Ndo wafadhili wetu hao msiwaudhiBalozi aache mikwara mbuzi!
Mwondoeni kama mna weza.
Figisu za wakurugenzi za nn Sasa,msiwaponze wanapoteza familia zao kwa uroho wenuAna wasiwasi mapandikizi yao yatashindwa.
Kwa kifupi ndio yameshashindwa! Tena atulie kabisa watanzania wanajua wanachokitaka
Hatupangiwi
Mama D huo ushindi kwani hauwezi kupatikani kwa HAKI mpaka figusi???Ana wasiwasi mapandikizi yao yatashindwa.
Kwa kifupi ndio yameshashindwa! Tena atulie kabisa watanzania wanajua wanachokitaka
Hatupangiwi
Mbona sasa ajaeleza na ushahidi huo wasi wasi wake, huyu mzungu anaanza majungu mapema sana.
Ni mission USA bado Sana kutawaliwa na mwanamke,thus trump arudi kipindi cha piliHivi amemshauri Trump kuhusu wizi wa kura akisaidiana na warusi #blacklivesmatter
Hatuweza, ukizingatia magu hana support ya nje,he is not smartMwondoeni kama mna weza.
Hapo ndot9 yako ni kufika hukoAnawachochea wajinga wenzie wanaoabudu amerika na ulaya
Kabisa maana amna hata moja analoweza thibitisha halafu anajidai yeye yupo neutral.Anawachochea wajinga wenzie wanaoabudu amerika na ulaya
Wenye figisu ni hao wanaosambaza habari za chuki na kuchochea hofu mkuuMama D huo ushindi kwani hauwezi kupatikani kwa HAKI mpaka figusi???
Kufika Mara ngapiHapo ndot9 yako ni kufika huko
Hawa jamaa ni noma! Kumbe wana taarifa zote mpaka za wakati huu mawakala wetu wanavyosumbuliwa na kunyanyaswa.
Mimi kama mtanzania mpenda haki naunganga na Marekani katika kudai uchaguzi ulio huru na wa haki!
Maramoja,Kufika Mara ngapi
Tunaelekea huko hukoKateni misaada na mikopo vinginevyo mambo haya kabwe hayatakoma.
Sijui kwanini nchi wahisani wanashindwa kuweka shariti la kutoa misaada na mikopo kuwa ni lazima nchi husika iwe na Tume Huru ya Uchaguzi inayokubalika na makundi yote.
Ningekuwa na ushawishi, ningeanzisha movement ya kuzitaka nchi tajiri na mashirika ya fedha ya kimataifa kuweka shariti kwamba kila nchi inayotaka msaada au mkopo ni shariti nchi hiyo iwe na Tume Huru ya Uchaguzi inayokubalika na wadau wote wa uchaguzi katika nchi hiyo.
Au kama hili gumu,basi movement yangu nyingine ni kuzishawishi nchi hizi kuweka shariti linaloweza kuwa kama incentive ambapo nchi yenye kuonyesha demokrasia ya kweli kwa kuwa na Tume Huru na Katiba inayokubalika na makundi yote katika nchi kuwa ni moja ya kigezo ncha kwa nchi kupunguziwa au kufutiwa madeni.
Huyu dikteta ametuharibia nchi sankwa CCM hapa ni sarakasi tu.... yaani ni betua betua ..... tayari zoezi la kuwaapisha Mawakala lishaingia kidudu mtu ... mara mwapishaji kafunga ofisi, mara muhuri umekosewa, mara barua ya katibu wa chama imekosewa nk
wacha tuone dk bado zipo..... ila this time hakuna msalie mtume - mwaga mboga mwaga ugali - wote tulumangie...dadadeq
Hii habari si nzuri sana kwa sisi tuliozoea kuteka wagombea wakati wanarudisha form, mawakala kuwafungia nje ya kituo siku ya uchaguzi na kukimbia na mabox kagiza giza kakiingia.Mbona sasa ajaeleza na ushahidi huo wasi wasi wake, huyu mzungu anaanza majungu mapema sana.
Kabisa! Huyu magufuli hatufai maana atasababisha machafuko ndani ya nchi yetu.Huu uhuni wote mzee wa visasi ndie muasisi nyuma hayakuwepo haya,wamweke kwenye listi ya magaidi akanyee debe afai kukaa na Jamii ya watu waliostaarabika