo muda huo huo kasoro ikitokea hakuna kupoteza muda
-International observers watatoa Ripoti yao lakini hivyo haizuii USA kukemea kwa sababu bila ya kusema haraka kina Maalim watateseka huko Polisi
-Tulieni kimya wafadhili wawakosoe hao ndiyo wanaisaidia bajeti yetu
Tayari report yao ipo na inaonyesha CCM imenajisi kuubaka uchaguzi
 
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Mirsi wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...

Vizuri na familia yako, mpuuzi weee
 
Hofu imetamalaki. Nimeangalia taarifa ya Habari Azam TV yaani reporter wao kutoka Zanzibar anaongea kwa hofu na kajifanya hajui alipo Maalim Seif na haelewi kwanini hajahudhuria wakati Rais mteule akipewa cheti!

Yaani hata waliokuwa studio wameshindwa kuchomekea kuhusu taarifa za kukamatwa kwa Maalim Seif!
Zanzibar itakula vikwazo na pia Hussein mwinyi anapelekwa ICC The Hague
 
Law and order. Hakuna sababu ya minority kuachwa wakafanya unnecessary disturbance kwa majority!
Hakukuwa na “unnecessary disturbance”. Ilikuwa peaceful march. Kulikuwa na options na mojawapo labda wangemuweka kwa house arrest.

Matokeo yake sasa tuna attract unnecessary attention kutoka nje.
 
Back
Top Bottom